Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,018
- 142,883
Da Lucas ndo katibu wake kumbe…Ngoja katibu wake Lucas mwashambwa aje
Fuatilia thread zake humu mpaka namba za simu anaweka kabisaDa Lucas ndo katibu wake kumbe…
Watakuja kujibu japo kwa majibu mepesi ila yasio na weledi!Mjinga mimi nina swali. Ni swali kumhusu Rais Samia [baadhi yenu ni mama yenu].
Sina takwimu wala taarifa zingine zozote za kuufuta huu ujinga wangu.
Na hata sijui niende wapi ili kuzipata takwimu na taarifa hizo.
Hivyo basi, JamiiForums ndiyo kimbilio langu nitakapo kupata baadhi ya taarifa.
Kwa namna fulani, JF imekuwa ni injini ya utafutaji wa baadhi ya taarifa.
Sasa ni hivi; huyu Rais wetu tokea achukue madaraka, ameshakaa nchini kwa hata mwezi mzima [mmoja] bila kusafiri kwenda nje ya nchi?
Nauliza hivyo kwa sababu naona kama vile kila baada ya wiki mbili hivi huwa ni lazima asafiri kwenda nje ya nchi, jambo ambalo sidhani kama lina tija sana kitaifa.
Wajuzi nijuzeni, tafadhalini sana.
Luca sasaaa.Nakuja nikujibu kwa ufupi lakini kwa namna ambayo utaelewa na kukata kiu yako.
Kwenda nje mara kwa mara siyo vizuri. Safari za rais ni gharama sana.kwenda nje sio shida, shida ni inaleta faida au hakuna kitu...??
Hao hao unaowaita wabobezi ndio wanataka akae nje ya nchi muda mwingi ili wafanye yao! Sasa hivi naelewa kwa nini Magu aligoma kutoka nje ya nchi! Mama anapigwa kisawasawa! Nimemwambia na mimi aniteue japo kwa mwaka huu mmoja uliobaki kwenye utawala wake na sisi tule mema ya nchi!Sidhani kama Rais anajipangia safari. Ana timu ya wataalamu wabobezi; mabingwa wa nyanja zote ambao hupanga safari zake. All options, possibilities, pros and cons; advantages and disadvantages zinakuwa zimezingatiwa by the time Rais anapokuwa anaelekea airport. Take that!
Exactly, bottom line ni Mtanzania Afaidike, what's the point mtu akae ndani kama tupo kisiwani wakati anaweza kutengeneza Connection nyingi nje?kwenda nje sio shida, shida ni inaleta faida au hakuna kitu...??
Ngoja mbunge wa zamani wa mbeya mzee sugu akusikie, maana ndie kuchakutwa alikuwa analazimisha na kuuliza maswali, kwa nini jpm haendi njeee??Mjinga mimi nina swali. Ni swali kumhusu Rais Samia [baadhi yenu ni mama yenu].
Sina takwimu wala taarifa zingine zozote za kuufuta huu ujinga wangu.
Na hata sijui niende wapi ili kuzipata takwimu na taarifa hizo.
Hivyo basi, JamiiForums ndiyo kimbilio langu nitakapo kupata baadhi ya taarifa.
Kwa namna fulani, JF imekuwa ni injini ya utafutaji wa baadhi ya taarifa.
Sasa ni hivi; huyu Rais wetu tokea achukue madaraka, ameshakaa nchini kwa hata mwezi mzima [mmoja] bila kusafiri kwenda nje ya nchi?
Nauliza hivyo kwa sababu naona kama vile kila baada ya wiki mbili hivi huwa ni lazima asafiri kwenda nje ya nchi, jambo ambalo sidhani kama lina tija sana kitaifa.
Wajuzi nijuzeni, tafadhalini sana.
Ina maana tuna Rais asiye na say so yoyote ile?Sidhani kama Rais anajipangia safari. Ana timu ya wataalamu wabobezi; mabingwa wa nyanja zote ambao hupanga safari zake. All options, possibilities, pros and cons; advantages and disadvantages zinakuwa zimezingatiwa by the time Rais anapokuwa anaelekea airport. Take that!
Kwenda nje siyo shida.Ngoja mbunge wa zamani wa mbeya mzee sugu akusikie, maana ndie kuchakutwa alikuwa analazimisha na kuuliza maswali, kwa nini jpm haendi njeee??
"Ili wanfanye yao"! That's very wrong kama kuna mteule anafanya hivyo yafaa afungwe jiwe la kusagia shingoni akatupwe kilindi kirefu!Hao hao unaowaita wabobezi ndio wanataka akae nje ya nchi muda mwingi ili wafanye yao! Sasa hivi naelewa kwa nini Magu aligoma kutoka nje ya nchi! Mama anapigwa kisawasawa! Nimemwambia na mimi aniteue japo kwa mwaka huu mmoja uliobaki kwenye utawala wake na sisi tule mema ya nchi!
Naunga mkono hojaMjinga mimi nina swali. Ni swali kumhusu Rais Samia [baadhi yenu ni mama yenu].
Sina takwimu wala taarifa zingine zozote za kuufuta huu ujinga wangu.
Na hata sijui niende wapi ili kuzipata takwimu na taarifa hizo.
Hivyo basi, JamiiForums ndiyo kimbilio langu nitakapo kupata baadhi ya taarifa.
Kwa namna fulani, JF imekuwa ni injini ya utafutaji wa baadhi ya taarifa.
Sasa ni hivi; huyu Rais wetu tokea achukue madaraka, ameshakaa nchini kwa hata mwezi mzima [mmoja] bila kusafiri kwenda nje ya nchi?
Nauliza hivyo kwa sababu naona kama vile kila baada ya wiki mbili hivi huwa ni lazima asafiri kwenda nje ya nchi, jambo ambalo sidhani kama lina tija sana kitaifa.
Wajuzi nijuzeni, tafadhalini sana.
Urais ni taasisi; taasisi ni watendaji. Hata Marekani ni hivyo even more!Ina maana tuna Rais asiye na say so yoyote ile?