Saint ivuga unapiga mzigo saa ngapi

kaka tatizo biere nilishaacha.

Duh......mimi napata lunch hapa Calabash..nikiangalia freezer koo linabana

5478630174_5c3c367181.jpg
 
Wewe kama uko kwenye sekta ya Umma niwakufukuzwa kazi na kuwa victimised! Kwanini uende Bar badala ya kuwa na hii dispenser kwa office

heineken-beer-dispenser.jpg
kak hi kitu ukiweka ofisini si utakuja siku unakuta wafanykazi wako wote wamevua nguo wapo juu ya meza.hii inafaa zaidi uweke home tena chumbani unakolala
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom