Nashukuru sana kaka, ntawajulisha hapa hapa JfPopote pale utakapokwama usisite kutujulisha kwa msaada zaidi
Sina mwenyeji, ila nina amini hakuna kitakacho haribikaUtafika kwa nani kAribu johberg
Ayse sijabeba kabisa.Umebeba tshirt za nembo ya bendera ya Tanzania maana siku wenyewe huko wakiamkaga utanzania huwa unasaidia kidogo kukukinga na majanga yao
Asante kiongozi. Ila sio mara ya kwanza kuvuka border nilisha vuka ya mtukula.Nikuulize unA passport halaf tunduma kuna wajanja kukuomba pesa kugonga nenda peke yako utagonga free
Nyungu mbona kuna fursa kibao mkuu umeziacha!Ndugu zanguni, wiki mbili zilizo pita nilileta uzi hum Jf lengo likiwa ni Kuomba /kuuliza namna ya kufika SA. Nilipata ushauri mwingi mno, mzuri, mbaya, wakunijenga, wakunikebehi Nk. Pamoja na hayo yote Mungu awabariki sana kwa ushauri wenu mzuri.
Safari nimeianza jana nikitokea Babati mtaa wa Nyunguu, leo ndio nimeanza safari tena nikitokea Dar. Nauli nimetoa elf 45 mpaka Tunduma. Kiukweli moyoni nina hofu yenye mchanganyiko na furaha, Johannesburg sijawahi kufika, ila najua Mungu atafanya tu.
Ombi langu kwenu kila mmoja asiogope kutoka. Mi leo nimethubutu, nikifika tu JoBeg Ntawapa picha, huko nimejipanga kufanya kazi yoyote ambayo ni halali, hata km ni kuosha vyombo hotelni. Mbarikiwe sana
South afr na Tz visa?? Au ule urafiki wetu uliisha??Mhimu ni passport, VISA na vibali vyako vinavyoonyesha unaenda kufanya nini angalau uwe na kahela kakuanzia.
Oh sawa, ila kwenye kubadili lazima waniingize mjini tu.Okk sawa uwe makini tu na tunduma akikisha unachange pesa zote kuwa rand lA sivyo utapata shida sana kubadili pesa.