Kanali mwime
Member
- May 5, 2018
- 71
- 171
- Thread starter
- #81
Wakuu nipo vizuri msihofu MUNGU hawezi kuniacha
Ha haha haha haaa....."" hapo umeishia darasa la saba una majibu ya kunya hivi "" ungekuwa na PHD siungewanasa watu vibao humu""...Mimi nikifika joberg ni mwendo WA sellfii nimebeba cm mbili wakiiba natoa mpyaa
hahaha muombe radhi jiwe ""....Hizo ni lafudhi za makabila ndugu kunà wenye mpaka phd herufi R,,L ni shida hivyo muombe radhi
Nipatie kiongoziUkifika boda nipigie namba yang ni ile ile cjabadilisha kiongoz
umefika wapi?Nipatie kiongozi
Yule jamaa itakuwa yupo gerezani maana alipotea tangu siku ya pili ya safari yake.Hivi yule mwingine alipatikana japo atupe feedback?
HahahaahaDah ...ukifika mtafute mtu mmoja anaitwa Julius Malemo.....mwambie wewe ni Kanali mwime kutoka Tanzania.... Kazi kwisha...
Kama tz imekushinda south unaenda kufanya nini? Baki hapa tupambane na hali yetu.Wakuu as salaam aleikum,
Nimejiunga JF ili nipate wadau wazoefu na hii safari yangu ya SA adventure natumia njia ya barabara nitasafiri na taqwa hapo kesho nikitokea Ubungo mpaka Lusaka.
Sijawai kufika, elimu yangu darasa la saba kingereza najua pia siendi kujiunga na Watanzania walioshindikana huko.
Nina pesa ya kujikimu wakati natafuta kazi sina mwenyeji nilizaliwa kupambana, kila la kheri wakuu mwenye kuniongezea ushauri nitashukuru
Kati ya mambo ambayo niliyazigatia ni hili la kutokujuana. Wengi wao watakuharibia tu CV kwa mwenyeji wako.Ndugu ukifika huko jitahidi sana kuwa makini na WASWAHILI pamoja na WASOMALIA.
Mbongo hata ukiwa unamfahamu kabisa mkimaliza story endelea na mambo yako. Jitahidi asijue hata unapoishi.
Ukicheka nao UTAVUNA MABUA MATUPU.
Hapo Pretoria wamejaa hata mtaani wanaongea kiswahili. Joberg ndo usiseme
Hapo nakonde utaratibu unakuaje mkuu?hakuna vitisho mzee baba... umeamua kwenda mwenyewe kama mwanaume utakalo likuta uendako likabili kiume.
usisahau kadi ya njano... hapo Nakonde wazambia wasumbufu saana.
lingine, hapo hapo Nakonde unaweza kupigwa pesa kwenye kubadilisha pesa kuwa makini usimwamini mtu.
Help me how to get yellow fever vaccination card.
BorderHelp me how to get yellow fever vaccination card.
Where I can get it?
How much?
Sent using Jamii Forums mobile app