Safari ya Uarabuni ya mfanyakazi wa ndani

Safari ya Uarabuni ya mfanyakazi wa ndani

Sasa kama wewe siye kihiyo, unaweza kuniambia ni post ipi niliyoposti yenye kuashiria ukabila?
Kuna sehemu nimetaja ama kuhusisha kabila kwa namna yoyote ile? halafu ukiambiwa wewe ni mtoto kihiyo unatokwa mapovu.........Haya basi, onesha sehemu nilipogusia ukabila.
Sasa kama unashindwa hata kukumbuka unachokiandika humu huoni kua unatatizo kubwa la uelewa na utunzaji wa kumbukumbu kichwani mwako? wewe jamaa ni mweupe sana kichwani,hebu jaribu kupiga kimya kuliko kuendelea kujiaibisha hapa.
 
Wakitajwa waarabu unamwaga povu

Unachotakiwa kujua huwez tofautisha uarabu na ukatili
Tatizo mmemezwa mno na propaganda za kimagharibi kiasi kwamba hata unyama unafanya na Israel,Marekani dhidi ya binadamu hamuoni

Hakika ujinga hautawaisha kamwe.!
 
Sasa kama unashindwa hata kukumbuka unachokiandika humu huoni kua unatatizo kubwa la uelewa na utunzaji wa kumbukumbu kichwani mwako? wewe jamaa ni mweupe sana kichwani,hebu jaribu kupiga kimya kuliko kuendelea kujiaibisha hapa.
Baada ya kufikiri kwa muda mrefu kwa kutumia hiyo organ mbovu unayoita kichwa chako ndio umeamua u-reply huu upupu? wewe umesema mimi ni mkabila, nikakuuliza je ni wapi nimezungumzia juu ya ukabila? hukunijibu maana sijazungumzia ukabila.....kama nimezungumzia ukabila onesha hiyo post kwa kuandika namba yake ili kuonesha kuwa wewe siyo mtoto kihiyo.

Unachokifanya ni ku-mirror maisha yako hasa matatizo yanayokukabili pengine kwa watu wengine.

Kama wewe ni mtoto mwenye umri wa chini ya miaka 15, usiwe na wasiwasi maana hatua unayopitia inaendana na matendo ya umri wako.Lakini kama una umri wa zaidi ya miaka 18, mtafute psychiatrist akutibu matatizo ya kiakili yanayokukabili na siyo kuja kuya-expose hapa JF.
 
Huu aliouandika ni utumbo wa hali ya juu, kama vile hujawahi kupita hata darasa la chini ya mti.
Hii hadithi yako ya kutunga, atakayoiamini atakuwa na matatizo kama yako. Kwani ni nasema hivyo?
1. Hawezi kuwekwa Zanzibar miaka miwili kwa ajili ya kuchunguzwa, huo ni uongo ulopindukia mpaka.
2. Uwongo wa pili uliouzua ni kuwa ati waarabu walikuwa wakimjaribu baadhi swala na kumpeleka chip cha kiislam. Huu ni uwongo ulopindukia mipaka kabisaa, hii haipo kabisa uarabuni. Kupelekana vyuo tena! Wewe ni fisadi.
3. Kaozeshwa muislam huyo binti, vipi ataweza kuozeshwa bila ya idhini ya wazeewake? Hicho kitu kwenye uislam hamna + aolewe ikisha aendelee na kazi, kiwapi hiyo arabuni?
4. Hivyo vitendo kama wewe ndio mfanyajii wa kugeuza watu ukisha ukaona kila mtu na yeye mgeuzaji UKOMEEE UKOMAE, usikae ukatunga ukawa unatukanisha watu huo ni ujinga na upumbavu na kukosa mabadili.
Jamii forum ni kuelimishana na maana sio ujinga, chuki, uwongo, upinbavu N.k
Tuwe wakweli ndio tutafanikiwa katika maisha ya duniani na mbinguni

Acha ujinga unabisha mini wewe hamtazami tv,hamsomi magazeti wala kusikiliza radio kazi kubisha taarifa za waafrica kunyanyaswa zipo dhahiri halafu we unabisha njoo na facts zako kama vipi
 
Huyu mtoa mada ni Mdini hivyo amepoteza uhalisia wa story kwanza nijuwavyo mimi Duniani kote kibali cha kufanya kazi ni miaka miwili tu ikiisha sharti la kimkataba urejee kwenu na ikiwa utaitajika mawasiliano yatafanyika direct nawewe mwenyewe
Kuna vibali vya kufanya kazi za ndani?
 
Baada ya kufikiri kwa muda mrefu kwa kutumia hiyo organ mbovu unayoita kichwa chako ndio umeamua u-reply huu upupu? wewe umesema mimi ni mkabila, nikakuuliza je ni wapi nimezungumzia juu ya ukabila? hukunijibu maana sijazungumzia ukabila.....kama nimezungumzia ukabila onesha hiyo post kwa kuandika namba yake ili kuonesha kuwa wewe siyo mtoto kihiyo.

Unachokifanya ni ku-mirror maisha yako hasa matatizo yanayokukabili pengine kwa watu wengine.

Kama wewe ni mtoto mwenye umri wa chini ya miaka 15, usiwe na wasiwasi maana hatua unayopitia inaendana na matendo ya umri wako.Lakini kama una umri wa zaidi ya miaka 18, mtafute psychiatrist akutibu matatizo ya kiakili yanayokukabili na siyo kuja kuya-expose hapa JF.
Huna hoja wala cha maana unachokiandika hapa,baada ya kujishtukia kua unaandika ujinga na nimeshaujua kilichobaki unatapa tapa hovyo tu kama mtu anayefia kwenye maji,naona unajaribu kutafuta pakutokea kijana,narudia tena kama huna kumbukumbu ya unachokiandika humu tena haifiki hata zaidi ya 1hr basi humu jf sio sehemu itakayokufaa,nenda fesibuku tu ili ukapigizane kelele na vitoto vyenzako huko.
 
paka.gif
 
Nawewe ukaachaga hizo double standard zako,hao walioingiza uislamu kwenye hii thd hukuwaona? Mbona wao hukuwaambia lolote?

Wewe nilishakushtukia kwa hizo chuki zako za udini toka ulipoleta ile thd yako ya Watoto wa madrasa wanateswa hapo jirani yako! Ulishindwa kujibu maswali wala kuleta mrejesho coz hukua na lengo la kuokoa mtoto yeyote bali kueneza chuki za kutunga.
Sawa mkuu!!
Ni mtazamo wako...Ila kifupi jambo lile lilishughulikiwa na mamlaka husika na kupitia namba za simu zilizoletwa hapa,maafisa toka Ustawi wa Jamii na Mamlaka za ule msikiti wa Kigogo (Maana hii ilikuwa ni chuo cha hilo dhehebu,ambao walisema hawaitambui BAKWATA) kwa kushirikiana na wazazi,mwalimu yule alibadirishwa.

Sasa idadi ya watoto wanaokwenda kujifunza dini imeongezeka,wale waliokuwa wanaaga wanaenda chuo na kuishia njiani sasa wanakwenda,na chuo kinaendelea vizuri.

Mengine hayo sikuzuii kusema,ni mtazamo wako.Siku njema
 
Naona umeikwepa first paragraph yangu,chuki zako za udini hazifichiki acha kuruka ruka.
 
Acha ujinga unabisha mini wewe hamtazami tv,hamsomi magazeti wala kusikiliza radio kazi kubisha taarifa za waafrica kunyanyaswa zipo dhahiri halafu we unabisha njoo na facts zako kama vipi
Achana nae hao ndo maagent wenyewe wanaofanya biashara za watu
 
Waarabu ni machokoriko Sana.
Sawa, ila wasio dini hiyo waitwa "kafir" sasa hadi dini hiyo nao wateswa yakheee!!?
Kabla ya watu weupe kuja Africa, tulikuwa dini zetu za asili, Ukristu Na uislam Ni utamaduni wakuja.
Nyie mnaambiwa dini zenu Ni za ovyo ziacheni mnakubali. Kwa nini wasifuate dini zetu za asili.
Unaweza kuwa msomi mzuri, ulieendelea na kustaarabika na pia mfuasi mzuri wa dini na tamaduni za asili yako.
 
Naona umeikwepa first paragraph yangu,chuki zako za udini hazifichiki acha kuruka ruka.
Sawa!!Lakini huku kwingine si umeridhika na majibu?
Fuatilia uzi uone wote walioingiza udini,iwe uislam au ukristo nilivyosema!
CleverKING jitofautishe na hawa watoto wetu wa sasa,wewe hata kama tunatofautiana kwa mtazamo na hoja,hauna haja ya kutumia maneno ya kuudhi na yenye radha ya kukosa staha...
 
Exactly mkuu.. Inaonyesha weusi waliuawa na kizazi chao kufutwa

Wanaume, wote walioenda huko Waliwang'oa golori zote mbili hivyo walipoishi hawakuweza hata kuzalisha.

Ila, wengine waliuawa, tena wengi sana
 
Uongo mtupu.

FaizaFoxy, nilikuheshimu kwa mijadala na mada hapa JF, ila sasa hii dini na mahabati unayoonesha kwenye huu uzi inanipa ukakasi Kwa kweli hadi nashindwa kuelewa kama kweli ni wewe au ni mwanao anaandika humu JF.

Ila binafsi , niseme hizi dini uchwara Kama siasa za bongoland zisitufanye tukaamua kupinga hadi ukweli ulio mubashara.

Mfano, FaizaFoxy , Binti aliyefariki juzi Kati hapa akaletwa Toka Oman unajifanya kuwa hujui na exposures uliokuwanayo bado uko very primitive to this extent , when it comes to the life of our fellow human beings whether Muslim or Christian!?

FaizaFoxy, endelea vivyo hivyo soon you will become a religion
fundamentalist na siku ukijitoa mhanga wala sitashangaa maana dalili zote unazionesha hapa kwenye jamvi waziwazi wallaaah.
 
Suala hapa si Kua ni Uarabu au Uislam. Hapa ni manyanyaso wanayopata wafanyakazi wa ndani dunia nzima. Kwani hapa kwetu sisi kwa sisi waswahili hatubaguani? Jee wafanyakazi wetu wa ndani tunawatunza vizuri? Jee hapa nchini mahoursegirl hawaliwi ?
 
Back
Top Bottom