maruudaniel
JF-Expert Member
- Dec 19, 2020
- 888
- 1,075
Mku unaenda Mji gani
Zipo nyingi ila kuchagua mahali sahihi.Africa hii hii sishauri ukaenda nchi yoyote. Heri ukaenda nchi za ulaya maana south kwenyewe kuna vijana kibao jobless ukienda na wewe kuongeza ushindani hawatakuacha salama
Mku hbr za Durban.mkuu niko Durban ukiwa natatizo lolote nitafute
Umejiunga leo JF?Zipo nyingi ila kuchagua mahali sahihi.
Mfano Mozambique na Malawi mambo yapo
Mku unaenda Mji gani
life imebadiliki sio kama zamani corana inasumbua mkuuMku hbr za Durban.
Daton mishemishe kama zamani