Safari ya matumaini inaweza kuendelea

Safari ya matumaini inaweza kuendelea

mkuu lowasa aondoke tu. wala haina shida. kwa bahati nzuri mimi huwa nina msimamo wangu. siwezi kuwazuia watu kuchagua fisadi ila mimi sitompa kura yangu. hata hapo baadaye watakapokuwa wanalalamika kuwa anawaibia mimi sitoilaumu nafsi yangu kwa sababu najua fika sikushiriki kumweka pale alipo.
Lowasa angekuwa wakuelewa angeelewa mapema Jk alichukuwa anamaanisha. rejea hutuba ya JK ya mbeya alichosema kipindi lowasa akigawa pesa makanisani.
lakini kama vile haitoshi hivi hujiulizi akina nape, makonda na wanaofanania walikuwa wanapata wapi ule ujasiri? ukiona mtoto mdogo anakudhihaki na mzazi wake anasikia halafu kanyamaza ni vizuri ukajiuliza kitu.
kauli kama za akina kinana kuwa hatutakubali chama kiende kwa mafisadi- lowasa hakujifunza kitu hapo? maana wakitajwa mafisadi kwa harakaharaka huwezi kosa jina la lowasa.
lakini lingine la kujiuliza; kwa vyovyote vile isingewezakana lowasa kuwa flag bearer wa ccm kwa sababu alikuwa na mikwaruzano na watu wengi kama akina sita, mwakyembe, membe kwa mbali na timu zao. kupewa jukuma la kuwa rais kazi ya kwanza ambayo angeanza nayo ni kuwashughulikia mahasimu wake kwanza kabla ya wananchi.
binafsi siku tayari kuajiri mtu kwa ajili ya kwenda kulipiza visasi badala ya kututumikia. yapo mengi tatizo muda. ningetiriririririka mpaka hata kesho. kwaheri.

Ila JMK naye mkuu, siyo! Kufanya vile ilikua sawa EL kufanyiwa kwa sababu ulizo toa, lakini ni halali au ni sawa JMK kufanya vile? Je, alicho fanya kimemtakasa yeye au huo mfumo wao? Huwezi kutakasa dhambi kupitia dhambi kwa .."two wrongs will not and Connot make one right!"
EL can wewe na mimi is still redemptive! Why not! Na kubali ukataye anao watu, Si wachache, akiondoka asubui, 30 katika 100, ya haraka tu, ya waliovaa jezi juzi watamfuata mbio!
 
Watanzania wanataka MABADILIKO, wasipoyapata, kuyaona ndani ya ccm, watayatafuta nje ya ccm.
Kama anaona hakuna mabadiliko ni wakati muafaka akayatafute nje.
 
Lowassa ndiye atakuwa KING MAKER wa uchaguzi wa mwaka huu 2015, kutegemea na msimamo atakaochukuwa.

Hivyo tusimuudhi mamba kabla hatujavuka mto.
 
lowasa akienda upinzani ajiandae kwenda keko kuungana na kina mramba. ni lowasa huyu huyu anayelindwa na serikali ya jk kwa kashfa ile ya richmond. pia ni lowasa huyuhuyu anayepewa mafao ya waziri mkuu mstaafu ilhali hakustaafu. lowasa ana option mbili tu. moja kujitoa ccm na kubaki hury ama kubaki ccm huku akiumia ndani kwa ndani.
 
mkuu lowasa aondoke tu. wala haina shida. kwa bahati nzuri mimi huwa nina msimamo wangu. siwezi kuwazuia watu kuchagua fisadi ila mimi sitompa kura yangu. hata hapo baadaye watakapokuwa wanalalamika kuwa anawaibia mimi sitoilaumu nafsi yangu kwa sababu najua fika sikushiriki kumweka pale alipo.
Lowasa angekuwa wakuelewa angeelewa mapema Jk alichukuwa anamaanisha. rejea hutuba ya JK ya mbeya alichosema kipindi lowasa akigawa pesa makanisani.
lakini kama vile haitoshi hivi hujiulizi akina nape, makonda na wanaofanania walikuwa wanapata wapi ule ujasiri? ukiona mtoto mdogo anakudhihaki na mzazi wake anasikia halafu kanyamaza ni vizuri ukajiuliza kitu.
kauli kama za akina kinana kuwa hatutakubali chama kiende kwa mafisadi- lowasa hakujifunza kitu hapo? maana wakitajwa mafisadi kwa harakaharaka huwezi kosa jina la lowasa.
lakini lingine la kujiuliza; kwa vyovyote vile isingewezakana lowasa kuwa flag bearer wa ccm kwa sababu alikuwa na mikwaruzano na watu wengi kama akina sita, mwakyembe, membe kwa mbali na timu zao. kupewa jukuma la kuwa rais kazi ya kwanza ambayo angeanza nayo ni kuwashughulikia mahasimu wake kwanza kabla ya wananchi.
binafsi siku tayari kuajiri mtu kwa ajili ya kwenda kulipiza visasi badala ya kututumikia. yapo mengi tatizo muda. ningetiriririririka mpaka hata kesho. kwaheri.
Mkuu nakubli hayo yote, ni kweli kwamba EL asingestahili kuwa kiongozi wetu, lakini nalia na mfumo uliopo na njia zinazotumiwa! Huoni kwamba njia hiyo hiyo inaweza kutumika kuminya haki ya mtu anayefaa kabisa? La pili hao wanaoamua uchafu wa EL wana usafi gani?! Wapiga dili kwenye mfumo ni wengi tu. Ipo siku mfumo utakufa, heri kama EL angeshiriki, kwa kutumia fursa hii, kuvunja nguvu ya huu mtandao, ni wazo tu!
 
lowasa akienda upinzani ajiandae kwenda keko kuungana na kina mramba. ni lowasa huyu huyu anayelindwa na serikali ya jk kwa kashfa ile ya richmond. pia ni lowasa huyuhuyu anayepewa mafao ya waziri mkuu mstaafu ilhali hakustaafu. lowasa ana option mbili tu. moja kujitoa ccm na kubaki hury ama kubaki ccm huku akiumia ndani kwa ndani.
Hapo ndipo penye tatizo, kwa nini kuwe na double standards? Kwanini sasa wampe mafao lakini akihama wampeleke Keko? Dhambi ni kuhama au ni ufisadi? Hapa ndipo penye tatizo la huu mfumo, ni bora ashiriki kuuvunja ahukumiwe kwa haki kuliko kuendelea kuulinda aheshimiwe kwa unafiki!
 
Watu mnaleta uchonganishi tu hapa. Mnamchonganisha na CCM, mnamchonganisha na viongozi wa chama.
 
Lowas anatakiwa kurudisha personal glory ambayo ilichukuliwa na kutupwa ardhini na wapiga dili wenzie...Mbaya alifika kushuhudia kwamba hasimu wake Membe ana kwenda hatua zaidi ya yake.Bahati membe hakufika finali.Lowasa ni masai na masai revenge ni ku disable adui yako for a revenge.Lowasa akiwa nje ya CCM atakuwa km kaenda pigana vita akiwa uchi....akiwa kafungwa mdomo huku adui yao kapewa micorphone..Lowasa akiwa ACT atakosa nguvy ya dola ya ccm ambayo pia yeye ni sehemu ya walioipanguvu sana.Atakuwa anapigana vita na misingia liyoijenga.
Ukomo sahihi kabisa. Kilichobaki salaama kwake ni kujiunga na kina Sumaye
 
Watu mnaleta uchonganishi tu hapa. Mnamchonganisha na CCM, mnamchonganisha na viongozi wa chama.
Tunamchonganisha nani na chama? Hapa tunatumia freedom of speech kujadili hali iliyopo, Kwani ni kosa?
 
Edward Elowassa Ngayai Ndossy habari zake zimekwisha hana lolote,hana jeuri ya kuhama CCM,hana uwezo nje ya CCM,hana ubavu,ni mchafu nje ya CCM amekwisha.

Kuendelea kujadili mambo ya Ndossy ni kupoteza muda wako bure wakati kuna mambo mengi ya maana ya kujadili.Yalikuwa ni makosa makubwa upande wa CCM kumlea,kumlinda na kumfikisha Lowassa Ndossy alipofika hakika huo ni udhaifu wa CCM,huo ni udhaifu wa Mkapa,huo ni udhaifu wa Kikwete.

Nina uhakika kama Mkapa na Kikwete wangekuwa ni viongozi madhubuti Lowassa Ndossy asingewasumbua kiasi hichi wangemmaliza mapema,wangemdhibiti mapema na pengine walipokuwa wanajadiliana kila mmoja alikuwa akimlaumu mwenzake kwa kumlea Chatu wakiamini hakuwa kitosho kwakuwa alikuwa akila Panya,Ndege wasijie Chatu alikuwa akikua na mlo wa Panya ulikuwa haukidhi shibe ya tumbo lake tena kilichokuwa kikifuata ni wafugaji wa Chatu huyo kuwatafuna wafugaji wake.

Mungu Ibariki Tanzania,Mungu mbariki Kikwete kwa kuliepushia taifa kutawaliwa na Joka kubwa lenye njaa kali sana.Kwa mara ya kwanza katika historia ya utawala wa Kikwete amefanya jambo jema haijalishi alijenga barabara,haijalishi alitanua demokrasia pana lakini kumkata kichwa Chatu mwenye madhara pengine hiyo ndio sifa pekee nitakayoikumba katika histora ya utawala wake.

Nakala Pasco ........
 
Last edited by a moderator:
Kama Lowasa alikua na nia ya dhati ya kuwatumikia Watanzania, basi nafasi bado ipo. Anaweza kupiga pigo moja la mwisho, pigo lenye nguvu, pigo takatifu........ Lowasa ni sehemu ya mfumo uliomnyima nafasi kwa kupitia mlangoni, atumie dirisha kuharibu kazi yake na wengine, ili kuleta ukombozi kwa vizazi vijavyo! Lowasa anaweza, akitaka, kutafuta haki nje ya mfumo, na kuweka standards ambazo zitamjengea heshima kwa kizazi kijacho. Huu mfumo upo mikononi mwa EL kwa sasa, kama akitaka anaweza kuwa sehemu ya historia, lakini hata kama hatatumia hii fursa, kuna siku mfumo huu utavunjwa. Ipo siku Tanzania itaondokana na huu mfumo, kuna siku ukombozi utapatikana! Ipo siku utumwa wa fikra utakoma na uhuru wa Kweli utapatikana, EL ana fursa akiitumia ataingiza jina lake kwenye vitabu!

Aende zake anakodhani wanapokea watu wa aina yake. CCM imeanza mabadiliko ya kweli asiyetaka ahame chama na siku zote mtu mwenye uroho wa madaraka utamjua tu atatumia nguvu zote kuhakikisha anashinda.
 
Edward Elowassa Ndossy ni zaidi ya uchafu ukijua hilo pengine litakusaidia.Ninaposema Ndossy ni zaidi ya ufisadi ujue Escrow,Meremeta......... Ni mtoto mdogo sana.Ukiona mwanasiasa anakimbilia misikitini,makanisani,ukanda,na ukabila basi ujue kitosho cha ufisadi ni kiti kidogo sana tafakari chukua hatua.

Nashukuru Ngongo, swali moja tu, Je, hao waliomlea ni wasafi? ESCROW? Meremeta? Huyu ni mchafu lakini amelelewa na kujengwa na mfumo mchafu, tupambane na mfumo maana chatu wapo wengi mle!
 
Edward Elowassa Ndossy ni zaidi ya uchafu ukijua hilo pengine litakusaidia.Ninaposema Ndossy ni zaidi ya ufisadi ujue Escrow,Meremeta......... Ni mtoto mdogo sana.Ukiona mwanasiasa anakimbilia misikitini,makanisani,ukanda,na ukabila basi ujue kitosho cha ufisadi ni kiti kidogo sana tafakari chukua hatua.
Mimi siyo team Lowasa, na sikubaliani na ufisadi kabisa! Lakini nakuomba unanijibu, majoka ni mangapi kwenye mfumo? Kuna wachafu wangapi? Ni sawa wamepiga joka moja, yamebaki mangapi? Hoja yangu yauwawe yote, uwa mfumo!
 
Back
Top Bottom