Safari ya Misukosuko (2006) – Sehemu ya Kwanza

Duh.... walikuwa wamezidi aisee tena ni wajinga, unanunuaje kitu hujakiona?
Unaoneshwa unakagua ukiridhika unalipia, kisha unawekewa kwenye bahasha, hapo ndo bahasha zinakuwa mbili moja yenye simu na nyingine yenye kipande cha sabuni na zote anakuwa ameziweka kwenye mfuko mmoja na hapo anabadilisha chap anakukabidhi yenye sabuni
 
Ushamba sana... ningekuwa mimi that moment natafuta tuma game kama tumo na hakuna cha bahasha........ lazima niende naitumia.
 

Hii stoi itaishia porini jamaa wakiwa wameharibikiwa na gari.
 
Kuna kipande cha kupanda gari za Iringa katupiga..!! Mikumi kituo cha polisi hakipo porini. Kipo maeneo ambayo watu wanaishi na ni umbali mkubwa kutoka hifadhini..!!
Huyu akibanwa vizuri atasema tu.
 
Ushamba sana... ningekuwa mimi that moment natafuta tuma game kama tumo na hakuna cha bahasha........ lazima niende naitumia.
Wanatumia tekniki ya kujifanya wamegairi ili uwarudishie simu, baadae wanakubali ndo hapo unapokabidhiwa sabuni
 
Sister na wewe unaungana na huyo kunikanyagia ? Hii ni kweli aisee 😀😀😀
Nina mambo mengi ya kufanya kwanini nitumie muda mwingi ili niandike uongo ? Kwa faida ya nani ?
Mimi sijasema uongo bana usinisingizie
😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…