Sasa Mapadre wametoka wapi tena?
[emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe ni kibibi!Hii thread itachafuka sasa hivi,kuna kibibi iki FaizaFoxy nuksi sana uyu achelewi kuingiza udini
Bwihi..!Kwi kwi kwi kwi teh teh teh
Mtaalamu wa ushauri unaandika kama mtoto wa darasa la tatu.
Ushauri wako unautolea kanisa lipi?
Tanzania tuna safari ndefu ya kwenda ikiwa wataammu ha ushauri ni aina hii yako.
"If such are the priests, God bless the congregation".
Nawewe ukaachaga hizo double standard zako,hao walioingiza uislamu kwenye hii thd hukuwaona? Mbona wao hukuwaambia lolote?Sasa Mapadre wametoka wapi tena?
Huwa napata shida saana kusoma haya mambo na kuyaona mateso wanayofanyiwa ilihali kuna naowajua wamejenga nyumba na wanasomesha wadogo zao kupitia hizo kazi za uarabuni.
Mimi kuna jirani zangu wawili wapo Kuwait na kuna kina dada wengine nimefahamiana nao siku sio nyingi mmoja yupo oman mwingine Dubai. nimejaribu kuwadadisi lakini wanasema wapo vizuri na ukiangalia wanamafanikio makubwa tofauti na wenzao waliowaacha huku.Hao hawaandikwi.
Kuna binti mmoja,mimi ndiyo nnapokelea pesa zake kutoka huko nje anakofanya kazi na aliniomba nimsimamie miradi yake hapo kwetu Mkuranga.
Hio hizo kazi za ndani Uarabuni, amejenga nyumba mbili, moja yake moa ya wazee wake na ndugu zake, amewapatia kazi zaidi ya wtu 20 kutokana na wakaribu yake, amewafunggulia duka wazee wake na amewanunulia boda boda, wajomba na ndugu zake.
Hakuna aneyaona hayo, wao kazi kuja na uogo tu kama huyu anaejiita "mshauri". Hakuna zaidi ni udini tu.
Hawasemi Mtanzania tena wa ubalozini (kama si balozi mmwenyewe) aliyeshitakiwa kwa kumueweka mfanya kazi kama mtumwa huko USA. MMpaka setikali ya USA ikainilia kati.
Umeandika uchafu unaonuka kama mavi ya Nguruwe.Unaonekana wala hujawahi kutoka nje ya nchi zaidi ya kuzunguka zunguka tu hapo hapo Kijijini kwenu!
Niambie ni nchi gani ya kiarabu ambayo haina watu weusi kama unavyodai? Eti waarabu walioteka watumwa na kuwaua wote! Hivi huoni hata aibu kuyaandika hayo matapishi yako hapa? Tumia hata hako kasimu kako ka mchina kujua mambo kuliko kujiandikia kama kipofu asiyeona,nchi kama Qatar,Oman,Saudi arabia,Kuwait n.k zina watu weusi ambao ni wengi zaidi kuliko weupe unalijua hilo?
Vipi huko Msumbiji ni waarabu ndio walikua wakiwaua black wenzao? Vipi South Africa ni kina nani waliokua wakiwaua na kuwabaguawenzao hivi karibuni?
Vipi kuhusu kikundicha Anti baraka cha Central africa kilichokua kikiua waislamu tena waafrika wenzao unakijua?? Jaribu kua unafuatilia mambo hapa duniani kuliko kutuandikia utumbo wako hapa kwa mihemko ya chuki za kijinga na kitoto.
Hao wanaowakata viungo Albino ni waarabu? Kutwa kuua vikongwe kwa tuhuma za uchawi huo sio ukatili? Ficha upumbavu wako kwa kukaa kimya,Waarabu wengi ni wapuuzi sana na ukatili imekuwa ni sifa yao
Wakitajwa waarabu unamwaga povuHao wanaowakata viungo Albino ni waarabu? Kutwa kuua vikongwe kwa tuhuma za uchawi huo sio ukatili? Ficha upumbavu wako kwa kukaa kimya,
Angalia hii vd clip hapa chini ili siku nyingine kabla ya kumnyooshea vidole mwenzako angalia vidole vyako kwanza kama ni visafi
Udhalimu wa Waarabu Zanzibar na Pemba: Ndugu zetu wali-teswa ...Hi#
Mwaka 2002 maraa bada yaa kumalizaa elimu yaa msingi tulikwendaa secondary wanafuz wachachee sn hukuuu majority
najua kuna watu wanaozani waarabu ni ndugu zao kisa n waislam wezao .la hasha na bado ntaleta uzi wa vjn wa kitazania waliopelekwa wakiambiwa kuna kazi ya ujenz.
[HASHTAG]#ro7[/HASHTAG] za mgos#
CHAMA CHETU OYEEEEEEE.upuuzi mtupu hao wafanyakazi wa ndani waliopo hapa hapa Tanzania wanateswa kupita huko uarabuni
Huna hoja ndio maana badala ya kujibu hoja umekuja kuharisha humu,endelea tu kukaa sebuleni kwa shemeji yako huku ukitizama tv na kumeza kila unachohadithiwa kwenye hicho kimchina chako kilichojaa rubber band kila kona,watu tunatembea na kujionea ukweli halisi wewe subiri maisha tu hapo hapo juu ya kochi kwa shemeji yako.Umeandika uchafu unaonuka kama mavi ya Nguruwe.
Mnawatetea hao wachinja watu kisa tu waliwaletea dini na kuwafanya mitumwa yao kiakili.Mnafuata tamaduni zao bila kujijua.Mnaongea lugha zao na kuitwa kwa majina yao kana kwamba mmeolewa huko.
Hainishangazi kuona mnawatetea hata kwenye maovu wanayofanya kwa kivuli cha dini.Mbona hujataja yale madhehebu yenu kama vile Suni, Shia, Al qaeda, Al shababu, Boko haramu na Hizbolah?
Wasichana wengi kutoka pwani ya Afrika Mashariki wanakwenda uarabuni kwa kigezo cha u-house girl.....wakifika huko wananyang'anywa passport, wanageuzwa mitumwa ya ngono, unakuta Baba mwenye nyumba, watoto na wajukuu zake wanamwingilia kinguvu huyo msichana tena kinyume na maumbile.Wakishamchoka wanamuua wanamrudisha kwao kama parcel vile.
Sijui una akili ndogo kiasi gani inayokuzuia kuona maovu na ukatili wa waarabu hasa dhidi ya watu weusi.
Kubishana na watoto wadogo kama wewe ambao hata harafu ya maziwa ya mama yako haijakutoka mdomoni achana na ya kojo ni kupoteza muda.Huna hoja ndio maana badala ya kujibu hoja umekuja kuharisha humu,endelea tu kukaa sebuleni kwa shemeji yako huku ukitizama tv na kumeza kila unachohadithiwa kwenye hicho kimchina chako kilichojaa rubber band kila kona,watu tunatembea na kujionea ukweli halisi wewe subiri maisha tu hapo hapo juu ya kochi kwa shemeji yako.
Hiyo vdo clip umeiona Dada? Ni waarabu hao?Wakitajwa waarabu unamwaga povu
Unachotakiwa kujua huwez tofautisha uarabu na ukatili
Chuki ndani moyo.!Waarabu wengi ni wapuuzi sana na ukatili imekuwa ni sifa yao
Kumbe ulikua unabishana eeh! hata uandishi wako unaonekana wewe ni kitoto ambacho bado hakijakomaa kiakili, Siku nyingine jipange kwanza kuliko kukurupuka hovyo humu na hoja zako za darasa la pili, uandishi wako umetawaliwa na chuki za udini na ukabila,hizo chuki zako sio solution ya ugumu wa maisha yako,pambana utoke kimaisha kuliko kutumia nguvu nyingi kueneza chuki za kijinga.Kubishana na watoto wadogo kama wewe ambao hata harafu ya maziwa ya mama yako haijakutoka mdomoni achana na ya kojo ni kupoteza muda.
Sasa kama wewe siye kihiyo, unaweza kuniambia ni post ipi niliyoposti yenye kuashiria ukabila?Kumbe ulikua unabishana eeh! hata uandishi wako unaonekana wewe ni kitoto ambacho bado hakijakomaa kiakili, Siku nyingine jipange kwanza kuliko kukurupuka hovyo humu na hoja zako za darasa la pili, uandishi wako umetawaliwa na chuki za udini na ukabila,hizo chuki zako sio solution ya ugumu wa maisha yako,pambana utoke kimaisha kuliko kutumia nguvu nyingi kueneza chuki za kijinga.