Safari yangu ya dhahabu Botswana

Habari ya mchana ndugu zangu. Kwanza kabisa nawaomba radhi kwa kuchelewa kwangu kuandika chochote hapa jukwaani.

pia nipende kuwahakikishia nitatoa ushirikiano mzuri zaidi Wakuu.
kidogo kutokana na tegemeo lile la utabiri wa hali ya hewa, ulifanya office yetu ichukue taadhari kubwa, hivyo hii leo imenipasa kutopata muda wa kushiriki hapa kwa sababu mbali mbali za kiofisi, ikiwa ni pamoja na kurejeshea Mali mbali mbali tulizokuwa tumeziifadhi kuepuka dhoruba na hasara za kimbunga JOBU.

Hivyo basi leo jioni nitawasilisha hapa sehemu nyingine ya muendelezo na nitarudi nyuma kidogo kufidia yale niliyoyaacha kutokana na maneno ya wakosoaji wetu.

Tupo pamoja ndugu. Ahsanteni.
 
Mkuu JF ina mpaka matahila ya milembe humu, ni kuwazoea tu
 
Kamanda itapendeza zaidi japo si lazima ukishusha episode Kama mbili hivi
 

Safi kabisa mkuu,tunasubiri mu~episode huo
 
Asa hicho ndo kistory gani
Kama huwez kumulia acha tu,,

Yaani maoni ya mtu mmoja ndo uharibi Uzi huu utani sasa
Jamaa kaamua kuheshimu maoni ya mtu mmoja katosa wengine wote walimsisitiza kuandika kila kitu. Maajabu haya......
 
Jongo alichomwa moto jamaa alikuwa mafia kwelikweli aliwahi kuruka na dumu za mafuta kule daraja la kurasini kuelekea beach sava....... Kurasini kota bandari, railway, polisi is my hood.... KR for Life
Ni huyu jamaa au ni ndugu yake alikua na uwezo wa kukuuzia viatu vya wizi na akaja kukuibia (kukupora) tena?
 
Acha kutetea ubabaishaji Aliileta ya nini kama hana mda wa muendelezo..
 
Hata usipoleta fresh tu, Mwanaume gani unasusa mpaka ubembelezwe
 
Hii mijitu hata mimi inaniboa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…