Safari yangu ya dhahabu Botswana

Safari yangu ya dhahabu Botswana

Huyu bwege ni wa kupuuzwa, kajipatia umaarufu kwa njia za udanganyifu.
 
Asanteni kwa uvumilivu na uwepo wenu hapa. Natanguliza shukrani zangu za dhati kabisa kwa wakuu wote humu jukwaani. Mungu awabariki.

Nilisema tutarudi nyuma kidogo, kutokana na changamoto fulani fulani zinazoendelea kukinzana nasi hapa jukwaani na zilizotaka kuleta uzito kidogo katika kuendelea kuadithia habari hii.

Ahsanteni wote kwa kunipa nguvu, moyo na uthubutu zaidi juu ya watesi wetu.

Tunaendelea sasa hatua kwa hatua. Kwanza napenda kuwajuza kuwa habari hii imebeba zaidi ya miaka kumi na ndio maana halisi ya kuitwa SAFARI YA DHAHABU. Na ningesema nihadisie kwa haraka haraka, wala isingekuwa na maana kabisa, yaani ni bora nikae kimya tu. Mfano kutoka mafinga hadi songwe ilituchukua siku kadhaa, Songwe hadi tunduma siku kadhaa, Tunduma tulikaa miezi kadhaa, sasa hapo sina budi kuelezea kwa undani kwanini ilikuwa hivyo?? Kwanini mwenzetu alikwamia Tunduma.? Hayo yote yanaitaji maelezo ya kina na hiyo ndio itakamilisha maana halisi ya habari hii.

Baada ya kukosa usafiri ile asubuhi ya kwanza pale mafinga mjini..hatukukata tamaa maana hatukupanga kabisa kuweka kambi ya muda mrefu pale kutokana na baridi kali.
Tulifanikiwa kuunganishwa katika gari ndogo hivi, sikumbuki lilikuwa aina gani lakini lilikuwa likitokea kwenye shule ya jeshi iliyopo maeneo hayo.
Tulipata lifti ya bure kabisa, huwezi amini na hii ilitokana na mionekano yetu, tulikuwa bado wasafi na muonekano wa kimjini mjini hivyo hali hiyo ilitusaidia sana kukubalika na kuaminika kila tulipokuwa.
Safari yenye mavituo yasiyo na idadi ikaanza tena huku dereva akituambia yeye anaishia Makambako, na kabla ya kufika Makambako kuna sehemu atapitia mzigo wake, hivyo tuwe wavumilivu tu.

Aisee lile gari dogo lilikuwa linasimama kila wakati, tulikuja kugundua yule jamaa alikuwa anafanya kazi kwenye mashamba ya miti, maana kila sehemu akiona watu njiani na mizigo mizigo lazima amakinike nao kuwa wanafanya nini hasa.
Hatimae tuliwasili hiyo sehemu aliyosema atapitia mzigo wake, ilikuwa mbali kidogo hivi na Mafinga kisha kama unaelekea Songea na Mbeya huko unakata kona upande wako wa kushoto. Maeneo hayo yote yalikuwa yaletawaliwa na miti iliyopandwa vizuri kwa mistali nyoofu kabisa, mwanzo hatukuamini kama kule tunakoingia kuna mji. Sisi tulizani kama sio leo tumekwisha kwa kuchunwa ngozi basi tunaenda kufanywa kitu mbaya na kuibiwa kila kitu huko.
Lakini baada ya kuingia ndani kidogo ndipo tunakutana na kimji mji fulani hivi kizuri yaana kule kulikuwa na vile vinyumba kama vya ulaya hivi.... Juu vina sehemu ya kutolea moshi na vimepangiliwa vyema hasa. ( jina la sehemu hii silikumbuki kabisa, ambao mtakuwa mmenielewa na mnapafahamu mtatusaidia kidogo kutujuza)

Tulishuka wote ndani ya gari na mwenyeji wetu alituacha hapo kwa muda wakati yeye akiendelea na kilicho mpeleka.
Baada ya zaidi ya nusu saa mbele, safari yetu iliendelea kuelekea Makambako, njiani tuliona maelfu ya miti na mapori na vinyumba vya ajabu ajabu tu wakati huo.
Kutokana na ugeni wa njia ile tulibaki kushangaa shangaa tu kila kona hadi tulipoambiwa tunakaribia kufika mwisho wa safari na tulipaswa kuishia barabarani huko maana yeye alikuwa anaingia kwenye kambi ya jeshi iliyokuwepo maeneo hayo.
Na alitupa maelekezo mazuri ya jinsi ya kupata usafiri wa kutufikisha Mbeya, maana tulimwambia kuwa safari yetu ingeishia hapo mjini Mbeya tunapoenda kusalimia ndugu.

Katika safari yetu hatukuwa na haraka hata kidogo. Tuliazimia kutumia ghalama ndogo na nafuu zaidi, huku tukijua kwa maeneo ya mikoani matumizi huwa si makubwa tofauti na DSM. Mfukoni nilikuwa na vichenchi chenchi vya mia mbili mbili kipindi hicho vikarume viko juu kweli kweli.

Kutoka Makambako hadi Mbeya haikuwa mbali sana, hapo kwa maelezo ya yule dereva tulipanda gari ya abiria hadi Mbeya, na hapo hatukukaa sana tukasogea hadi Songwe.
Tulibugi sana kwenda Songwe usiku ulitufikia na hatukujua tuelekee wapi. Na mambo ya kulala mabalabalani haikuwa poa kwetu, nguo sasa zilianza kuwa chafu, japo kutokana na baridi hatukuwa tukinuka sana majasho. Kidogo hali ya hewa ya pale haikuwa mbaya na sina sana kumbukumbu ya maeneo yale,, tuliingiaa kwenye vibaa vyao vya ndani kwa ndani pale... Sio kama ilivyo dsm tunakaa nje nje tu tunajiachia huku tukiesabu magari ya watu.
Tulifanikiwa kulala macho siku hiyo maana kule kuna watu wanapenda starehe hatari... Basi kama kawaida ujanja ujanja ulitubeba sana.

Tulifika mpakani kesho yake mapema tu, maana haikuwa mbali sana kufika hapo Tunduma. Aisee kumechangamka sana, sehemu ndogo lakini ilikuwa moto balaa, magari ya mizigo ya kutosha, wafanya biashara ndogo ndogo wengi, yaani vurugu tupu, bila kusahau vipub uchwala na wakina dada kutoka mikoa mbali mbali wakiangaishana na ndugu zetu madereva wa magari ya mizigo.
Tulipanga kuweka kambi kidogo hapa na tujaribu sasa kufanya mawasiliano na tulipotoka. Pia tuliitaji kujifunza namna nzuri ya kusavaivu huko tuendako, pia kununua nguo na kujipanga kuingia ulingoni sasa.

( Mniwie radhi kidogo, nitawaletea mwendelezo muda sio mrefu.)
 
Maneno maneno meeeeengi ya kitoto yanapoteza maana ya story. Huwez simulia tu bila kuweka maneno ya kipuuzi kuifanyà iwe na urefu usio na sababu? Story ingekuwa imeshaisha ila una irefusha pasipo sababu za msingi. Usitaje iwe ya kuchekesha kwa kuweka ujinga ujinga.
Huo ujinga ujinga aliouweka tangu mwanzo ni upi ndugu?
 
Fresh qareebu
 
Keko machungwa miaka ya 90 kulikuwa na kijiwe kimoja kinaitwa "Saa ya kula" yaani watu walikuwa wanazamia sana, wengine wanarudi na magari yao yale Peugeot 504 na 404. Watoto wa kota za polisi na huku uraiani enzi hizo waliiuwepo akina marehemu Bosco a.k.a Cool Jay
Brother naomba kuuliza, hiyo "Saa ya kula" ndio ilizaa ile team ya kina CTN iliyokuwa inaitwa sakula? Kuna uhusiano wowote?
 
Sio Abbas club ni Harbours club, dar naijua karibu kila Kona, dar ni sebuleni kwangu
Timu ya mwarabu iliishia wapi? Nimekuja Sana kucheza ndondo hapo, nilikuwa nipo Kinondoni timu ya wakati ujao. Nimemchapa Sana buti Redondo
Hahaha. Redondo walitaka kuzamia wakarudishwa bongo
 
Jamaa wa story ana mimba changa nn
...mbona ana zila zila sana sura limemkauka kama ngozi ya mapumbu
 
Ifike mahala JF waweke namna watu watume VN Ili mtu atiririke weeeeeee story iishe😣
 
Back
Top Bottom