Asante kwa kujileta mwenyewe.
1.sina shaka hatakidogo kua wewe moja ya magent mnao fanya biashara ya kusafirisha watu kwenda uarabuni.
2. Ninaamini kua wewe upo kutetea waarabu maana unafanya nao biashara yakuuza watu.
3. Ninaamini matatizo yanayo wapata wenzetu mnayajua ila kwakua mlishachukua chenu hamuoni sababu ya kuacha biashara hii.
Rai yangu: naomba uache biashara hii maramoja kabla sijakushugulikia.
Ombi langu kwa uongozi wa JF.
" Naombeni ushirikiano wenu kunipa ID halisi za watu wa namna hii ili tuwashughulikie maana wanafanya biashara haramu ambayo nihatari kwa ustawi wa Taifa letu pia nikinyume na sheria za nchi yetu. Naombeni mnitumie kwa private email yangu ambayo ni
ebwire2@gmail.com.
Angalizo kwa JF kutotoa ushirikiano pia kunaweza hatarisha isalama Wa huduma yenu katika jamii. Asanteni