SAFI SANA, Trump amejishusha na kukubali kusitisha mashambulizi Iran

6 Pack

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2022
Posts
3,653
Reaction score
8,000
Niaje waungwana

Kwa mara ya kwanza tangu dunia iumbwe, Iran ndio nchi ya kwanza imeifanya Marekani na Trump watubu na kujutia walichokifanya.

Kwanza Iran ndio nchi ya kwanza kuingia vitani na Marekani huku ikiwa imeungana na Israel

Pili Iran ndio nchi ya kwanza kushambulia nchi 10 kwa wakati mmoja na kwa muda wa week 3 bila kupumzika. Nchi hizo ni Saudi Arabia, Qatar, Kuwait, Jordan, Dubai, Israel na kambi zote za Marekani zilizopo katika eneo la mashariki ya kati, na bila kusahau UK iliyotikishwa juzi kupitia kisiwa chake cha jeshi.

Tatu ndio nchi ya kwanza kushambulia Israel huku kukiwa ni maelfu ya mifumo ya anga na ardhini hadi kupelekea baraza zima la Netanyahu kulia mbele ya camera ili kuomba msaada wa kijeshi kutoka nchi zingine.

Nne nchi ya kwanza kuangusha ndege ambayo ilikuwa haionekani kwenye rada, bila kusahau kuigeuza meli kubwa ya kijeshi ya Marekani banda la kufugia njiwa now.

Hii vita ya week 3 Iran imefanya mengi ambayo hayakutarajiwa, hadi waliokuwa wanaisharau kuanza kuihofia hasa baada ya kugundua wana makombora ya kupiga popote Ulaya 🤣🤣🤣
FB_IMG_1774267450303.jpg
 
Wewe unamuamini huyo chi.zi
Anachoongea tofauti na kinachotendeka.

IRAN WENYEWE HAWAMWAMINI.
Amiinike au asiaminike hiyo ni juu yake. Alitoa masaa 48 ya kufungua Strait Hormuz au ashambulie miundombinu ya umeme.

Iran wakamjibu hawafungui na akithubutu kushambulia wataangamiza mifumo ya umeme na nishati ya Israel na middle east nzima.

So hilo limemtia hofu na ukizingatia anawajua vizuri jamaa sio wanasiasa, wakiahidi wanatenda tena kwa kuhakikisha maumivu zaidi.

So muda unayoyoma, yeye akidanganya anakuwa amejidanganya mwenyew na Netanyahu wake.
 
Niaje waungwana

Kwa mara ya kwanza tangu dunia iumbwe, Iran ndio nchi ya kwanza imeifanya Marekani na Trump watubu na kujutia walichokifanya.

Kwanza Iran ndio nchi ya kwanza kuingia vitani na Marekani huku ikiwa imeungana na Israel

Pili Iran ndio nchi ya kwanza kushambulia nchi 10 kwa wakati mmoja na kwa muda wa week 3 bila kupumzika. Nchi hizo ni Saudi Arabia, Qatar, Kuwait, Jordan, Dubai, Israel na kambi zote za Marekani zilizopo katika eneo la mashariki ya kati, na bila kusahau UK iliyotikishwa juzi kupitia kisiwa chake cha jeshi.

Tatu ndio nchi ya kwanza kushambulia Israel huku kukiwa ni maelfu ya mifumo ya anga na ardhini hadi kupelekea baraza zima la Netanyahu kulia mbele ya camera ili kuomba msaada wa kijeshi kutoka nchi zingine.

Nne nchi ya kwanza kuangusha ndege ambayo ilikuwa haionekani kwenye rada, bila kusahau kuigeuza meli kubwa ya kijeshi ya Marekani banda la kufugia njiwa now.

Hii vita ya week 3 Iran imefanya mengi ambayo hayakutarajiwa, hadi waliokuwa wanaisharau kuanza kuihofia hasa baada ya kugundua wana makombora ya kupiga popote Ulaya 🤣🤣🤣View attachment 3561690
Amemuogopa Kim Jong Un
 
iran wamekatata wamesema hakuna maongezi yaliokuepo
 
Back
Top Bottom