Said Mwema - Kuwa shemeji ya Rais ni leseni?

Naogopa sana pale wananchi watakapochoka nao wakaamua kuwageukia polisi,nahisi patakuwa hapatoshi.HAKUNA IDUMUYO MILELE KAMA MILIMA YA SAYUNI.
 
Polisi wametuchosha,huwezi kuwa na jeshi imara linalotumika kipuuzi namna hii! Kwanini vijana wetu wasitumie hata akili za kuzaliwa waweke migomo baridi? Hivi JWTZ wanaweza kutumika kipuuzi namna hii?

nature ya Mwema ni woga na hawezi kuhoji baadhi ya amri hata kutoka kwa mkuu wa wilaya!
 
angalieni bigger picture..mwema nae anapewa orders from above...kila mtu ana bosi wake kumbukeni isipokua Rais tu ndio top dog...Na yeye ili kubakia hapo inabidi afuate order anayopewa lasivyo atabadilishwa na kupewa mtu mwingine...
 
Mzee M M tatizo hapa siyo ushemeji,ila ni uzuzu na udhaifu wa Shemeji na shemeji mtu,
Akili zinawatuma kwamba wanaongoza maboga ambayo hayana ufahamu wa kujua jema
na baya,but ni suala muda tu.
 
Jambo afande Shilogile!

Huko kwetu ninakotokea na bila shaka hata wewe unatoka hukohuko kulingana na hili jina!Je,uliwahi kuuliza maana ya jina hili? Basi kikwetu maana ya SHILOGILE ni vitu vilivyo ROGWA kwa maana hiyo Kamanda Shilogile ni mtu aliyerogwa na ndiyo maana anafanya hivi vituko pale Morogoro!
Kama ni kurogwa basi wewe utakuwa mrogaji nambari one uliyewaroga Chadema waue ili wakuletee damu ya mtu unywe. upate madaraka. nenda shule ya maadili wewe madaraka hayatafutwi kwa ndumba siku hizi shule tu tena zenye kuelimika na sio madarasa ya kufungua baa za pombe na casino halafu mnataka siasa za kulazimisha sijawahi kuona watu wenye taaamaaa zinazo mzidi fisi kama ninyi, na hata kama mtakabidhiwa nchi si ndo damu itaenea kila mahali. karoga wenzako mm huniwezi.
 
Kama ni kurogwa basi wewe utakuwa mrogaji nambari one uliyewaroga Chadema waue ili wakuletee damu ya mtu unywe. upate madaraka. nenda shule ya maadili wewe madaraka hayatafutwi kwa ndumba siku hizi shule tu tena zenye kuelimika na sio madarasa ya kufungua baa za pombe na casino halafu mnataka siasa za kulazimisha sijawahi kuona watu wenye taaamaaa zinazo mzidi fisi kama ninyi, na hata kama mtakabidhiwa nchi si ndo damu itaenea kila mahali. karoga wenzako mm huniwezi.
?????????????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! ama kweli akili ni nywele ................................
 
acha kuleta ufataani wako!

Soma mada halafu utajuwa ufataani uko wapi.

Amesahau ya baba na mkwe, kaona ya shemeji tu? amesahau ya baba na mtoto? kaka na dada? Kikwete ndio alimuanzisha Mwema upolisi? na vyeo vyote alipandishwa na Kikwete? kama si ufataani ni nini huo? funguka kidogo usiwe umejigubika ubongo wako saa zote.
 
Tujaribu kusogeza hoja hii kwa marekebisho ya Katiba kwamba potelea mbali ili Rais aweze kumteua mwanaye/mkewe/shemejiye/swahiba n.k kuwa Mkuu wa Majeshi,IGP,Kamishna wa Magereza au Jaji MKUU kuwepo na mfumo ulio huru wa kuwasaili watu hao tena wapeleke maombi na wakiisha kusailiwa ndipo uteuzi ufanyike.Kama Kenya wenzetu Jaji MKUU ANAPATIKANA KWA USHINDANI NA WAMEWEZA SISI TUMEROGWA?
2.jpg

 
Mwema si ndiye aliyebunya hela za Kasusura kule Mbeya kisha akamdandia vilevile na mpaka leo mchizi yule yupo lupango wakati mahela yalikuwa yanaletwa kinyemela bila kufuata taratibu
 
Mwema aliingia na focus kubwa kwelikweli ya kufanya/tenda kazi kwa haki sambamba na kuboresha jeshi lenyewe lkn madudu ya wanasiasa waliomteua yamembadili kabisa

Tulimlaumu, Mahita kwa upotoshaji, lakini Mwema ni muuwaji. Mikono yake imetapakaa damu ya wanyonge wasio na hatia yoyote
 
wa welewa wangu ni kwamba mtuhumiwa mkuu anapaswa kuwa yule aliyewaumba, akawapa ulaji na kuwakingia kifua kila wanapofanya lolote. Kimsingi, lolote wafanyalo hawa uliowaita watuhumiwa namba moja na mbili huwa wanatekeleza wajibu wao kwa bwana wao. Hivyo under vicarious liability, Kikwete hawezi kukwepa kuwa mtuhumiwa namba moja. Sioni sababu ya kumchukia mbwa kuliko aliyemfuga so to speak.
 
Tanzania mambo ya hovyo kweli. Angalia. . .
1. Kazi ya polisi ni kulinda raia na mali zao. Kumbuka, mbele ya polisi raia wote ni sawa. Wawe ni wa CCM,CDM au hata kama ni majambazi! Kazi ni kuwalinda na kama wanavunja amani, wanapelekwa mbele ya vyombo vya sheria!

2. Kama CDM wamekaidi kosa la kuandamana, na hawajaharibu mali za watu, ukiwapiga mabomu unalindaje amani? Hivi watu wamekusanyika kuwapokea viongozi wao, kwanini uwatawanye kwa mabomu?

3. Mimi nadhani, the best ni kuwa, kama wamepinga kusitisha maandamano, then polisi wanapaswa kuwalinda katika maandamano yao 'batili'. At the end wawakamate viongozi wao na kuwashtaki kwa kufanya maandamano kama kuna sheria hiyo.
Kuwapiga watu risasi kunaonesha 'another intention'. Na naona ni uccm+ushemeji+udhaifu+wizi=?
 
Back
Top Bottom