Safari ya matumaini inaweza kuendelea

Safari ya matumaini inaweza kuendelea

Ndugu, mie sijakuelewa vema unataka NINI hasa usemapo apitie dirishani. Lowasa HANA viwango vya kuweka, angalau kwa sasa. Amepata umaarufu kwa njia chafu. Kahonga, kaanza kampeni na kujenga mitandao ya kununua Uraisi kwa muda mrefu sasa. Hii ndo sababu hakuvuka kikwazo cha kamati ya maadili ya CCM. Kwa sababu hii, hana lolote la kuleta ukombozi! Safari ya MATUMANI imeishia shimoni. Kwa maoni yangu, GARI alilokuwa akiendesha, limedumbukia kule Manyara Cliff, ukuta wa Bonde la ufa, yaani wakati akielekea mto wa Mbu. safari ya matamanio KWISHNEI! Haipo tena 2015, labda 2020!

Kama alitumia fedha na akakubalika ndani ya ccm atashimdwa vipi kutumia fedha na akakubalika popote pengine atakapohamia. Mtandao huohuo ndio ulimuingiza kikwete madarakani na kwa staili hiyo hiyo ya kutumia pesa. Watanzania bado sana watafanya maamuzi kwa kusukumwa na pesa.
 
Mkuu nakubli hayo yote, ni kweli kwamba EL asingestahili kuwa kiongozi wetu, lakini nalia na mfumo uliopo na njia zinazotumiwa! Huoni kwamba njia hiyo hiyo inaweza kutumika kuminya haki ya mtu anayefaa kabisa? La pili hao wanaoamua uchafu wa EL wana usafi gani?! Wapiga dili kwenye mfumo ni wengi tu. Ipo siku mfumo utakufa, heri kama EL angeshiriki, kwa kutumia fursa hii, kuvunja nguvu ya huu mtandao, ni wazo tu!

Ni kweli. Fedha alizokula lowassa mpaka sasa hazijatajwa. Tunafahamu waliokula mabilioni ya escrow na hawajashikwa bado. Tatizo la lowassa ni kuandamana na akina chenge, rostam na karamagi. Hilo linatushutua kidogo.
 
Mkuu nakubli hayo yote, ni kweli kwamba EL asingestahili kuwa kiongozi wetu, lakini nalia na mfumo uliopo na njia zinazotumiwa! Huoni kwamba njia hiyo hiyo inaweza kutumika kuminya haki ya mtu anayefaa kabisa? La pili hao wanaoamua uchafu wa EL wana usafi gani?! Wapiga dili kwenye mfumo ni wengi tu. Ipo siku mfumo utakufa, heri kama EL angeshiriki, kwa kutumia fursa hii, kuvunja nguvu ya huu mtandao, ni wazo tu!
mkuu ni mtandao upi ambao unahisi Lowasa angeuvunja? unafikiri wanaompinga lowassa ni wachache? refer akina cleopa msuya, john malecela, butiku, warioba, kitine na watu wengi wazito wazito. na wala hawa hawakuficha hadhani kabisa wamemsema lowassa kuwa hafai. angalia mfano wa hiyo list. sidhani hata mkapa kama anakubaliana naye kivile ndo maana baraza lake la kwanza lowasa aliwekwa kando. achilia mbali mpaka muasisi wa taifa hili alimkataa tena hadharani. cheki makongoro alivyomnanga tena bila kificho. tafuta speech za makongoro humu wakati akitia nia alichokisema juu ya lowasa. lakini kubwa zaidi ninalojiuliza kilichowaumiza sana nyie wafuasi wa lowasa ni nini hasa? kwa ilikuwa lazima awe yeye? kulikuwa na watu 38 na nafasi ni moja tu. kwa wale tuliosoma probability ni kuwa chance ya lowasa ilikuwa 1/38 na 37/38 haikuwa yake. jifunze kiu hapo. au lowasa na zaidi ya wengine? kwa lipi? kwenye ufisadi? hebu sema hasa mfano anamzidi nini hasa magufuli huyo lowasa? au kwa sababu aliwagawia pesa nyingi za kutosha?
mwisho hebu iangalie hii timu yake ya ushindi; chenge, rostam, karamagi na wanaofanania. ukiona hyo list ni kitu gani kinachokujia harakaharaka kichwani kwako? kuwa mkweli.
 
Nashukuru mkuu, ninapambana sana na umasikini, hata hapa najitaidi ku pambana na umasikini wa fikra! Na napenda ujue kwamba Watanzania kwa kuchanga changa akili ndogo ndogo, hivi tu, kuna siku tutabadulisha kabisa huu mfumo wa sasa, tena kwa mambo mengi tu! Ninacho jaribu kuanglia kwa sasa ni 'shortcut' ya EL kubomoa kwa nguvu aliyo nayo sasa, alafu tujenge upya! Lakini, siku ipo......

Mi nakuunga mkono 100% ila sasa nani wa kumshawishi EL aingie UKAWA, Mimi naamin hata akikosa urais ila wapinzan wangedhibiti bunge na hiyo ingekua mwanzo wa mageuzi tunayoyataka
 
Hatakihama chama cha. Mapinduzi na ana siri kubwa moyoni mwake kwann asifanye hvyo.. ADUI yake si membe kama alivyoamini na kuingia mkenge, adui yake ni wale wazee wa chama.. Siku ile kama yeye na wafuasi wake wangegomea kikao cha nec hakika leo tungekuwa tunazungumza mengine kabisa.
 
santesandy

Tanzania haiwezi kamwe kukombolewa na mwizi. Mwizi ni mwizi tu na hawezi kutuletea mafanikio yoyote yale, sana sana akiingia Ikulu ndio ataiba kila kitu. Angalia watu wanomzunguka Lowassa (Friends of Lowassa) akina Rostam Aziz, Andrew Chenge, Kalamagi, Kingunge, na wengine wengi tu, wote mafisadi tu. Lowassa ameshakufa kisiasa. Kwa kifupi, meli imeshazama, kilichobakia kwao ni kuogelea na kufika pwani salama basi. Lowassa hana jipya. Alikuwa anatafuta nafasi ya kuendelea kujitajirisha yeye na marafiki zake. Alikuwa anajua wazi kabisa akiwa ikulu, mikataba yote minono angewapa marafiki zake wa karibu. CCM walishamshitukia mapema, jina lake wakalikatilia mbali. Lowassa ni hatari zaidi ya Ebola!!!
 
Last edited by a moderator:
mkuu ni mtandao upi ambao unahisi Lowasa angeuvunja? unafikiri wanaompinga lowassa ni wachache? refer akina cleopa msuya, john malecela, butiku, warioba, kitine na watu wengi wazito wazito. na wala hawa hawakuficha hadhani kabisa wamemsema lowassa kuwa hafai. angalia mfano wa hiyo list. sidhani hata mkapa kama anakubaliana naye kivile ndo maana baraza lake la kwanza lowasa aliwekwa kando. achilia mbali mpaka muasisi wa taifa hili alimkataa tena hadharani. cheki makongoro alivyomnanga tena bila kificho. tafuta speech za makongoro humu wakati akitia nia alichokisema juu ya lowasa. lakini kubwa zaidi ninalojiuliza kilichowaumiza sana nyie wafuasi wa lowasa ni nini hasa? kwa ilikuwa lazima awe yeye? kulikuwa na watu 38 na nafasi ni moja tu. kwa wale tuliosoma probability ni kuwa chance ya lowasa ilikuwa 1/38 na 37/38 haikuwa yake. jifunze kiu hapo. au lowasa na zaidi ya wengine? kwa lipi? kwenye ufisadi? hebu sema hasa mfano anamzidi nini hasa magufuli huyo lowasa? au kwa sababu aliwagawia pesa nyingi za kutosha?
mwisho hebu iangalie hii timu yake ya ushindi; chenge, rostam, karamagi na wanaofanania. ukiona hyo list ni kitu gani kinachokujia harakaharaka kichwani kwako? kuwa mkweli.

Safi sana mkuu, waambie hawa, Lowassa ni hatari. Ni kama gonjwa la EBOLA!!
 
Ndugu, mie sijakuelewa vema unataka NINI hasa usemapo apitie dirishani. Lowasa HANA viwango vya kuweka, angalau kwa sasa. Amepata umaarufu kwa njia chafu. Kahonga, kaanza kampeni na kujenga mitandao ya kununua Uraisi kwa muda mrefu sasa. Hii ndo sababu hakuvuka kikwazo cha kamati ya maadili ya CCM. Kwa sababu hii, hana lolote la kuleta ukombozi! Safari ya MATUMANI imeishia shimoni. Kwa maoni yangu, GARI alilokuwa akiendesha, limedumbukia kule Manyara Cliff, ukuta wa Bonde la ufa, yaani wakati akielekea mto wa Mbu. safari ya matamanio KWISHNEI! Haipo tena 2015, labda 2020!

Nakubaliana na wewe hakuna cha mlango wa mbele wala dirishani apumzike tu kwani usione serikali ipo kimya bado inaweza ikafanya maamuz magum zaidi ya hayo.....hatutaki kelele Magufuli anatosha aungwe mkono tu
 
Unataka kusema kwa usalama wake akae kimya? Kwamba serikali inaweze kufanya hayo maamuzi magumu kama EL akifanya maamuzi kupingana nao? Atakua anaadhibiwa kwa kupinga serikali? Kama hawapendi ufisadi si wachukuwe tu hayo maamuzi magumu! Au Si wangenvua gamba wakati ule? Sipo na EL, najiuliuliza tu kwa nini, kama wana nia ya dhati kupambana na ufisadi, si wawapige tu? Mwana-ccm asiye mchafu awe wa kwanza kumtupia EL jiwe!!
 
Safi sana mkuu, waambie hawa, Lowassa ni hatari. Ni kama gonjwa la EBOLA!!
Lakini EL ni mwana-ccm ambaye kukata jina lake ilikua ngumu, na ana wafuasi ndani ya ccm kuliko hata Kikwete na Magufuli kwa pamoja!
 
Unataka kusema kwa usalama wake akae kimya? Kwamba serikali inaweze kufanya hayo maamuzi magumu kama EL akifanya maamuzi kupingana nao? Atakua anaadhibiwa kwa kupinga serikali? Kama hawapendi ufisadi si wachukuwe tu hayo maamuzi magumu! Au Si wangenvua gamba wakati ule? Sipo na EL, najiuliuliza tu kwa nini, kama wana nia ya dhati kupambana na ufisadi, si wawapige tu? Mwana-ccm asiye mchafu awe wa kwanza kumtupia EL jiwe!!

yes umenielewa sawia...kikubwa ni kukubali kilichotokea only that, kama ulimsikiliza kuna JK kuna hawez wakamchagua mtu kirafiki au kindugu kama vigezo havijakidhi na hutakiwi kununa km hujachaguliwa..umenipata
 
Basi hawana nia ya dhati kupambana na ufisadi, wangekua nayo wangemshughulikia huko huko! Pili wana nia ya kupambana na upinzani kwa nguvu kubwa! Nime-draw hiyo conclusion kutokana na maelezo yako, ambayo yana ukweli ndani yake!
 
Kama Lowasa alikua na nia ya dhati ya kuwatumikia Watanzania, basi nafasi bado ipo. Anaweza kupiga pigo moja la mwisho, pigo lenye nguvu, pigo takatifu.

Lowasa ni sehemu ya mfumo uliomnyima nafasi kwa kupitia mlangoni, atumie dirisha kuharibu kazi yake na wengine, ili kuleta ukombozi kwa vizazi vijavyo! Lowasa anaweza, akitaka, kutafuta haki nje ya mfumo, na kuweka standards ambazo zitamjengea heshima kwa kizazi kijacho.

Huu mfumo upo mikononi mwa EL kwa sasa, kama akitaka anaweza kuwa sehemu ya historia, lakini hata kama hatatumia hii fursa, kuna siku mfumo huu utavunjwa.

Ipo siku Tanzania itaondokana na huu mfumo, kuna siku ukombozi utapatikana! Ipo siku utumwa wa fikra utakoma na uhuru wa Kweli utapatikana, EL ana fursa akiitumia ataingiza jina lake kwenye vitabu!

Nimeiona hoja yako niyamsingi sana ukizingatia yeye ni mmoja kati yawaliyo msaidia Mkulu kuingia madarakani sasa amesalitiwa naye anaweza fanya lolote ili kukiharibia chama.
 
Mfumo upo mikononi mwake, watu wamemwaga ugali, akimwaga mboga watatafutana! Wagawane fito wanazogombania, ili nchi irudi kwa wananchi, kwa sasa walioshikilia nchi yetu ni wale waliokua kwenye ule ukumbi mpya, kama huna vadhi la kijani ndo hivyo tena! Anyway, EL asipofanya chochote, kuna njia nyingine, ipo siku.....
 
E.L ni pigo kwa CCM na move waliofanya ccm imecomplicate issue kuliko walivyodhani.Chochote kinachoweza sikika kwa EL kitaisumbua sana ccm..E.L akifariki sasa hivi mikononi mwa CCM ni issue, EL akinyamaza ni shida,akifungua mdogo ni shida, na akiongea kitu pakayumba kidogo ni shida.
 
Back
Top Bottom