SAFI SANA, Trump amejishusha na kukubali kusitisha mashambulizi Iran

SAFI SANA, Trump amejishusha na kukubali kusitisha mashambulizi Iran

Trump:nitapiga miundo mbinu ya IranMandezi wa god of Israel TZ:Israel taifa Teule,Iran lazima ipigwe andiko LitimieTrump:sitopiga miundombinu yao italked with IranIran:hatujaongea na TrumpMandezi wa god of Israel TZ:Israel ikiamua inaweza piga popote Iran,
🐒
🐒
🐒
🤣
😃
😅
😁
🙌
 
Amiinike au asiaminike hiyo ni juu yake. Alitoa masaa 48 ya kufungua Strait Hormuz au ashambulie miundombinu ya umeme.

Iran wakamjibu hawafungui na akithubutu kushambulia wataangamiza mifumo ya umeme na nishati ya Israel na middle east nzima.

So hilo limemtia hofu na ukizingatia anawajua vizuri jamaa sio wanasiasa, wakiahidi wanatenda tena kwa kuhakikisha maumivu zaidi.

So muda unayoyoma, yeye akidanganya anakuwa amejidanganya mwenyew na Netanyahu wake.
1774272317254.jpg
 
Simba kumwua nyumbu siyo story, lakini nyumbu kumng'ata simba mkia ndo story. Muwe mnaangalia hata aljazeera basi kidogo. Lakini vipichapicha vya AI havibadili ukweli kuwa Irani inachapwa.
 
Back
Top Bottom