Safari yangu ya kumuona Maxence, nimejifunza mengi gerezani

Nilishasema Lumumba wengi wanafurahia sana hii hali.
Hapana huo ni uongo kabisa manake JF Ina vitu vingi sana vya maana ambavyo havina mringo WA upande wowote ila watu kama ndiye unayeharibu JF kwa kufanya kila kitu Ni cha kisiasa wakati so kweli.Kuliko uandike vitu vya uongo kama hivi Ni busara kukaa kimya.
 
Mkuu shukrani sana kwa mrejesho.
Asante pia kwa kutuwakirisha ningekuwepo nisingelikosa.
Inshallah bila shaka kesho atatoka na yatakwisha.
 
well analyzed story.
highfive
 
Tumuombee asiwe na hatia ya aina yoyote, na ashinde kesi.

Nitafurahia sana kama atakuwa kaonewa na sio yeye ndiye mwenye kosa.

Japo mimi ni mwanachama wa CCM, lakini sipendi dhulma wala uchochezi. Kiongozi wangu akiwa amekosea sitamtetea lak8ni akiwa sawa nitasema.

Kwa hili sioni haki ya kutompa mdhamana, mtu anajulikana, ana mali na familia yake ipo hapa nchini.

Kuna wakati we are politically affiliated na kuna wakati we are nationalistic . Kwenye hili la Mello full justice has to be implemented, na kama hakupatikana na kosa lolote serekali imuombe msamaha.
 
Jela sio kubaya sana kama zamani, siku hizi ule ubabe wa kugeuzwa mke wa mtu umefanyiwa kazi.
Pia polisi wa pale wanakua fair, tatizo linakuja ukiwa jeuri. Na hilo la watu kukaa kitambo bila hukumu ni kawaida.
Ubaya wa Jela ni mmoja tu “KUKOSA UHURU”
Anyway hongera mkuu na wote ambao wamemtembelea boss.
[HASHTAG]#freedom4Mello[/HASHTAG]
You can kill a revolutionary but you can't kill the revolution... Struggles continue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…