Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,180
- 22,806
- Thread starter
-
- #61
Watanzania wengi mna stress hivyo Mnatafuta chanzo au pa kutolea stress/povu. ππππ Ukikalia kitu chenye ncha kali muda mrefu unaathirika.Mtoa uzi ni popoma fulani hivi
Ukifika Nzega kabla ya saa nne basi hilo Bus ni balaa
Kuna wakati Kama ule muda wa bar lazima watu muongee Mambo Kama haya kupunguza stress.Mtoa uzi ni popoma fulani hivi
Tutafika kablaya ya 3 dereva nimempa ushauri anaufanyia kazi.sasa haogopi tena. Ila Hunter limetupita hilo Bus. Wanasema engine nyuma
π€£π€£π€£π€£π€£ππππππ Enjoy yo' trip komeoπππTumekutanaa washamba. Ila we mshamba zaidi kushadadia uzi au kuwa mfuasi wangu
Mm hiyo barabara hata nikufumba macho najua hapa wapi..ah nishaichokaNina muda sijasafiri kwa Bus.
Saa3 mwanza? Ah wapTutafika kablaya ya 3 dereva nimempa ushauri anaufanyia kazi.sasa haogopi tena. Ila Hunter limetupita hilo Bus. Wanasema engine nyuma
Hivi kweli Wangari Maathai tuchukulie unahama unatoka moro kwenda Mwanza utabeba mandoo?hayo si yanakujazia tuu nafasi ndoo zenyewe zinauzwa bei rahisiKisa?
Huyo dogo inaonekana ndo ameanza maisha mkuu usifananishe kbs ..unaweza uza ndoo ukashindwa vile vile kununua...!Hivi kweli Wangari Maathai tuchukulie unahama unatoka moro kwenda Mwanza utabeba mandoo?hayo si yanakujazia tuu nafasi ndoo zenyewe zinauzwa bei rahisi
Engine gani hio inatumia petrol?Hiyo allys uliyopanda haikimbii sana inaonesha.. Ipo ally's moja hio haitumii diesel inatumia petrol.ni balaa na nusu
Basi zao zina SEAT za kibabe kama ndege. Nawakubali sana.Happy nation naukubari saana imagine SAA 3 tulikuwa shinyanga SAA 5 kamili tuko nyegezi
Hivi we uko safari kweli, au unatafuta like na comments be serious basiNlilala...nmekuja shtuka watu wanatakiwa kwenda fukia dawa. Nikashuka kasi sana maana nlikuwa bado nina usingizi then nilipofika nje nikawa sielewi elewi.usingizi ulipoisha nikaona watoto wakali wengi pia wanaelekea bua Sauli. Nikawafuata kufika mlangoni ndo akili ikarudi kuwa naenda wapi tena.
Ulichokiongea hakina mbele Wala nyuma yaan upo upo tu Kama zuzu hvi
Unapoteza mda hamna safari hapaHuu uzi n subscribe kabisa.
Unakoelekea huu uz ni watu kugombana mana mwanzilish mwnyw ni kauzu
Yaanii we jamaaa ni mshamba sanaa asee,afu hujielewi bado...
Nzega tumepita saa 2:21Ukifika Nzega kabla ya saa nne basi hilo Bus ni balaa