Saikolojia ya mwanamke - Fahamu kuhusu mtoto wa kike

Vijana tujikite zaidi katika kutafuta mpunga kuliko kupoteza muda kusoma saikolojia ya mwanamke.
Ukiwa na mzigo mfukoni hawa viumbe utawapanga mpaka utaanza kuwakimbia

😂😂😂😂😂😂
Umetisha 🔥🔥
Afu wa kwanza kucomment Sasa

Nilivokuwa namsoma jamaa nilijua nasoma kitu cha maana
Kumbe pesa ndo muhimu et
 
Vijana tujikite zaidi katika kutafuta mpunga kuliko kupoteza muda kusoma saikolojia ya mwanamke.
Ukiwa na mzigo mfukoni hawa viumbe utawapanga mpaka utaanza kuwakimbia
V'' hii alama bana sijui ina nini??? lkn ukiangalia ni nyama nyama tu!!ila sasa utamu wake jamani watu wanajengewa majumba!!! mjue hili mie sijawahi kujua kuna nini pale yaani mtu anakuwa mjinga kabisaaaa!! na ni jemedari wa Jeshi anaheshimika lkn akifika hapo mweee!!

hakuna kumbeza samsoni yaani Mungu mtaalamu sana!! ,,,asikudanyangye mtu eti atakimbia uongo!! kila mpya anae ingia ndo kwaaanza naanza moja tena anaanza moja!
 
Mungu mwenyewe walimshinda palee Bustanini sembuse weye mla vihepe mbagala???......ke anaweza kukupa Mazuri ya Mungu ukimuingia vizuri anaweza lkn ukimzingua

anakupiga zaidi kishetani na me nguvu za kisheatani hana!! lzm uzimike tu! makeke ndo kiumbe pekee aliye pig song na shetani unajua walikula tunda gani hilo eti la katikati ya Bustani yenye Majani meusi tii??? Mweee!! hivi hamjuagi katikati ni wapi mpaka leo???
 
Unatakiwa usikubali lakini utafute sababu au sharti. Kwa mfano, unaweza kusema hivi, sawa ukitaka nibakie basi nipige busu au nikumbatie. Mwanaume wa design hizi anavutia sana kwa mwanamke yoyote yule.
Sasa mkuu hapa akishatimiza sharti lako ambao umemuambia afanye ili ubaki nyumbani je unatakiwa ufanye alivyotaka au hat akitimiza sharti unatakiwa usimkubalie ombi hilo ?
huanza kuzalisha mashaka kwenye uhusiano na kummuliza mwanamke unanipenda au kwanini umepungua upendo wako. Unapofanya hivyo tu, kaka unafeli
So mkuu katika hali kama hii mwanaum unatakiwa uendelee na misha ya kwaida na usibadilishe chochote ambacho ulikuwa unafanya kwake kwma vile zawadi uendelee kumletea ukitoka kazini,ama kumtoa out uendelee ?

Au unatakiwa usitishe yote ambalo ulikuwa unamfanyia ?
Hakubali kushindwa
So tunadili vipi na tabia kama hii ya mwanamke ?
Tushee maoni mkuu ili tupate idea
 
Mungu mwenyewe walimshinda palee Bustanini sembuse weye mla vihepe mbagala???......ke anaweza kukupa Mazuri ya Mungu ukimuingia vizuri anaweza lkn ukimzingua

anakupiga zaidi kishetani na me nguvu za kisheatani hana!! lzm uzimike tu! makeke ndo kiumbe pekee aliye pig song na shetani unajua walikula tunda gani hilo eti la katikati ya Bustani yenye Majani meusi tii??? Mweee!! hivi hamjuagi katikati ni wapi mpaka leo???
Usipotoshe maandiko, Eva alikula pekeyake kwanza, sasa kama tunda ni mbunye, Inamaana alifanya sex pekeyake?

Mungu aliotesha miti hiyo shambani, mbususu zinaota bustanini?
 
Back
Top Bottom