Namna gani ya kumkwepa mwanamke anayejitongozesha?

Dig the EA

JF-Expert Member
Dec 7, 2017
279
270
Kuna ile mwanamke unamwona au mnafahamiana. Muda si muda mnapeana namba na mawasiliano kuanza. Katika kuwasiliana, mwanamke anajiletaleta au kujitongozesha.

Lkn inatokea mwanaume havutiwi na yule mwanamke. Hii ni kwa sababu wanawake wengine au huyo mwanamke sura haisomi kabisa au shape haitazamiki. Yaani ni ile yupo tu kama binadamu lkn hana mvuto wowote kabisa.

Lakini yeye anakuja tu, anajileta na kujitongozesha. Mnaongea tu kwa vile yupo au mnafahamiana Kama binadamu. Yeye mwanamke anawaza mahusiano/mapenzi. Ni namna gani ya kumkataa au kumkwepa au kuachana naye?
 
Mwanamke hawezi kuanza kujitongozesha kama wewe hujaonyesha interest
Kuna ma single mama yaliyokuwa slay queens zamani. Mileage ishakata huwa wanakuwa desperate ukimchekea tu atakuita 'mume wangu' kabisa.

Ogopa mno mwanamke anaelekea menopause bila ya mahusiano ya maana, huwa wanavamia hata wehu ili mradi awe na bwana tu na yeye.

Unadhani nini hasa chimbuko la viben10??
 
Wanawake wangekua seriously na huu mchezo wa kututongoza wengi wengi wetu tungekua zaidi ya maharage ya mbeya.
 
Kuna ile mwanamke unamwona au mnafahamiana. Muda si muda mnapeana namba na mawasiliano kuanza. Katika kuwasiliana, mwanamke anajiletaleta au kujitongozesha.

Lkn inatokea mwanaume havutiwi na yule mwanamke. Hii ni kwa sababu wanawake wengine au huyo mwanamke sura haisomi kabisa au shape haitazamiki. Yaani ni ile yupo tu kama binadamu lkn hana mvuto wowote kabisa.

Lakini yeye anakuja tu, anajileta na kujitongozesha. Mnaongea tu kwa vile yupo au mnafahamiana Kama binadamu. Yeye mwanamke anawaza mahusiano/mapenzi. Ni namna gani ya kumkataa au kumkwepa au kuachana naye?
Mtukane
 
Back
Top Bottom