Safari yangu ya Mwanza

Kuna sehemu hapo karibu kabisa na Jimbo la sabufa, panaitwa Chalinze ndogo mita chache kabla kufika Dodoma. Pana chomwa nyama ya mbuzi. Vipi dereva alikua muungwana akasimamisha hapo ukala utumbo wa mbuzi wa kuchoma?
Otherwise lunch mlikula wapi?
 
🀣🀣🀣🀣Kwani ushamba ni tusi..??ni kweli ushamba unakusumbua bhanaa kwani nasema uongo ndugu yangu???usipanic sana kadiri unavyosafiri safiri ushamba utapungua halafu utakuja kuwa mjanja siku moja....🀣🀣🀣🀣😜
 
Mkeka wenu huu hapaKUTOKA : DAR
KWENDA : MWANZA
LOCATION :IGUNGA

1/ Isamilo [emoji1049][emoji1049] DSB 18:28[emoji91][emoji91][emoji91]

2/ Ally's star [emoji521][emoji521] DVA 18:28[emoji91][emoji91][emoji91]

3/ Simiyu Dreamliner DGW 18:30

4/ Ally's star [emoji521][emoji521] DVA 18:36

5/ Frester [emoji1173][emoji1173]DUC 18:37

6/

7/

8/

Upo ktk allys ipi
 
Kuna sehemu hapo karibu kabisa na Jimbo la sabufa, panaitwa Chalinze ndogo mita chache kabla kufika Dodoma. Pana chomwa nyama ya mbuzi. Vipi dereva alikua muungwana akasimamisha hapo ukala utumbo wa mbuzi wa kuchoma?
Otherwise lunch mlikula wapi?
Magari ya mwanza pale hayasimami mkuu...wananiudhig balaa yaan
 
Kuna sehemu hapo karibu kabisa na Jimbo la sabufa, panaitwa Chalinze ndogo mita chache kabla kufika Dodoma. Pana chomwa nyama ya mbuzi. Vipi dereva alikua muungwana akasimamisha hapo ukala utumbo wa mbuzi wa kuchoma?
Otherwise lunch mlikula wapi?
Hakuwa muungwana. I wish tungepewa hata nusu saΓ  tule nyama choma. Kuna haja ya kuweka sheria za namna hii
 
Tumekutanaa washamba. Ila we mshamba zaidi kushadadia uzi au kuwa mfuasi wangu
 
Ww jamaa hata ndioo unasafirisha hizo si uwapatie majirani bure
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…