Kumtukuza Mwanamke ni udhaifu

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,305
Habari zenu Wakuu,

Nimekuwa nikiona nyuzi tofauti zikimuongelea Mwanamke kama mtu mwenye uhitaji na mwenye haki ya kutimiziwa kila analotaka kutoka kwa Mwanaume.

Mabandiko ni mengi sana eg. Mwanaume pesa, Mwanaume mashine, Mwanaume kuhonga n.k kiasi kwamba imesababisha wanawake waone wanahaki ya kupata kilakitu kizuri kutoka kwa Mwanaume na wakati wao wahafanyi the same kwetu.

Sio ajabu leo ukakutana na Mwanaume anahangaika kutafuta Dawa za kukuza maumbile ili amridhishe Mwanamke ambae ana sehemu kubwa za siri zilizoingiliwa na wanaume zaidi ya 20.

Vijana wanahangaika kilasiku kununua Viagra na madawa ya kuongeza nguvu za kiume ili tu asifiwe na Mwanamke kuwa anajua kunanii kitandani.

Tabia hii ya kuwatukuza wanawake inapelekea wanaume kuteseka sana na wengine kufa ili kuwatimizia wanawake mahitaji yao (UTUMWA).

Jambo baya ni kwamba sisi wanaume hatuongelewi na wanawake kama tunavyowaongelea wao (KUWATUKUZA).

Naamini hujawahi kusikia Mwanamke akisimama na kusema "Mwanamke Bikra bwana" au "Mwanamke heshima" ila ni rahisi kukutana na Mwanaume anasema mwanaume kuhonga bwana n.k.

Ni dhahiri kuwa thamani ya Mwanaume inadidimia siku baada ya siku, na kama hatutokuwa makini basi wanawake watatutumia kama Wapumbavu na kutudharau sana.

Ushauri: Fanya kilichondani ya uwezo wako, lakini usiruhusu kujitesa kwasababu ya kiumbe ambacho hakipo tayari kujitesa kwaajili yako.
 
Umeandika kitu kikubwa sana wanaume wameshindwa kujipa thamani na ukishindwa kujipa thamani mwanamke hawezi kukupa
 
Back
Top Bottom