Mtoa mada ndo anatakiwa ajifunze..Kama nilivyosema hawa watu hata ufanye nn hawawezi kuisha humu..Ni jukumu lako kujua unaishi nao vipi..Ni kweli lakini watu wanatakiwa wajifunze kuwa tuna personalities tofauti tofauti. Kuna mtu angeweza kupuuzia na kuendelea kushusha story lakini kuna mtu mwingine sio mrahisi ku handle huo ukosoaji usiokuwa na maana mwisho wa siku anaona ni heri aache.
Tukumbuke huku hatujuani wote na unaweza kukuta mleta mada ni mtu ana majukumu yake na labda hata ni babu yetu mwengi humu sasa anapojitoa muda wake kusimulia mkasa wake halafu kunakuwa na ujuaji mwingi anaona ni utoto tu bora aache maana hadhira haina ushirikiano.
Wewe unaweza kuona ni rahisi lakini hujui jinsi hizo kosoa kosoa za kijinga na ujuaji unavyoweza kumuathiri mtoa mada na kuishia kuona bora aache kusimulia.
Yeye kabla ya kuleta story yake alipanga iweje mbona hakuuliza alete story au asilete.Sasa kama nyie mnampangia namna ya kuwasilisha story yake yeye hapo ana kosa gani?
Wenyewe mnamwambia story ingeshaisha kama sio kuweka maelezo mengi yasiyo ya muhimu. Hapo ameweka summary bado mnalalamika tena?
Binadamu hata tufanyiwe nini haturidhiki asee.
Mtoa mada ndo anatakiwa ajifunze..Kama nilivyosema hawa watu hata ufanye nn hawawezi kuisha humu..Ni jukumu lako kujua unaishi nao vipi..
Ni kweli ulivyosema kuwa tuna personalities tofauti tofauti..Ukijua hilo watu hawatakusumbua humu..
Huwezi kusema hadhira haitoi ushirikiano wakati waliotaka story iendelee ni wengi ukilinganisha na wale wakosoaji..
Jamaa mwenyewe tu kaamua kuleta pozi..
Teh teh..Hizi story mtu angekuwa anashusha mzigo wote then ndo anaanza kudeal na comments za watu..Story zingekuwa zinaisha fasta..Tukiwa wadogo kuna style ya uchoyo tulikuwa tunafanya, mfano una embe au muhindi, unauficha halafu unamchokoza rafiki yako, aki-react unasema nilitaka nikupe embe/muhindi ila kwa sababu umenitukana sikupi tena.
Huyu ndicho alichotufanyia, kachelewa kupost kadri alivyotujulisha, watu wamemchana eti anakuja na hizi swaga za stori iwe fupi.
andika kwa urefu "no hurry in jamii forums"Habari wakuu. Nimepata kupitia maoni yenu mengi hapa. Wengi wenu mnaonesha mnataka habari hii iwe fupi zaidi, yaani ni sawa na niseme tulifika tunduma kisha Zambia, alafu Zimbabwe na mwisho Botswana? Na hapo ndipo uwe mwisho wake?
sitakuwa na maana yoyote kama nitaandika kwa uchache angali nayaacha gizani mambo muhimu yenye yamenifanya niandike haya.
Nasubili mrejesho toka kwenu. Ahsanteni sana.
"Kama nyie mnampangia............. "Sasa kama nyie mnampangia namna ya kuwasilisha story yake yeye hapo ana kosa gani?
Wenyewe mnamwambia story ingeshaisha kama sio kuweka maelezo mengi yasiyo ya muhimu. Hapo ameweka summary bado mnalalamika tena?
Binadamu hata tufanyiwe nini haturidhiki asee.
Nlitishiwa maisha. We unadhani mi ndo sipendi kuishi?Nakuona Mzee wa kususa!
Nlitishiwa maisha. We unadhani mi ndo sipendi kuishiWewe ndio namba moja kupenda kubembelezwa hapa JF na story zako za uongo halafu zisizoisha. Halafu hapa unasema "msimbebeleze".
Ama kweli nyani haoni kundule. Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu 'maumivu'.