Mangisandy
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 2,644
- 2,273
Kama Lowasa alikua na nia ya dhati ya kuwatumikia Watanzania, basi nafasi bado ipo. Anaweza kupiga pigo moja la mwisho, pigo lenye nguvu, pigo takatifu.
Lowasa ni sehemu ya mfumo uliomnyima nafasi kwa kupitia mlangoni, atumie dirisha kuharibu kazi yake na wengine, ili kuleta ukombozi kwa vizazi vijavyo! Lowasa anaweza, akitaka, kutafuta haki nje ya mfumo, na kuweka standards ambazo zitamjengea heshima kwa kizazi kijacho.
Huu mfumo upo mikononi mwa EL kwa sasa, kama akitaka anaweza kuwa sehemu ya historia, lakini hata kama hatatumia hii fursa, kuna siku mfumo huu utavunjwa.
Ipo siku Tanzania itaondokana na huu mfumo, kuna siku ukombozi utapatikana! Ipo siku utumwa wa fikra utakoma na uhuru wa Kweli utapatikana, EL ana fursa akiitumia ataingiza jina lake kwenye vitabu!