Mama pretty
JF-Expert Member
- May 1, 2020
- 1,832
- 3,479
Nadhani unafaham kuwa kwa asili yao ni ngumu kuongezea nywele nyingine ilihali wanazo ndefu na kuzitengeneza wajiskiavyo..Iyo Ni kwa wanawake wa kiafrika TU.
Mbona wazungu wanaoga nazo na hawana tabu?
Japokuwa wengine wanaweka weavings pia ila products zao ni tofauti na zetu huku..
Sasa mimi mdada wa tandale ninnue wigi/weaving la elfu 7 hapo manzese afu nioge kuanzia kichwani na weaving langu+ hali ya hewa yetu hii🥵🥵. ..unataka watu wazimie tukipishana😂😂😂