Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,409
- 2,263
Shetani mama yako ,ebho!Mi naamini wabunge wa chadema wote wa dar walishinda ispokuw temeke ambapo ni ngome ya ccm.
Wakurugrnzi waliambiwa watangaze wanaccm hivyohivyo come what may. Mfano imedhihirika wazi mbowe alishinda ila kwa vile sabaya aliagizwa kwa kazi maalumu ya kuchinja, kuteka na kuua isingekuwa rahisi mbowe kutangazwa.
Makonda naye alifanya hivyohivyo kwa mkoa wa dar.
Ama kweli tulikuwa tunakngozwa na shetani na mungu akaamua kuingilia kati.
Msimamizi wa uchaguzi aliweza kuandika idadi atakayo ili mradi anaipendelea ccm na asingeulizwa na mtu yeyote.Nilikuwa msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Musoma mjini !!Ukweli CCM haikushinda.Mkurugenzi Mungu anakuona.
Ila hiyo 50% sijui umeipataje!Mi naamini wabunge wa chadema wote wa dar walishinda ispokuw temeke ambapo ni ngome ya ccm.
Wakurugrnzi waliambiwa watangaze wanaccm hivyohivyo come what may. Mfano imedhihirika wazi mbowe alishinda ila kwa vile sabaya aliagizwa kwa kazi maalumu ya kuchinja, kuteka na kuua isingekuwa rahisi mbowe kutangazwa.
Makonda naye alifanya hivyohivyo kwa mkoa wa dar.
Ama kweli tulikuwa tunakngozwa na shetani na mungu akaamua kuingilia kati.
Shetani mama yako ,ebho!
Wakati wa uchaguzi mkuu uliopita, Makonda hakuwa mkuu wa mkoa wa Dar.Mi naamini wabunge wa chadema wote wa dar walishinda ispokuw temeke ambapo ni ngome ya ccm.
Wakurugrnzi waliambiwa watangaze wanaccm hivyohivyo come what may. Mfano imedhihirika wazi mbowe alishinda ila kwa vile sabaya aliagizwa kwa kazi maalumu ya kuchinja, kuteka na kuua isingekuwa rahisi mbowe kutangazwa.
Makonda naye alifanya hivyohivyo kwa mkoa wa dar.
Ama kweli tulikuwa tunakngozwa na shetani na mungu akaamua kuingilia kati.
Zaidi ya nusu ya majimbo ya uchaguzi kanda ya ziwa ccm walipoteza.Mi naamini wabunge wa chadema wote wa dar walishinda ispokuw temeke ambapo ni ngome ya ccm.
Wakurugrnzi waliambiwa watangaze wanaccm hivyohivyo come what may. Mfano imedhihirika wazi mbowe alishinda ila kwa vile sabaya aliagizwa kwa kazi maalumu ya kuchinja, kuteka na kuua isingekuwa rahisi mbowe kutangazwa.
Makonda naye alifanya hivyohivyo kwa mkoa wa dar.
Ama kweli tulikuwa tunakngozwa na shetani na mungu akaamua kuingilia kati.
kawe hakushinda wa chadema alizidiwa kura 11000 za bila chengaMi naamini wabunge wa chadema wote wa dar walishinda ispokuw temeke ambapo ni ngome ya ccm.
Wakurugrnzi waliambiwa watangaze wanaccm hivyohivyo come what may. Mfano imedhihirika wazi mbowe alishinda ila kwa vile sabaya aliagizwa kwa kazi maalumu ya kuchinja, kuteka na kuua isingekuwa rahisi mbowe kutangazwa.
Makonda naye alifanya hivyohivyo kwa mkoa wa dar.
Ama kweli tulikuwa tunakngozwa na shetani na mungu akaamua kuingilia kati.
Kwakweli inahitaji kujitoa akili sana kumtofautisha yule jamaa na ushetanijiwe hakua na tofauti na shetani huo ndio ukweli
Habari njema hizi japokuwa zimechelewa.Nilikuwa msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Musoma mjini !!Ukweli CCM haikushinda.Mkurugenzi Mungu anakuona.