Safari ya Uarabuni ya mfanyakazi wa ndani

Mmm, kumbe Arabuni unaenda ku-experience hell ilivyo[emoji2] [emoji2] [emoji2]

US, Caribbean and the likes wapo blacks ila Arabuni hatuwaoni hats wa dawa japo walipelekwa huko
Exactly mkuu.. Inaonyesha weusi waliuawa na kizazi chao kufutwa
 
Walikuwa ni wachache sana lakini kule amerika na europe walipelekwa kwa mamilioni. Slaves sent to Americas estimated over 10milion
 
Sawa kwa hiyo hawakuzaa hata kwa uchache huko arabuni
 
Hi#
Mwaka 2002 maraa bada yaa kumalizaa elimu yaa msingi tulikwendaa secondary wanafuz wachachee sn hukuuu majority yaa waschana wakishndwaa kuendelea na elim ya secondary. Hvo weng kuwa wauza pombe na kuolewaa mapemaa kutokana na maisha ya kitazania yasivo rafk kwa waschana .
SAFARI YA KUTAFUTA KAZI
kna mschana aliyekuwa mpole sn darasan kwetu huyu alipata watu nazan walikuwa agent wa kutafuta wafanyakaz wa ndan kwendaa zenji . Classmate wangu alisepa mwaka 2002 kuelekea zenji ambakoo alikaa kama miaka2 kumbe akichunguzwaa tabia pamoja na usafi wake kimonekano kama ataweza kukidhi vigezo fulan.Bnt walimkubali sn kwan kutoka kjjn kwetu walikuwa wa3 ila yeye pekee aliweza kukaa mda mrefu zenji ila wezie walirud (wana machale sn).
KUBADILI DINI
Natumia simu kuandka ignore some typing errors
Classmate wangu alislim na kuwa muislam swala5. Halii hii ilipelekea kuamnika sn hvo kati ya mwaka 2006 aka advance na kwenda kufanya kaz za huko falme za kiarabu *nchi fulan* alipofka maishaa yaliaza akifanyaa kaz za ndan kwa mtu ambayee alikuwa na familiar kubwa *kama unavowajua waarabu* .
Baada yaa kukaa kwa kama miaka 2 ktk familia hiyo waarabu walikuwa hawamwamn kama n muislam ili hali walkuwa wakimjalibu baadh yaa swala zao na alijbu vzr lakn waliamua kumpeleka chuo cha kiislam kujifuza zaidi dini.
Bnt alihudhuria mafuzo yasio na malipo huku akiwa anafanya kaz kwa bwana yule.baada yaa kulaa dini yeye mwenyew aliaza kuuchukia hata ukiristo kipindi hcho amenitafuta kwa facebook nikiwa advanced level alikuwa akisisitiza niwe muislam na kudai kwamba hiyo ndo dini ya kwel zingne garasha tu.

MAISHA YANAENDELEA
bnt mara baada ya kumaliza mafuzo ya dini hukoo uarabun huku akifanya kaz za ndan kama kawaida wezetu mschana n kuolewaa mara moja .housgirl alipewaa kjn wa kisomali nazan hapa waliona mwarabu hawez kumwoa mweus
Msomali huyo aliye na uraia wa Kenya alipewa mrembo na kumpiga pete huku akiendelea kumla taratibu ingawa baada ya kurudi mwaka jana Tanzania tuliompokea tuligundua walikuwa wanamla weng kwan alikuwa amechoka sn kiafya.
KWAN MAISHA GAN ALIYOKUWA AKIISHI
n ukwel usiofichka waarabu wanawachukia hata waislamu wezao weusi hvo bnt alikuwa kumbe akiishi maisha yaa kitumwa sn alikuwa akiwasliana na mama ake kila baada ya miaka 6 na warabu walimzuia kurudi tz had akatoa vzingizio fulan kwa miaka 15 amerudi mara 2 tu Tanzania akiwa ana hela chache sn znazokadiliwa kuwa dola 200 sawa na kama laki4 kwa sasa .

Bnt huyu alkutana na mm mwenyew kwan nlkuwa likizoo ndefu baada ya chuo changu kufunga hurudi home hukooo kusini mwa Tanzania hvo baadhi ya maneno aliweza kunambia mengne na hali nliyomwona nayo kumbuka mm n msomi naweza kuku define jinsi ulivo so mrembo ambaye umri kwa sasa anatafuta 30 alkuwa amekataa tamaa sana huku akiwa hajawahi kuonana na ndg na marafik kwa mda mrefu alifka Tanzania kutoka uarabun kwa ndege ya QUATA airways nauli alipewa nusu na waarabu wale na yeye aliongezea ya kwake .
Akiwa hana matumain ya kupata ndoto ya kuolewa kwa mana amechoka sio kuumwa ametumika mno na warabu (ameliwa sn ndogo)

STORI HII N YA NN
waschana weng wakizan kwa sabab wao n waislam wakifka uarabun wanazan watapewa priority kama una ndugu yako yupo huko mmtafute au muwazuie waschana wenye ndoto za kukwea pipa kwenda uarabun kule utumwa bado unaendelea

CLASSMATE YUPO WAP SASA
Bnt anakaa kwa dada ake huko dar na akiwa amepoteza sana morale ya maisha licha ya kukutana na watu kama ss watalamu wa ushaur alichonacho kutoka uarabun ni baibui na cheni pamoja na pete ya bwana msomali ambayee hajawahi kumtafuta tena
Haya ndo maisha ya uarabun kwa ndg zetu maskin wanaohangaika pengne huko kna rizik .usdanganyikee

Mwsho****
Nmefupisha sn story maana najua kuna watu wanaozani waarabu ni ndugu zao kisa n waislam wezao .la hasha na bado ntaleta uzi wa vjn wa kitazania waliopelekwa wakiambiwa kuna kazi ya ujenz.

[HASHTAG]#ro7[/HASHTAG] za mgos#
IQ yako iko below zero ndio maana hata ulichokileta hapa wewe mwenyewe hukifahamu!

Ulichokifanya ni kucopy na kupaste hicho kimeseji kutoka kwenye vigroup vyenu vya kitoto vya WhatsApp,hivyo vinyota nyota kwenye bandiko lako hutumika kwenye WhatsApp kuweka bold na umeshindwa japo kuvitoa ili tusijue kua wewe ni bingwa wa copy & paste,

Nani aliyekuongopea kua wadada wa kazi Uarabuni ni lazima wawe waislamu? Kuna wadada kutoka Ufilipino,Srilanka,India,Thailand n.k ambao sio waislamu,

Hizo chuki zako kwa waislamu na waarabu hazitokupunguzia ugumu wa maisha yaliyokuzunguka,hizi nguvu unazozitumia hapa kusambaza chuki za uongo laiti ungezitumia kujikwamua kutoka kwenye umasikini wako ungekua umefanya jambo la maana kwa maisha yako.
 
Wewe utakuwa ni mmoja wa mawakala hivi unaweza ukatetea ukatili wanaofanyiwa ndugu zetu arabuni na crip zote zile? Mkuu kasema ya wale waliochukuliwa kwenda kufanya ujenzi kule, nakumbuka huu aloteswa na wenzie arabuni alisimulia mateso yote, kenya hapo mpaka wamezuia watu wao kwenda huko
Mkuu unyanywasaji uko kila sehemu duniani ila wengi humu JF wanamatatizo Na Waarabu Na Waislam. Msumbiji WaTanzania wamebakwa na kuporwa mali zao,SA kila siku unyanyasaji
China WaTanzania Wafariki baada ya kurushwa toka gorofani. Hizi habari zilivuma sanaaaaa.sijasikia ulalamishi juu ya wachina Au Ubudha.India WaTanzania Na waAfrika wananyanyaswa kila kukicha Sioni malalamiko.Israel waAfrika wanabaguliwa Na kuteseka kote US na EU unyama na unyanyasaji.
Ubaguzi Na utumwa kila sehemu.Na wengi wamefanukiwa sanaaaaa tu
 
Sawa kwa hiyo hawakuzaa hata kwa uchache huko arabuni
Wapo black arabs na wengi wao ni matajiri sana na wamewaoa white arabs kwa kwa kizazi cha weusi kimepotea sana
 
Kuna watu wanaamini waafrika [sijui kama ni baadhi] ni primitive sana na huwezi kuwalaumu.

Waarabu walioteka watumwa na kwenda kuwaua wote leo mtu anajipeleka kwao tena?

Kama wanachinja hadi waarabu wenzao, wewe unategemea watakufanya nini?

Mtu yeyote anayekwenda uarabuni huyo anaendea kifo aidha cha kisaikolojia ama cha moja kwa moja.

Tatizo la wengi ni kupenda maisha mteremko, wakifika uarabuni wanateremkiwa wao.
Unaonekana wala hujawahi kutoka nje ya nchi zaidi ya kuzunguka zunguka tu hapo hapo Kijijini kwenu!

Niambie ni nchi gani ya kiarabu ambayo haina watu weusi kama unavyodai? Eti waarabu walioteka watumwa na kuwaua wote! Hivi huoni hata aibu kuyaandika hayo matapishi yako hapa? Tumia hata hako kasimu kako ka mchina kujua mambo kuliko kujiandikia kama kipofu asiyeona,nchi kama Qatar,Oman,Saudi arabia,Kuwait n.k zina watu weusi ambao ni wengi zaidi kuliko weupe unalijua hilo?
Vipi huko Msumbiji ni waarabu ndio walikua wakiwaua black wenzao? Vipi South Africa ni kina nani waliokua wakiwaua na kuwabaguawenzao hivi karibuni?
Vipi kuhusu kikundicha Anti baraka cha Central africa kilichokua kikiua waislamu tena waafrika wenzao unakijua?? Jaribu kua unafuatilia mambo hapa duniani kuliko kutuandikia utumbo wako hapa kwa mihemko ya chuki za kijinga na kitoto.
 
Mkuu uloandika uzi huu unaweza ukawa unayosema ni sahihi ila kuna kitu unatakiwa ukijuwe kutofautisha Uislam na uwarabu ,hivi ni vitu viwili tofauti sana ,maana si kila mwarabu ni muislam ,
warabu wamegawanyika wapo waislam na wakristo pia ,
kwahiyo Kosa la mwarabu muhukumu mwarabu na si uislam
 
Exactly mkuu.. Inaonyesha weusi waliuawa na kizazi chao kufutwa
Acha kuongopewa katika karne hii,tumia hata hiyo simu yako kujiongeza,Weusi kwenye nchi za kiarabu ni wengi sana kuliko hao weupe! Saudi arabia kuna black kibao,nchi kama Oman miji ya Sur na Salalah ina weusi wengi sana kuliko weupe! Tumia hiyo simu yako kupata ukweli acha kuvutwa kama gari bovu na watu wanaosambaza chuki kwa faida ambazo wanazijua wao wenyewe tu.
 
Asante
 
Hi#
Mwaka 2002 maraa bada yaa kumalizaa elimu yaa msingi tulikwendaa secondary wanafuz wachachee sn hukuuu majority yaa waschana wakishndwaa kuendelea na elim ya secondary. Hvo weng kuwa wauza pombe na kuolewaa mapemaa kutokana na maisha ya kitazania yasivo rafk kwa waschana .
[HASHTAG]#ro7[/HASHTAG] za mgos#

Ni vyema kuwa umekiri kuwa "maisha ya kitanzania yasivo rafk kwa waschana".

Sasa tueleze maisha wapi ni "rafki" kwa "waschana"?
 
Huwa napata shida saana kusoma haya mambo na kuyaona mateso wanayofanyiwa ilihali kuna naowajua wamejenga nyumba na wanasomesha wadogo zao kupitia hizo kazi za uarabuni.
 
Aiseeeeeeeh,
Huuuuuuuh hhhmmmm Daaaaah, ama kweli hizi dini uchwara Kama siasa tu za Tanzania!!

FaizaFoxy, unaweza ukasema kuwa huo ni uongo!?

Labda huu uzi ungeletwa miaka ambayo hakukuwa na mawasiliano ya kidigitali ningekusuporti ila karne hii ya simu mnato na mpanguso kila jambo nje nje Kama ya mbuzi !!!

Give me a break, guys let us stop brain washing from this imported religions.
At this extent, we are losing our dignity and humanity respectively !!!

Uongo mtupu.
 
Hi#
Mwaka 2002 maraa bada yaa kumalizaa elimu yaa msingi tulikwendaa secondary wanafuz wachachee sn hukuuu majority yaa waschana wakishndwaa kuendelea na elim ya secondary. Hvo weng kuwa wauza pombe na kuolewaa mapemaa kutokana na maisha ya kitazania yasivo rafk kwa waschana .
SAFARI YA KUTAFUTA KAZI
kna mschana aliyekuwa mpole sn darasan kwetu huyu alipata watu nazan walikuwa agent wa kutafuta wafanyakaz wa ndan kwendaa zenji . Classmate wangu alisepa mwaka 2002 kuelekea zenji ambakoo alikaa kama miaka2 kumbe akichunguzwaa tabia pamoja na usafi wake kimonekano kama ataweza kukidhi vigezo fulan.Bnt walimkubali sn kwan kutoka kjjn kwetu walikuwa wa3 ila yeye pekee aliweza kukaa mda mrefu zenji ila wezie walirud (wana machale sn).
KUBADILI DINI
Natumia simu kuandka ignore some typing errors
Classmate wangu alislim na kuwa muislam swala5. Halii hii ilipelekea kuamnika sn hvo kati ya mwaka 2006 aka advance na kwenda kufanya kaz za huko falme za kiarabu *nchi fulan* alipofka maishaa yaliaza akifanyaa kaz za ndan kwa mtu ambayee alikuwa na familiar kubwa *kama unavowajua waarabu* .
Baada yaa kukaa kwa kama miaka 2 ktk familia hiyo waarabu walikuwa hawamwamn kama n muislam ili hali walkuwa wakimjalibu baadh yaa swala zao na alijbu vzr lakn waliamua kumpeleka chuo cha kiislam kujifuza zaidi dini.
Bnt alihudhuria mafuzo yasio na malipo huku akiwa anafanya kaz kwa bwana yule.baada yaa kulaa dini yeye mwenyew aliaza kuuchukia hata ukiristo kipindi hcho amenitafuta kwa facebook nikiwa advanced level alikuwa akisisitiza niwe muislam na kudai kwamba hiyo ndo dini ya kwel zingne garasha tu.

MAISHA YANAENDELEA
bnt mara baada ya kumaliza mafuzo ya dini hukoo uarabun huku akifanya kaz za ndan kama kawaida wezetu mschana n kuolewaa mara moja .housgirl alipewaa kjn wa kisomali nazan hapa waliona mwarabu hawez kumwoa mweus
Msomali huyo aliye na uraia wa Kenya alipewa mrembo na kumpiga pete huku akiendelea kumla taratibu ingawa baada ya kurudi mwaka jana Tanzania tuliompokea tuligundua walikuwa wanamla weng kwan alikuwa amechoka sn kiafya.
KWAN MAISHA GAN ALIYOKUWA AKIISHI
n ukwel usiofichka waarabu wanawachukia hata waislamu wezao weusi hvo bnt alikuwa kumbe akiishi maisha yaa kitumwa sn alikuwa akiwasliana na mama ake kila baada ya miaka 6 na warabu walimzuia kurudi tz had akatoa vzingizio fulan kwa miaka 15 amerudi mara 2 tu Tanzania akiwa ana hela chache sn znazokadiliwa kuwa dola 200 sawa na kama laki4 kwa sasa .

Bnt huyu alkutana na mm mwenyew kwan nlkuwa likizoo ndefu baada ya chuo changu kufunga hurudi home hukooo kusini mwa Tanzania hvo baadhi ya maneno aliweza kunambia mengne na hali nliyomwona nayo kumbuka mm n msomi naweza kuku define jinsi ulivo so mrembo ambaye umri kwa sasa anatafuta 30 alkuwa amekataa tamaa sana huku akiwa hajawahi kuonana na ndg na marafik kwa mda mrefu alifka Tanzania kutoka uarabun kwa ndege ya QUATA airways nauli alipewa nusu na waarabu wale na yeye aliongezea ya kwake .
Akiwa hana matumain ya kupata ndoto ya kuolewa kwa mana amechoka sio kuumwa ametumika mno na warabu (ameliwa sn ndogo)

STORI HII N YA NN
waschana weng wakizan kwa sabab wao n waislam wakifka uarabun wanazan watapewa priority kama una ndugu yako yupo huko mmtafute au muwazuie waschana wenye ndoto za kukwea pipa kwenda uarabun kule utumwa bado unaendelea

CLASSMATE YUPO WAP SASA
Bnt anakaa kwa dada ake huko dar na akiwa amepoteza sana morale ya maisha licha ya kukutana na watu kama ss watalamu wa ushaur alichonacho kutoka uarabun ni baibui na cheni pamoja na pete ya bwana msomali ambayee hajawahi kumtafuta tena
Haya ndo maisha ya uarabun kwa ndg zetu maskin wanaohangaika pengne huko kna rizik .usdanganyikee

Mwsho****
Nmefupisha sn story maana najua kuna watu wanaozani waarabu ni ndugu zao kisa n waislam wezao .la hasha na bado ntaleta uzi wa vjn wa kitazania waliopelekwa wakiambiwa kuna kazi ya ujenz.

[HASHTAG]#ro7[/HASHTAG] za mgos#
@faizafixy
 
Kwi kwi kwi kwi teh teh teh

Mtaalamu wa ushauri unaandika kama mtoto wa darasa la tatu.

Ushauri wako unautolea kanisa lipi?

Tanzania tuna safari ndefu ya kwenda ikiwa wataammu ha ushauri ni aina hii yako.

"If such are the priests, God bless the congregation".
 
Sasa Mapadre wametoka wapi tena?
 
Back
Top Bottom