SAID YAKUBU ndio msemaji wa SPIKA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SAID YAKUBU ndio msemaji wa SPIKA?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TangaKunani, Aug 7, 2009.

 1. T

  TangaKunani New Member

  #1
  Aug 7, 2009
  Joined: Sep 12, 2006
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba kuuliza hivi hyu si anafanya kazi BBC swahili sasa imekuwaje amekuwa anatoa waraka wa kumtetea Spika au ni waraka uliotumwa BBC na wafanyakazi wa Bunge?

  au kuna jambo ambalo silijui ambalo wenzangu mnalijua?
   
 2. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 3. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #3
  Aug 7, 2009
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Ma opportunisty wako JF na kwingineko .CCM kwa michongo wametulia .KIjana anafanya kaiz Bungeni ila kama ni msemaji wa spika sijui .Amekuwa m CCM zaidi ya vile alivyo kuwa anakuja hapa kusema.Kazi kubwa na si ajabu akautaka Ubunge .Kwa kifupi Said Yakubu anafanya ofisi za Bunge .
   
 4. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2009
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Saidi Yakubu ni member humu jamvini JF, aje mwenyewe ajibu hoja hizi
   
 5. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #5
  Aug 7, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Anafanya kazi Ikulu akiwa na wadhifa gani? Na kwanini tunafikiri ni msemaji wa Spika? Ninachojua ni mwandishi wa habari na sijaona mahali ambapo amazungumza kwa niaba ya spika. Or am I missing sumtgn?
   
  Last edited: Aug 7, 2009
 6. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Ikulu tena mkuu?

  ahhhh mjombaa

  hahahahaha
  bwahahahaa
   
 7. F

  Fungu la kukosa Member

  #7
  Aug 7, 2009
  Joined: Jun 16, 2009
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Amakweli wewe yaelekea upo Bongo kimuili tu na si ki****.Kwa kifupi, ndugu Said Yakub alikuwa mfanyakazi wa the BBB LONDON miaka 2 iliyopita. Muda huo alikuwa mwanafunzi wa sheria shahada ya pili na wakati huo huo akijishughulisha na maswala ya habari kama sehemu ya kujiongezea vijisenti vya kujikim.

  Baada ya kumaliza masomo yake 2007, aliamua kurudi bongo na kulitumikia Taifa, nafasi aliyoipata ni karani/katibu wa Bunge, na hivyo haishangazi kwa yeye kuzungumza maswala fulani fulani ya Bungeni kwa niaba ya waheshimiwa wa huko Bungeni akiwemo huyo Spika wa Bunge.
   
 8. Mwawado

  Mwawado JF-Expert Member

  #8
  Aug 7, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 998
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 35

  Mkuu Kakalende,Bwana Said Yakubu alisitisha uanachama wake hapa kuanzia Mwaka jana baada ya kuona kama (Kuwa) kazi yake mpya itaingiliana maslahi na uchangiaji hapa JF...Akikubali ataingia hapa kujibu swali la Mwanachama Tangakunani kuhusu utata uliojitokeza kama ni msemaji wa Mheshimiwa Spika.

  Said Yakubu ni kweli kwamba anafanya kazi na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Lakini si muajiriwa wa Bunge...Mkuu Lunyungu angalia vyanzo vyako vya habari vizuri na wala si kweli kwamba Said Yakubu ni Mfanyakazi wa Shirika la Habari la Uingereza (BBC),Alikwishaacha kazi huko na kurejea Nyumbani toka mwaka Juzi.

  Baada ya kumaliza Shahada yake ya sheria ,Said aliajiriwa na Umoja wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola, alipangiwa kazi Tanzania,na alipelekwa kwenye Ofisi ya Bunge kuangalia Mfumo na Utendaji kazi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano.Mpaka sasa anafanya kazi hiyo.

  Said ni Mwanaharakati kwa asili yake,na ni Kiongozi wa muda mrefu.....nae ni mmoja kati ya Vijana wengi wanaotajwa kuingia kwenye kinyang'anyiro cha Ubunge kwa tiketi ya CCM mwakani.
   
 9. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #9
  Aug 7, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Mwawado,

  Je ndo msemaji wa Sita?
   
 10. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #10
  Aug 8, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Said Yakubu?????
   
 11. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #11
  Aug 8, 2009
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  - Kwani akiwa kuna tatizo gani? Au naye ni fisadi mtuwekee ufisadi wake hapa?

  - Tupunguze majungu hapa ni mahali pa great thinkers jamani! Kama Said yupo bungeni basi ni saafi kwa mwana-JF yoyote mwenye shida huko atapata msaada kwa haraka kuliko wengine kutoka kwa Bwana Said, mbona tunajishusha sana sana jamani?

  FMEs!
   
 12. M

  Mmongolilomo Senior Member

  #12
  Aug 8, 2009
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 135
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nakumbuka MMM alitoa statement kwenye JF kuhusu Mwakyembe ya kumtetea. Je MMM ni msemaji wa Dk. Nafikiri kila mtu ana maono yake katika kila jambo linalotokea. Alichofanya yakubu ni kutoa maoni yake. Ubaya uko wapi? Tuwe makini na hoja tunazojenga dhidi ya mtu au kikundi cha watu fulani.
   
 13. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #13
  Aug 8, 2009
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,276
  Likes Received: 4,260
  Trophy Points: 280
  Kweli jamaa yuko ofisi ya bunge nilimuona wakati wa sabasaba
   
 14. J

  JUZAMO Member

  #14
  Aug 8, 2009
  Joined: Apr 12, 2009
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni tatizo la watu wengi hapa tanzania kuchangia mada au kuongelea kitu bila ya kufamnya utafiti.hili ni kosa kubwa sana sana,ndo manake kuna msemom maarufu wa kichina wenye maana "no research no right to speak".
  jengine kuna tatizo kwa vijana wetu tena wasomi kuwa na uoni mfupi wao wanamawazo madogo sana kwamba mafanikio yanapatikana ccm tuuuu,na kwamba haitatokea ccm ikadondoka ata mara moja hawa pia huwa ni wale ambao tunaweza waita pia ma opportunist (mi jitu yenye tamaa ya kupata kwa njia zozote iwe halali au haramu kwa sifa au kwa upendeleo na mara nyingi ni kwa kujipendekeza).
  Nadhani huyo Said Yakub sio mwanaharakati au ni mwanaharakati maslahi.
   
 15. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #15
  Aug 8, 2009
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  Maneno yako mie nayauanga mkono asilimia zote .Hakuna mwana harakati anaweza ku side na CCM .Kama yuko tajeni hapa si Mwakyembe wala Kilango .Mjengoni wana waka kujizolea sifa wakimaliza tu mwishoni wanasema wana unga hoja mkono .Hakuna bwana mie nilisha kataa .
   
 16. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #16
  Aug 8, 2009
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Said yakub, popote ulipo naomba ni PM. Inawezekana tukawa tunataka jimbo moja kaka. Sio tatizo ila nitafute tu.

  Asante

  FP
   
 17. S

  S.M.P2503 JF-Expert Member

  #17
  Aug 8, 2009
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 463
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Tangu lini akawa msemaji wa spika? Labda kama alipewa nafasi hiyo kinyemela...
   
 18. b

  bnhai JF-Expert Member

  #18
  Aug 8, 2009
  Joined: Jul 12, 2009
  Messages: 2,207
  Likes Received: 1,373
  Trophy Points: 280
  kwahiyo wana JF ukishaingia tu kwenye system unatakiwa usitishe membership yako??? Hii ni tete kidogo, inamaana hapa ni kijiweni tunasubiria what next??
   
 19. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #19
  Aug 8, 2009
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hongera sana Yakub; binafsi nakutakia mafanikio mema katika kazi yako. Ukiamua kugombea ubunge mwakani itakuwa jambo jema. Vijana wengi wenye mawazo mapya inabidi muingie huko na kuiondoa hii mizee ambayo kazi zao ni kulalamika tu badala ya kutatua matatizo.
   
 20. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #20
  Aug 8, 2009
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  - Saidi wakilisha JF huko jikoni, pole pole JF tunaanza kuingia jikoni mwisho itakuwa Ikulu.

  Respect.

  FMEs!
   
Loading...