Yaani huyu hana tofauti na wapiga debe wa stendi wanaosema twende Mwanza halafu wao wanabaki au wanaanza kunadi kuwa twende Arusha.Kaka kinyonga chameleon
Bangi sana huyu jamaa kama Adam MchomvuYaani huyu hana tofauti na wapiga debe wa stendi wanaosema twende Mwanza halafu wao wanabaki au wanaanza kunadi kuwa twende Arusha.
Comrade punguza jazba ni wivu tu unakusumbua. Kapige malimao kidogo.Siasa za kibongo lazima uwe mshirikina, muongo na mzandiki. Huyu jamaa rasmi ameasi. Anayataka yote ya Mungu na ya Kaizari
Dubwana la hovyo kabisaYaani huyu hana tofauti na wapiga debe wa stendi wanaosema twende Mwanza halafu wao wanabaki au wanaanza kunadi kuwa twende Arusha.
Highway to hellPambaneni na hali yenu.. jamaa ashabadili uelekeo.
[emoji115][emoji115][emoji28][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Highway to hell
Hapa nasubiri tu tarehe tajwa ifike.Bangi sana huyu jamaa kama Adam Mchomvu
Pambaneni na hali yenu.. jamaa ashabadili uelekeo.
Kabisaa,hafai hata kwa bure.Dubwana la hovyo kabisa
Comrade punguza jazba ni wivu tu unakusumbua. Kapige malimao kidogo. View attachment 1582410
🤣 🤣 🤣Gwajima atataga kwa kupasuka msamba
Kamaliza kuifufua misukule yote bongo?Atafanyaje wakati Sadaka zimepungua sana kanisani kwake na maisha lazima yaendelee