Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,662
UsithubutuFeed back muhimu katika kila hatua me pia nina mpango huo
But me i wanna use rat way
UsithubutuFeed back muhimu katika kila hatua me pia nina mpango huo
But me i wanna use rat way
Kwanini kiongoziUsithubutu
Ukiwa unaenda kujaribu maisha ugenini jitahidi kufuata sheriaKwanini kiongozi
Ngoja tusubiri mwana wane.
Mwaguku tamu..
M
imi natokea kahama dar nilikua naishi magomeni mapipa
Mimi nikifika joberg ni mwendo WA sellfii nimebeba cm mbili wakiiba natoa mpyaa
eminza !ja kwenoko
eminza kaka!madela gayaNg’wanene....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi nikifika joberg ni mwendo WA sellfii nimebeba cm mbili wakiiba natoa mpyaa
Nyumbani kabisa mkuu (Kahama Bulyanhulu jirani na mgodi wa Bulyanhulu upande wa Geita)M
imi natokea kahama dar nilikua naishi magomeni mapipa
Najua ila safari ya kwenda kule kwangu mimi ni ya kuunga unga maana sina sifa za kusafiri majo kwa mojaUkiwa unaenda kujaribu maisha ugenini jitahidi kufuata sheria
Unaweza kuungaunga lkn kuwa na vielelezo sahihi ni salama zaidi pia ni vizuri document ukaziscan na kuziweka kwenye email yako. Unaweza ibiwa kila kitu lkn hizo zikasaidia hata unapotoa maelezoNajua ila safari ya kwenda kule kwangu mimi ni ya kuunga unga maana sina sifa za kusafiri majo kwa moja
Ndo maana kabla sijaanza safari najaribu kufutiria baadhi ya watu walisafiri kwenda hukoUnaweza kuungaunga lkn kuwa na vielelezo sahihi ni salama zaidi pia ni vizuri document ukaziscan na kuziweka kwenye email yako. Unaweza ibiwa kila kitu lkn hizo zikasaidia hata unapotoa maelezo
Hata mm wakati nazamia walinibeza sana hapa Jf. Tofauti yangu na wengine mie nilikuwa na sehemu ya kufikia. Malengo ni imani cha msingi ni kumtanguliza mungu na tabia njema basiNdo maana kabla sijaanza safari najaribu kufutiria baadhi ya watu walisafiri kwenda huko
hili sio utani... Joberg sio kama vingunguti ama kariakoo... wakishajua wewe mgeni na unatembea na begi haunalo...Mimi nikifika joberg ni mwendo WA sellfii nimebeba cm mbili wakiiba natoa mpyaa
Mkuu umeenda kutafuta life au location??? Au hii siyo safari yako ya kwanza.Mimi nikifika joberg ni mwendo WA sellfii nimebeba cm mbili wakiiba natoa mpyaa
Mbongo utajulikana tuu, sijawai kwenda lakini that's what they say. Epuka pombe na uhalifu.Mpango WA kupokeana sitaki nimetoka peke yangu nakwenda na Bahati yang, wengi walioko huko wanajihusisha na vitu haramu