Mangisandy
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 2,644
- 2,273
- Thread starter
- #61
Ni Kweli, ule mfumo unatakiwa kuvunjwa, wakigombana wenyewe, itawarahishia wenye nia ya dhati! Kifo cha KANU kinaweza kutoa fundisho!E.L ni pigo kwa CCM na move waliofanya ccm imecomplicate issue kuliko walivyodhani.Chochote kinachoweza sikika kwa EL kitaisumbua sana ccm..E.L akifariki sasa hivi mikononi mwa CCM ni issue, EL akinyamaza ni shida,akifungua mdogo ni shida, na akiongea kitu pakayumba kidogo ni shida.