Midnight
JF-Expert Member
- Apr 24, 2021
- 228
- 681
- Thread starter
- #281
Heshima tena kwenu ndugu zangu. Najua tunamajukumu mengi katika kuzijenga nchi zetu na Afrika nzima.
Mungu awabariki sana.
Mnaoshangaa uandishi wangu msijali sana, hii ni tamaduni na heshima ya kujali zaidi wengine kuliko wewe mwenyewe.
Pia mnivumilie pale mnapoona habari yangu imekuwa ndefu na isiyoisha, maana lengo langu kuu la kuwepo hapa jukwaani ni kwaajiri ya habari hii tu na si jambo lingine lolote. Maana ime nichukua zaidi ya miaka tisa, na hadi sasa nimezungumzia mambo ya miezi miwili tu.
Leo hii tutaingia rasmi ndani zaidi na kuanzia hapo kidogo kutakuwa na utofauti, na naitaji kujua mtapendelea vipi zaidi. Moja- Niweke mambo yote wazi? au kwa ufupi ufupi?
Mbili- Harakati binafsi niweke hapa ili wenye kutaka kujua namna ya kuishi kule wajifunze, au niachane nazo?
Tatu na mwisho kuna umuhimu wa kuwawekea hapa kona zote muhimu zenye manufaa kwa MTU anayependa kuishi Botswana?
Nitaleta habari hapa kulingana na machaguo yenu.
Ahsanteni.