Said Mwema - Kuwa shemeji ya Rais ni leseni?

Ndugu wana JF na Watanzania wote wapenda amani,
Naandika hii thread nikiwa na huzuni na uchungu sana moyoni kuhusiana na kile kilichotokea Mkoani Morogoro jana tarehe 27/08/2012. Kwa mara nyingine tena damu isiyo na hatia imemwagika kwasababu za kishenzi,kijinga,kizembe na chuki za kisiasa dhidi ya Upinzani!

Nasikitika kusema kuwa mauaji haya yamesababishwa na Rais Kikwete akisaidiana na Mkuu wake wa Jeshi la Polisi-IGP Mwema. Hawa jamaa 2 wako nyuma ya mipango yote hii ya kuzuia maandamano kwa kupiga watu mabomu,risasi za moto na maji ya washawasha! Kile walichofanya Polisi wa Morogoro chini ya usimamizi wa Kamanda Shilogile ni maelekezo maalumu ya Rais Kiwete na IGP Mwema. Wakubali,wasikubali huo ndiyo ukweli!
hapo kwenye red mara nyingi nashindwa kuelewa jinsi akili za Watanzania zilivyo!!
Hivi ina maana mtu aliye juu yako hata akikwambia 'kamuue baba yako' utafanya hivyo!!!?
Ndio maana niliwahi kushindwa kufanya kazi na mtu aliyekuwa akinipa maelezo ya "fanya kama ninavyotaka' na nisihoji!

Nani kamuolea mwenzake?
Mkuu ritz labda swali hili tukuulize wewe, maana kuna madai kwamba wewe ni mmoja wa wanafamilia wa JK. Labda kama utakanusha kwa kutaka kuficha identity yako.
 
....[/QUOTE]
Mwana Kijiji CDM wamejitakia wenyewe, mie nilidhania uwe wa kwanza kuwaambia viongozi wako wa CDM wamefuate sheria, badala yake unawalaumu polisi. Tenda haki na usiwe bias ukada wako wa CDM usipotoshe umma.
 
Nasikia una usongo wa kila mwenye cheo Serikalini kwani ulikuwa na hamu ya kurithi kazi ya baba'ko na umpite kwa cheo kwani yeye aliishia u rpc tu lakini kimo ndio kikawa tatizo kwako na ukashindwa kukubalika jeshini na uraiani ukaamuwa kuzamia USA na kuishi mafichoni. Pole sana na ahsante aliyegunduwa intaneti, angalau unaweza kujificha nyuma ya pazia na ukasambaza ***** bila ya kujulikana ni nani.

Sitaki kuamini kuwa ni kile kisa cha Tanga!

Naam....unaongea na mimi???
 
Huna hoja ya msingi kawaambie walioanzisha maandamano ndo chanzo cha vurugu na kuwaga damu, kwa sababu bila wao kuandamano pasipo kufuata taratibu na sheria haya yote yasingetokea, na wananchi wanaakili, ondoa propaganda zako.....

Jambo afande Shilogile!

Huko kwetu ninakotokea na bila shaka hata wewe unatoka hukohuko kulingana na hili jina!Je,uliwahi kuuliza maana ya jina hili? Basi kikwetu maana ya SHILOGILE ni vitu vilivyo ROGWA kwa maana hiyo Kamanda Shilogile ni mtu aliyerogwa na ndiyo maana anafanya hivi vituko pale Morogoro!
 
Mimi nimeshalia sana hapa kuwa IGP Mwema ni janga la taifa. Katika watu ambao sioni wanafanya nini katika uongozi wao ni IGP Mwema na Dr. Hosea
Yaani we acha tu, huyo Mwema ni shemeji ya JK na huyo Hosea ni nani wake? mimi huyo Hosea ndo sielewi kabisa kwanini anakumbatiwa hivyo hali iliyomjengea kiburi cha ajabu nilitegemea toka kwenye sakata la Richmond asingepona lkn bado anadunda licha ya madhambi yake kibao. nahisi kuna siri kubwa hapo mwenye nayo atujuze.
 
Bora hata Mahita alikuwa anauwa majambazi lakini tatizo ni Shemejiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii....!
 
Ndugu mwanakijiji mwisho wa ubaya ni aibu yote haya yanakaribia mwisho.damu haimwagiki bure mkuu
 
....[/QUOTE]

Mkuu, Mbona kama unajichangaya tena! Umeishasema yaliyotokea Morogoro ni kutokana na Maagizo maalumu kutoka kwa Waheshimiwa JMK na SM, halafu unataka tena wao ndio waunde tume ya kuchunguza yaliyotokea?

Hapa inatakiwa tuamue tu dizaini ya Medani ya Tikrit na sio kuwapa nafasi ya kuunda unda mitume ambayo matokeo yake yanaishia kufungiwa kwenye makabrasha.
 
Sijui mpaka lini na kwanini...
Sijui kwanini CDM hadi leo hii hawajaanzisha maandamano ya kumshinikiza Mwema aondoke au aondolewe; hata Bungeni hakunyoshewa kidole yeye mwenyewe na kutaka aondoke.. sijui mpaka nani wa CDM auawe ndio watajua kuwa Mwema na Chagonja ni hatari kwa demokrasia!!!

Kutokana na rekodi zao wenyewe inaonekana wamejifanya kuwa ni maadui wa kudumu wa haki za kiraia na haki za binadamu. Wazo kuwa wananchi wana haki ya kuandamana kuipinga serikali yao au uongozi wa walio madarakani halijawaingia kabisa kichwani!

Wako kama maafisa wa kizungu wa wakati wa mkoloni ambao walijaribu kuzima maandamano yaliyoongozwa na Mwalimu Nyerere au wale waliowafunga kina Makange! Hawana tofauti!

adui wa demcrasia sio mwema, ni makamanda wa polisi walio na kadi za CCM kama Shilogile. Mwema amejitahidi sana ndani na nje ya jeshi. Unaweza kumtukana yeyote ni kwa kuwa Mwema anakubali challenges. he is fair, huwezi mlinganisha na mtangulizi wake, jambazi na mwizi MAHITA
 
Sijui mpaka lini na kwanini...
Sijui kwanini CDM hadi leo hii hawajaanzisha maandamano ya kumshinikiza Mwema aondoke au aondolewe; hata Bungeni hakunyoshewa kidole yeye mwenyewe na kutaka aondoke.. sijui mpaka nani wa CDM auawe ndio watajua kuwa Mwema na Chagonja ni hatari kwa demokrasia!!!

Kutokana na rekodi zao wenyewe inaonekana wamejifanya kuwa ni maadui wa kudumu wa haki za kiraia na haki za binadamu. Wazo kuwa wananchi wana haki ya kuandamana kuipinga serikali yao au uongozi wa walio madarakani halijawaingia kabisa kichwani!

Wako kama maafisa wa kizungu wa wakati wa mkoloni ambao walijaribu kuzima maandamano yaliyoongozwa na Mwalimu Nyerere au wale waliowafunga kina Makange! Hawana tofauti!

MM hakuna kitu ambacho mimi kina nitatiza kama amabavyo sisi tumeamua kuwaachia kufanya wafanyavyo. Rekodi ya polisi kuua raia wasio na hatia ni ndefu sana na hakuna taasisi yoyote au chama ambacho kimeweza japo kuamua kuwafungulia mashitaka hawa wauaji. Kama tunaona kuwa mahakama zetu hazitatenda haki kwanini tusiwapeleka kwenye mahakama ya kimataifa wakashatikiwe maana hakuna mtu yoyote aliyeruhusiwa kuua mtu pasipo kuchukuliwa hatua yoyote au polisi wa Tanzania wao wanayo leseni ya kuua bila kuchukuliwa hatua yoyote?
 
Nasikia una usongo wa kila mwenye cheo Serikalini kwani ulikuwa na hamu ya kurithi kazi ya baba'ko na umpite kwa cheo kwani yeye aliishia u rpc tu lakini kimo ndio kikawa tatizo kwako na ukashindwa kukubalika jeshini na uraiani ukaamuwa kuzamia USA na kuishi mafichoni. Pole sana na ahsante aliyegunduwa intaneti, angalau unaweza kujificha nyuma ya pazia na ukasambaza ***** bila ya kujulikana ni nani.

Sitaki kuamini kuwa ni kile kisa cha Tanga!

acha kuleta ufataani wako!
 
Mwema anajidai kukaa kimya eti atajitete the Hague kwamba hakuwepo kumbe hajui yeye ndiyo kiongozi wa wauaji watu kwa mitutu.

Mwema pingu hizo unajitahidi kujifunga mwenyewe
 
Hapo hujamuweka Paul Chagonja, hakyanani huyu mjinga ndo balaa kuliko wote. i have never seen this ZUZU speaking friendly even a single day. this ZUZU is very harsh, he thinks everything need to be obeyed, no negotiation, infact he is a full dictator, i real hate him.

Tuendeleeni kuwaelimisha watanzania, waelimike waachane na hili li-serikali la ccm MAJAMBAZI/MAFISADI/MANYANG'ANYI.

she use stomach to think insteady of brain-shame on her chg
 
Tujaribu kusogeza hoja hii kwa marekebisho ya Katiba kwamba potelea mbali ili Rais aweze kumteua mwanaye/mkewe/shemejiye/swahiba n.k kuwa Mkuu wa Majeshi,IGP,Kamishna wa Magereza au Jaji MKUU kuwepo na mfumo ulio huru wa kuwasaili watu hao tena wapeleke maombi na wakiisha kusailiwa ndipo uteuzi ufanyike.Kama Kenya wenzetu Jaji MKUU ANAPATIKANA KWA USHINDANI NA WAMEWEZA SISI TUMEROGWA?
 
28 Reactions
Reply
Back
Top Bottom