Safari yangu ya Mwanza

[emoji23]Atakuwa katika kuchimba dawa kapanda la Bariadi, ila Allys ya Bariadi, inatokea Morogoro haitokei Dar. Na ilishafika huko zamani.

Everyday is Saturday................................😎
Kwani mkuu ukitoka hapa dar saa 12asubuhi na basi lolote la Mwanza je unafika kule saa ngapi??

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Kwani mkuu ukitoka hapa dar saa 12asubuhi na basi lolote la Mwanza je unafika kule saa ngapi??

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Basi kule zinaanza kuingia saa 4-5-6-7, inategemea na tochi na hali ya hewa.

Ila ikishakuwa giza, wanakanyaga tu accelerator. Na barabara ni tambarare, na kipande kifupi korofi kimeharibika.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
"azawaizi"(In uzinzi voice!)
 
Dragon ni nyoko dingii
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…