Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 845
Mwenzetu, ndugu yetu na mwana familia wa JF bwana SAIDI YAKUBU ama maarufu kama SY ameamua kufunga blog yake na hajatoa sababu zozote za msingi zaidi ya kuwa sababu binafsi
na mie kwa masikitiko sijui la kusema maana Yakubu kwa kweli alikuwa amejarib kuleta balance of power kwenye hizi blog za watanzania.
Je kuna mwana JF mwenye blog? basi tunaomba link zenu na SY kama unasoma hili hebu njoo utuelezee kilichokusibu kabla our own inhouse conspiracy theorists hawajaingia kazini