Safari ya Uarabuni ya mfanyakazi wa ndani

RO7 ZA MGOS

JF-Expert Member
Sep 27, 2016
1,952
5,552
Hi#
Mwaka 2002 maraa bada yaa kumalizaa elimu yaa msingi tulikwendaa secondary wanafuz wachachee sn hukuuu majority yaa waschana wakishndwaa kuendelea na elim ya secondary. Hvo weng kuwa wauza pombe na kuolewaa mapemaa kutokana na maisha ya kitazania yasivo rafk kwa waschana .
SAFARI YA KUTAFUTA KAZI
kna mschana aliyekuwa mpole sn darasan kwetu huyu alipata watu nazan walikuwa agent wa kutafuta wafanyakaz wa ndan kwendaa zenji . Classmate wangu alisepa mwaka 2002 kuelekea zenji ambakoo alikaa kama miaka2 kumbe akichunguzwaa tabia pamoja na usafi wake kimonekano kama ataweza kukidhi vigezo fulan.Bnt walimkubali sn kwan kutoka kjjn kwetu walikuwa wa3 ila yeye pekee aliweza kukaa mda mrefu zenji ila wezie walirud (wana machale sn).
KUBADILI DINI
Natumia simu kuandka ignore some typing errors
Classmate wangu alislim na kuwa muislam swala5. Halii hii ilipelekea kuamnika sn hvo kati ya mwaka 2006 aka advance na kwenda kufanya kaz za huko falme za kiarabu *nchi fulan* alipofka maishaa yaliaza akifanyaa kaz za ndan kwa mtu ambayee alikuwa na familiar kubwa *kama unavowajua waarabu* .
Baada yaa kukaa kwa kama miaka 2 ktk familia hiyo waarabu walikuwa hawamwamn kama n muislam ili hali walkuwa wakimjalibu baadh yaa swala zao na alijbu vzr lakn waliamua kumpeleka chuo cha kiislam kujifuza zaidi dini.
Bnt alihudhuria mafuzo yasio na malipo huku akiwa anafanya kaz kwa bwana yule.baada yaa kulaa dini yeye mwenyew aliaza kuuchukia hata ukiristo kipindi hcho amenitafuta kwa facebook nikiwa advanced level alikuwa akisisitiza niwe muislam na kudai kwamba hiyo ndo dini ya kwel zingne garasha tu.

MAISHA YANAENDELEA
bnt mara baada ya kumaliza mafuzo ya dini hukoo uarabun huku akifanya kaz za ndan kama kawaida wezetu mschana n kuolewaa mara moja .housgirl alipewaa kjn wa kisomali nazan hapa waliona mwarabu hawez kumwoa mweus
Msomali huyo aliye na uraia wa Kenya alipewa mrembo na kumpiga pete huku akiendelea kumla taratibu ingawa baada ya kurudi mwaka jana Tanzania tuliompokea tuligundua walikuwa wanamla weng kwan alikuwa amechoka sn kiafya.
KWAN MAISHA GAN ALIYOKUWA AKIISHI
n ukwel usiofichka waarabu wanawachukia hata waislamu wezao weusi hvo bnt alikuwa kumbe akiishi maisha yaa kitumwa sn alikuwa akiwasliana na mama ake kila baada ya miaka 6 na warabu walimzuia kurudi tz had akatoa vzingizio fulan kwa miaka 15 amerudi mara 2 tu Tanzania akiwa ana hela chache sn znazokadiliwa kuwa dola 200 sawa na kama laki4 kwa sasa .

Bnt huyu alkutana na mm mwenyew kwan nlkuwa likizoo ndefu baada ya chuo changu kufunga hurudi home hukooo kusini mwa Tanzania hvo baadhi ya maneno aliweza kunambia mengne na hali nliyomwona nayo kumbuka mm n msomi naweza kuku define jinsi ulivo so mrembo ambaye umri kwa sasa anatafuta 30 alkuwa amekataa tamaa sana huku akiwa hajawahi kuonana na ndg na marafik kwa mda mrefu alifka Tanzania kutoka uarabun kwa ndege ya QUATA airways nauli alipewa nusu na waarabu wale na yeye aliongezea ya kwake .
Akiwa hana matumain ya kupata ndoto ya kuolewa kwa mana amechoka sio kuumwa ametumika mno na warabu (ameliwa sn ndogo)

STORI HII N YA NN
waschana weng wakizan kwa sabab wao n waislam wakifka uarabun wanazan watapewa priority kama una ndugu yako yupo huko mmtafute au muwazuie waschana wenye ndoto za kukwea pipa kwenda uarabun kule utumwa bado unaendelea

CLASSMATE YUPO WAP SASA
Bnt anakaa kwa dada ake huko dar na akiwa amepoteza sana morale ya maisha licha ya kukutana na watu kama ss watalamu wa ushaur alichonacho kutoka uarabun ni baibui na cheni pamoja na pete ya bwana msomali ambayee hajawahi kumtafuta tena
Haya ndo maisha ya uarabun kwa ndg zetu maskin wanaohangaika pengne huko kna rizik .usdanganyikee

Mwsho****
Nmefupisha sn story maana najua kuna watu wanaozani waarabu ni ndugu zao kisa n waislam wezao .la hasha na bado ntaleta uzi wa vjn wa kitazania waliopelekwa wakiambiwa kuna kazi ya ujenz.

[HASHTAG]#ro7[/HASHTAG] za mgos#
 
15 years for 0713? Huruma sana dahh, kwel arabuni ni adhabuni
 
Kuna watu wanaamini waafrika [sijui kama ni baadhi] ni primitive sana na huwezi kuwalaumu.

Waarabu walioteka watumwa na kwenda kuwaua wote leo mtu anajipeleka kwao tena?

Kama wanachinja hadi waarabu wenzao, wewe unategemea watakufanya nini?

Mtu yeyote anayekwenda uarabuni huyo anaendea kifo aidha cha kisaikolojia ama cha moja kwa moja.

Tatizo la wengi ni kupenda maisha mteremko, wakifika uarabuni wanateremkiwa wao.
 
Huu aliouandika ni utumbo wa hali ya juu, kama vile hujawahi kupita hata darasa la chini ya mti.
Hii hadithi yako ya kutunga, atakayoiamini atakuwa na matatizo kama yako. Kwani ni nasema hivyo?
1. Hawezi kuwekwa Zanzibar miaka miwili kwa ajili ya kuchunguzwa, huo ni uongo ulopindukia mpaka.
2. Uwongo wa pili uliouzua ni kuwa ati waarabu walikuwa wakimjaribu baadhi swala na kumpeleka chip cha kiislam. Huu ni uwongo ulopindukia mipaka kabisaa, hii haipo kabisa uarabuni. Kupelekana vyuo tena! Wewe ni fisadi.
3. Kaozeshwa muislam huyo binti, vipi ataweza kuozeshwa bila ya idhini ya wazeewake? Hicho kitu kwenye uislam hamna + aolewe ikisha aendelee na kazi, kiwapi hiyo arabuni?
4. Hivyo vitendo kama wewe ndio mfanyajii wa kugeuza watu ukisha ukaona kila mtu na yeye mgeuzaji UKOMEEE UKOMAE, usikae ukatunga ukawa unatukanisha watu huo ni ujinga na upumbavu na kukosa mabadili.
Jamii forum ni kuelimishana na maana sio ujinga, chuki, uwongo, upinbavu N.k
Tuwe wakweli ndio tutafanikiwa katika maisha ya duniani na mbinguni
 
Mkuu wengi ni wabishi sana kuna wadada nawafahamu fika wapo huko uarabuni kazi yao kutuhadaa huku kwa kutuma picha facebook wamependeza hijabu. Wanaficha maradhi yakiwapata ya kuwapata watajirudisha tu
 
Huu aliouandika ni utumbo wa hali ya juu, kama vile hujawahi kupita hata darasa la chini ya mti.
Hii hadithi yako ya kutunga, atakayoiamini atakuwa na matatizo kama yako. Kwani ni nasema hivyo?
1. Hawezi kuwekwa Zanzibar miaka miwili kwa ajili ya kuchunguzwa, huo ni uongo ulopindukia mpaka.
2. Uwongo wa pili uliouzua ni kuwa ati waarabu walikuwa wakimjaribu baadhi swala na kumpeleka chip cha kiislam. Huu ni uwongo ulopindukia mipaka kabisaa, hii haipo kabisa uarabuni. Kupelekana vyuo tena! Wewe ni fisadi.
3. Kaozeshwa muislam huyo binti, vipi ataweza kuozeshwa bila ya idhini ya wazeewake? Hicho kitu kwenye uislam hamna + aolewe ikisha aendelee na kazi, kiwapi hiyo arabuni?
4. Hivyo vitendo kama wewe ndio mfanyajii wa kugeuza watu ukisha ukaona kila mtu na yeye mgeuzaji UKOMEEE UKOMAE, usikae ukatunga ukawa unatukanisha watu huo ni ujinga na upumbavu na kukosa mabadili.
Jamii forum ni kuelimishana na maana sio ujinga, chuki, uwongo, upinbavu N.k
Tuwe wakweli ndio tutafanikiwa katika maisha ya duniani na mbinguni
Kwa hiyo hakuna vitendo vya unyanyasaji huko Uarabuni? Mbn kuna watu wananyongwa kwa kuonewa na clip tunazipata? Uovu unaoutetea hauko huko, Waarabu mbn wametajwa kunyanyasa mara nyingi si waafrika wanaume au hao wanawake usitetee uovu. Imani hii kila ilipo fika kuna shida
 
Watakuja wenzangu hapa kubisha, ukweli ndo huwo waarabu wengi wana roho mbaya sana na wengi wakienda matokeo hayawi mazuri. Ila sisi waislamu wabishi sana. Yani tukishakuwa waislamu tunajiona na sisi kama tumekua waarabu eti.
 
Kwa hiyo hakuna vitendo vya unyanyasaji huko Uarabuni? Mbn kuna watu wananyongwa kwa kuonewa na clip tunazipata? Uovu unaoutetea hauko huko, Waarabu mbn wametajwa kunyanyasa mara nyingi si waafrika wanaume au hao wanawake usitetee uovu. Imani hii kila ilipo fika kuna shida
Kaka mwache tu huyo mtu,anajiongelesha kwa kujitoa ufahamu kanakwamba haelewi,ila kashawlewa
 
Back
Top Bottom