Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,261
- 18,253
Reno Raines lakini tulizoea kumuita Lino Lensi na alikua anaitika.Lino Lensi kama ilivyotajwa na mtoa uzi ni Lorenzo Lamas.
Reno Raines lakini tulizoea kumuita Lino Lensi na alikua anaitika.Lino Lensi kama ilivyotajwa na mtoa uzi ni Lorenzo Lamas.
Mkuu mambo kama haya unayoandika yametuvurugia sana story nyingi zenye mafundisho mazuri kwa kukatishwa juu kwa juu.Huu uzi ulipaswa kuisha kwa episode 2 au 3.
Isipokuwa anachofanya mwandishi ni kuingiza maelezo mengi ambayo siyo ya lazima sana.
Mfano angalia episode ya 1 na 2, akitaja eneo la hapa Bongo mfano mwenge mataa anataka elezee hapo mwenge mataa kuna nini, aelezee mpaka wauza magazeti hapo,,aelezee mama lishe, aelezee vibaka, haya yote ni kurefusha stori.
Issue ni safr anapaswa kunyoosha safr ilivyokuwa basi, lakini asilimia 95% ya maelezo yanazunguka hapa hapa bongo tu.
Endeleeni tu hizi tabia za kuanzisha uzi kupima upepo Mungu asaidie huu uishe salama.
Daah Bosco R.I.P mjomba wangu mzee wa dancingKeko machungwa miaka ya 90 kulikuwa na kijiwe kimoja kinaitwa "Saa ya kula" yaani watu walikuwa wanazamia sana, wengine wanarudi na magari yao yale Peugeot 504 na 404. Watoto wa kota za polisi na huku uraiani enzi hizo waliiuwepo akina marehemu Bosco a.k.a Cool Jay
Nimekupata mkuu, ngoja nitulie kwa passwordMkuu mambo kama haya unayoandika yametuvurugia sana story nyingi zenye mafundisho mazuri kwa kukatishwa juu kwa juu.
Mimi nashauri tuwe wavumilivu tumwache mleta mada aandike story yake kwa style yake anayoweza yeye. Styles za uandishi haziwezi kuwa sawa na pia mimi ni msomaji wa novels na nakuambia kuwa waandishi wengi ni wazuri sana katika ku describe minor details wanapozungumzia madhari fulani au eneo fulani au kitu fulani. Na humfanya msomaji kuburudika kwa kujenga picha kama anaona kinachoelezewa.
Sisi tusome tu na kama kuna hoja au swali la msingi ndio tuulize.
Mkuu kulikuwa na wapwa zake Bosco ambao tulicheza nao pale mtaani enzi hizo sasa sijui wewe ni mmojawapo?Daah Bosco R.I.P mjomba wangu mzee wa dancing
acha kiherehere. Andika yako tia hizo nyama alafu punguza. SimpleHua sio mkatisha story Wala kumvunja moyo mpiga story Ila nakuomba kunavitu vingi unatia nyama ambavyo sio vya maana vipunguze mkuu
Duhacha kiherehere. Andika yako tia hizo nyama alafu punguza. Simple
Mie nahitaji kujua pesa ya safari waliipata wapi na kila mmoja alikua ana kiasi gani wakati anasafiri.Hua sio mkatisha story Wala kumvunja moyo mpiga story Ila nakuomba kunavitu vingi unatia nyama ambavyo sio vya maana vipunguze mkuu
Na waliifadhi wapi wanavo safiri au bank gan waliweka,Mie nahitaji kujua pesa ya safari waliipata wapi na kila mmoja alikua ana kiasi gani wakati anasafiri.