Mkuu umepanic sana, kunywa maji kidogo u-relax.Huu aliouandika ni utumbo wa hali ya juu, kama vile hujawahi kupita hata darasa la chini ya mti.
Hii hadithi yako ya kutunga, atakayoiamini atakuwa na matatizo kama yako. Kwani ni nasema hivyo?
1. Hawezi kuwekwa Zanzibar miaka miwili kwa ajili ya kuchunguzwa, huo ni uongo ulopindukia mpaka.
2. Uwongo wa pili uliouzua ni kuwa ati waarabu walikuwa wakimjaribu baadhi swala na kumpeleka chip cha kiislam. Huu ni uwongo ulopindukia mipaka kabisaa, hii haipo kabisa uarabuni. Kupelekana vyuo tena! Wewe ni fisadi.
3. Kaozeshwa muislam huyo binti, vipi ataweza kuozeshwa bila ya idhini ya wazeewake? Hicho kitu kwenye uislam hamna + aolewe ikisha aendelee na kazi, kiwapi hiyo arabuni?
4. Hivyo vitendo kama wewe ndio mfanyajii wa kugeuza watu ukisha ukaona kila mtu na yeye mgeuzaji UKOMEEE UKOMAE, usikae ukatunga ukawa unatukanisha watu huo ni ujinga na upumbavu na kukosa mabadili.
Jamii forum ni kuelimishana na maana sio ujinga, chuki, uwongo, upinbavu N.k
Tuwe wakweli ndio tutafanikiwa katika maisha ya duniani na mbinguni
Wewe utakuwa ni mmoja wa mawakala hivi unaweza ukatetea ukatili wanaofanyiwa ndugu zetu arabuni na crip zote zile? Mkuu kasema ya wale waliochukuliwa kwenda kufanya ujenzi kule, nakumbuka huu aloteswa na wenzie arabuni alisimulia mateso yote, kenya hapo mpaka wamezuia watu wao kwenda hukoHuu aliouandika ni utumbo wa hali ya juu, kama vile hujawahi kupita hata darasa la chini ya mti.
Hii hadithi yako ya kutunga, atakayoiamini atakuwa na matatizo kama yako. Kwani ni nasema hivyo?
1. Hawezi kuwekwa Zanzibar miaka miwili kwa ajili ya kuchunguzwa, huo ni uongo ulopindukia mpaka.
2. Uwongo wa pili uliouzua ni kuwa ati waarabu walikuwa wakimjaribu baadhi swala na kumpeleka chip cha kiislam. Huu ni uwongo ulopindukia mipaka kabisaa, hii haipo kabisa uarabuni. Kupelekana vyuo tena! Wewe ni fisadi.
3. Kaozeshwa muislam huyo binti, vipi ataweza kuozeshwa bila ya idhini ya wazeewake? Hicho kitu kwenye uislam hamna + aolewe ikisha aendelee na kazi, kiwapi hiyo arabuni?
4. Hivyo vitendo kama wewe ndio mfanyajii wa kugeuza watu ukisha ukaona kila mtu na yeye mgeuzaji UKOMEEE UKOMAE, usikae ukatunga ukawa unatukanisha watu huo ni ujinga na upumbavu na kukosa mabadili.
Jamii forum ni kuelimishana na maana sio ujinga, chuki, uwongo, upinbavu N.k
Tuwe wakweli ndio tutafanikiwa katika maisha ya duniani na mbinguni
Huu aliouandika ni utumbo wa hali ya juu, kama vile hujawahi kupita hata darasa la chini ya mti.
Hii hadithi yako ya kutunga, atakayoiamini atakuwa na matatizo kama yako. Kwani ni nasema hivyo?
1. Hawezi kuwekwa Zanzibar miaka miwili kwa ajili ya kuchunguzwa, huo ni uongo ulopindukia mpaka.
2. Uwongo wa pili uliouzua ni kuwa ati waarabu walikuwa wakimjaribu baadhi swala na kumpeleka chip cha kiislam. Huu ni uwongo ulopindukia mipaka kabisaa, hii haipo kabisa uarabuni. Kupelekana vyuo tena! Wewe ni fisadi.
3. Kaozeshwa muislam huyo binti, vipi ataweza kuozeshwa bila ya idhini ya wazeewake? Hicho kitu kwenye uislam hamna + aolewe ikisha aendelee na kazi, kiwapi hiyo arabuni?
4. Hivyo vitendo kama wewe ndio mfanyajii wa kugeuza watu ukisha ukaona kila mtu na yeye mgeuzaji UKOMEEE UKOMAE, usikae ukatunga ukawa unatukanisha watu huo ni ujinga na upumbavu na kukosa mabadili.
Jamii forum ni kuelimishana na maana sio ujinga, chuki, uwongo, upinbavu N.k
Tuwe wakweli ndio tutafanikiwa katika maisha ya duniani na mbinguni
Kweli nimeamini msemo kuwa kipenda roho hula nyama mbichiHuu aliouandika ni utumbo wa hali ya juu, kama vile hujawahi kupita hata darasa la chini ya mti.
Hii hadithi yako ya kutunga, atakayoiamini atakuwa na matatizo kama yako. Kwani ni nasema hivyo?
1. Hawezi kuwekwa Zanzibar miaka miwili kwa ajili ya kuchunguzwa, huo ni uongo ulopindukia mpaka.
2. Uwongo wa pili uliouzua ni kuwa ati waarabu walikuwa wakimjaribu baadhi swala na kumpeleka chip cha kiislam. Huu ni uwongo ulopindukia mipaka kabisaa, hii haipo kabisa uarabuni. Kupelekana vyuo tena! Wewe ni fisadi.
3. Kaozeshwa muislam huyo binti, vipi ataweza kuozeshwa bila ya idhini ya wazeewake? Hicho kitu kwenye uislam hamna + aolewe ikisha aendelee na kazi, kiwapi hiyo arabuni?
4. Hivyo vitendo kama wewe ndio mfanyajii wa kugeuza watu ukisha ukaona kila mtu na yeye mgeuzaji UKOMEEE UKOMAE, usikae ukatunga ukawa unatukanisha watu huo ni ujinga na upumbavu na kukosa mabadili.
Jamii forum ni kuelimishana na maana sio ujinga, chuki, uwongo, upinbavu N.k
Tuwe wakweli ndio tutafanikiwa katika maisha ya duniani na mbinguni
Unajaribu kutetea nini?Huu aliouandika ni utumbo wa hali ya juu, kama vile hujawahi kupita hata darasa la chini ya mti.
Hii hadithi yako ya kutunga, atakayoiamini atakuwa na matatizo kama yako. Kwani ni nasema hivyo?
1. Hawezi kuwekwa Zanzibar miaka miwili kwa ajili ya kuchunguzwa, huo ni uongo ulopindukia mpaka.
2. Uwongo wa pili uliouzua ni kuwa ati waarabu walikuwa wakimjaribu baadhi swala na kumpeleka chip cha kiislam. Huu ni uwongo ulopindukia mipaka kabisaa, hii haipo kabisa uarabuni. Kupelekana vyuo tena! Wewe ni fisadi.
3. Kaozeshwa muislam huyo binti, vipi ataweza kuozeshwa bila ya idhini ya wazeewake? Hicho kitu kwenye uislam hamna + aolewe ikisha aendelee na kazi, kiwapi hiyo arabuni?
4. Hivyo vitendo kama wewe ndio mfanyajii wa kugeuza watu ukisha ukaona kila mtu na yeye mgeuzaji UKOMEEE UKOMAE, usikae ukatunga ukawa unatukanisha watu huo ni ujinga na upumbavu na kukosa mabadili.
Jamii forum ni kuelimishana na maana sio ujinga, chuki, uwongo, upinbavu N.k
Tuwe wakweli ndio tutafanikiwa katika maisha ya duniani na mbinguni
Uongo mtupu.
Tatizo sio dini, waarabu ni watu hovyo sana hata kabla ya kuingia kwenye dini ya uislam.Aiseeeeeeeh,
Huuuuuuuh hhhmmmm Daaaaah, ama kweli hizi dini uchwara Kama siasa tu za Tanzania!!
FaizaFoxy, unaweza ukasema kuwa huo ni uongo!?
Labda huu uzi ungeletwa miaka ambayo hakukuwa na mawasiliano ya kidigitali ningekusuporti ila karne hii ya simu mnato na mpanguso!!!
Give me a break!!!