MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,084
huyu huenda akitia nia akaja akawaajiri watoto wetu!Barabala, ushauli = what is that @ MBITIYAZA
huyu huenda akitia nia akaja akawaajiri watoto wetu!Barabala, ushauli = what is that @ MBITIYAZA
Ngoja tusubiri mwana wane.huyu huenda akitia nia akaja akawaajiri watoto wetu!
EminzaaNgoja tusubiri mwana wane.
Mwaguku tamu..
Mkuu joberg nikifika Usiku naomba nikutafteUkifika SA nitafute nikuulize kitu..!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Afadhali tuendelee kupungua,labda vyuma vitaachia!
Mhola gete, ba m'phala abha mamiEminzaa
imi natokea kahama dar nilikua naishi magomeni mapipaUnatokea eneo gani hapa dar?
Kama umetokea magomeni huwezi kukosa wa kukupokea SA mkuu labda uwe umeondoka kimya kimyaM
imi natokea kahama dar nilikua naishi magomeni mapipa
Mpango WA kupokeana sitaki nimetoka peke yangu nakwenda na Bahati yang, wengi walioko huko wanajihusisha na vitu haramuKama umetokea magomeni huwezi kukosa wa kukupokea SA mkuu labda uwe umeondoka kimya kimya
Amina mkuu nikitua joberg natuma feed backSafari njema mkuu. Mungu akafanye sawa na maombi yako.
Usisahau mkuuAmina mkuu nikitua joberg natuma feed back
Mimi nikifika joberg ni mwendo WA sellfii nimebeba cm mbili wakiiba natoa mpyaaUsisahau mkuu
Haha anakuuzi he[emoji22] kwani cha alieishia chuo kikuu kikoje mkuu?Kiswahili chako kinaonekana kweli uliishia la saba, pole sana.
The most dangerous way in the entire world..pambana tu hapahapa utatoboa! Haraka yanini mkuu?Feed back muhimu katika kila hatua me pia nina mpango huo
But me i wanna use rat way
Hizo ni lafudhi za makabila ndugu kunà wenye mpaka phd herufi R,,L ni shida hivyo muombe radhiBarabala, ushauli = what is that @ MBITIYAZA
Hahah, mkuu wezi wako humu humu so unawaambia wakuibie simu mbili na si simu mojaMimi nikifika joberg ni mwendo WA sellfii nimebeba cm mbili wakiiba natoa mpyaa
Karibu mkuu, uko sawa usipende kapani za Wabongo watakusababishia matatizo. Siku ukitaka kuvuka Botswana pitia North West Province (Mafikeng)Wakuu as salaam aleikum,
Nimejiunga JF ili nipate wadau wazoefu na hii safari yangu ya SA adventure natumia njia ya barabara nitasafiri na taqwa hapo kesho nikitokea Ubungo mpaka Lusaka.
Sijawai kufika, elimu yangu darasa la saba kingereza najua pia siendi kujiunga na Watanzania walioshindikana huko.
Nina pesa ya kujikimu wakati natafuta kazi sina mwenyeji nilizaliwa kupambana, kila la kheri wakuu mwenye kuniongezea ushauri nitashukuru