white hat
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 3,320
- 2,489
Kuna mwenzako alienda mwaka jana akitokea babati to South AfricaWakuu as salaam aleikum nimejiunga JF ili nipate wadau wazoefu na hii safari yang ya SA adventure natumia njia ya barabala nitasafiri na taqwa hapo kesho nikitokea ubungo mpaka Lusaka, sijawai kufika elimu yang darasa LA Saba kiigereza najua pia siendi Kujiunga na watanzania walioshindikana huko Nina Pesa ya kujikim wakati natafta kazi sina mwenyeji nilizaliwa kupambana kila lakheri wakuu Mwenye kuniongezea ushauli nitashukuru
Safari ya South Africa ndio nimeanza
Baada ya kufika akatoa feedback hapa
Mrejesho wa safari yangu ya South Africa
Baada ya muda akatupa tena updates hapa
South Africa msije Sio kuzuri
Kwahiyo unaweza kujifunza vitu viwili vitatu kwenye nyuzi zake hapo juu
Nikutakie safari njema