Spika wa bunge na wabunge zaidi ya 100 wa ndani ya CCM, hawatapita kwenye chujio la kugombea ubunge ndani ya CCM 2020. Baadhi hawa hapa

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Kipindi mwenyekiti wa ccm Ndugu John Pombe Magufuli akijitahidi kudhoofisha upinzani na wanachama wa ccm wakishangilia na wengine wakienda mbali zaidi wakitaja kwa majina baadhi ya wabunge wa upinzani ambao hawatarudi bungeni ifikapo 2020.

Bila kujua Wabunge wa ccm wamekuwa wakifurahia ubakwaji wa Demokrasia ambao unatokea katika nchi yetu bila kujua kuwa na wenyewe hawako salama ndani ya chama chao kama hawataweza kumdhibiti Mwenyekiti wao mpema kabla ndoto zao kwenye siasa zisije zikaota mabawa.

Ndugu Magufuli ameamua kuanza kutengeneza mikakati wa kuwadhoofisha viongozi wa ccm ambao watamkubalia kila jambo atakalo liamua kwa maslahi yake binafsi mfano mzuri uteuzi wa Katibu mkuu wa ccm wa Bw Bashiru Ally ambae alishawahi kunukuliwa na vyombo vya Habari mbali mbali akikana kwamba sio mwanachama wa ccm.

Na alikuwa mpingaji mkuu wa serikali ya ccm ambayo katika serikali hiyo magufuli akiwa kiongozi mkubwa kabisa, kwa kutumia uwezo Mdogo kabisa wa kufikri (Lowest thinking Capacity) Bw Bashiru ni mtiifu kabisa kwa Mwenyekiti wake kuliko chama ccm kwa Lugha nyingine Bw Bashiru ni mfia Magufuli.

Vile vile Katibu Mwenezi wa ccm Bw Pole pole mpaka Leo anaamini kuwa kama uchaguzi ukiwa huru na haki ccm ijiandae kukabidhi nchi, lakini Leo yupo ccm kwa sababu ya Dr magufuri na Itikadi ya ccm, wapo viongozi wengi wa ccm kama hao ambao hawana imani na ccm Bali wanaimani na Dr Magufuli

Mfano mzuri kwa wanaohamia ccm hvi sasa Sababu na magufuli na sio Itikadi, mfano mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Mama Anna mgwira na na Katibu mkuu wa maji Bwana kitila Mkumbo ambao waliochukua kadi ya ccm baada ya kupewa cheo kinyume na hapo mpaka Leo wangekuwa upinzani.

Kwa maelezo mepesi Dr Magufuli anawapenda sana watu watakao kuwa watiiifu kwake kuliko chama chake ili wasimpe vizingiti Atakapo amua kufanya maamuzi ya kuunga juhudi za Rafiki zake Mseven na Kagame za kuendelea kutawala kwa mda mrefu.

Kwa hesabu za kawaida ni lazima awadhoofishe wale wote ambao wanandoto za kuwa Marais ndani ya chama chake na yeye kujitanua zaidi na kuweka watu watiifu kwake ususani wanaotokea upinzani ili ccm ione bila yeye hakuna ushindi na vile vile ndani ya ccm kuwe na kelele nyingi za kumhitaji kwa maana hiyo kunabaadhi ya Wabunge hawatarudi.

*Wafuatao ni Wabunge wa ccm ambao hata kama wakishinda kura za maoni hawatarudishwa kugombea majimbo yao;-*

wa kwanza ni *Dr Mwigulu Nchemba* huyu ameandaliwa mikakati kabambe ya kumtoa kwenye jimbo la Iramba na kumuweka *Prof Kitila Mkumbo* ili baadae awe waziri wa Maji. kwa maana hiyo Bw Mwigulu ajitahidi Singida United isishuke Daraja ili aendelee kuwa Rais wa hiyo timu sio Tanzania.

Mwingine ni Mbunge wa Shinyanga Bw *Stephen Masele* hatorudi Bungeni kwenye kura za maoni atapitishwa *Patrobas katambi* na atapewa unaibu Waziri kwa sababu hiyo ndio moja ya ahadi aliopewa kama atahamia ccm kwa maana hiyo Bw Masele anatakiwa kutafuta kazi nyingine ya kufanya.

Mwingine ni *Stanislaus Mabula* mbunge wa Nyamagana Mgombea wa jimbo hilo ni Bwana *Paul Makonda* ambae hivi sasa ni mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Bwana Mabula sio chaguo la Mwenyekiti kwa maana hiyo Bw Mabula angeanza kutafuta Flemu ya kuuzia mitumba maeneo ya Mlango lango au makorobai tokea mapema Makonda anaandaliwa kuwa waziri wa mambo ya ndani.

Mwingine ni *Charles Kitwanga* mbunge wa Misungwi badala yake atakuwa *Alexander Mnyeti* Mgombea wa ccm 2020, kwa maana hiyo ningemshauri kaka Yangu kitwanga aanze kufungua mgahawa wa pombe kama Rafiki yake bwana Chami la sivyo atakuja kuadhilika kama Mteketa.

Wingine ni *Husna Mwilima,* ni Mbunge wa Mbunge wa Kigoma kusini chaguo la Mwenyekiti ni *David Kafulila* huyu kwa mujibu wa taarifa za ndani huyu anaandaliwa kuwa waziri. Kwa maana hiyo huyu Dada Yangu asifanye matumizi mabaya ya pesa.

Ninayo idadi ya Wabunge wa ccm kubwa ambao hawatapita kwenye kura za maoni hii ni kwa sababu anataka amuweke Spika wake 2020, Magufuri Bado anaimani Naibu spika wa sasa *Bi Tulia Ackison* kuliko *Bw Job Ndugai* kwa maana hiyo lazima Asafishe Wabunge wote ambao hawakumuunga mkono Tulia, ili 2020 kazi iwe rahisi.

Ushauri Wangu kwa Wabunge wa ccm mshirikiane na Wabunge wa upinzani kuitaka Serikali ilete Bungeni Marekebisho ya Katiba ya Tanzania na sheria ili kuwepo na tume huru ya uchaguzi kuanzia juu mpaka chini.

Hii itamfanya Mwenyekiti wa ccm taifa Bw Magufuli kuhofia kushindwa kuitetea nafasi yake ya urais kama atajenga migogoro ndani ya chama kipindi cha uchaguzi na vile vile itawafanya kama msipotendewa haki ccm mnapata nafasi upinzani kama alivyofanya Dr Slaa na kuwa na uhakika wa kushinda kwa sababu kuwepo Tume huru ya uchaguzi.

Kama Mhe Sumaye na Mhe Lowasa wangejua siku moja watakuwa upinzani Basi ninafahamu wangehakikisha tume huru inakuwepo hivyo basi nyinyi hamjachelewa ninaomba mfanye hivyo msije mkazikwa kwenye siasa kama aliekuwa Mbunge Machachari wa jimbo la Nzega (2005-2010) Bw Lucas Selelii mkihakikisha kunakuwepo na Time huru Magufuli hata wawazia nyinyi atakiwa anawazia atashindaje.
 
mawazo chonganishi haya pole jitahidi kuchonganisha na hila yako mbaya hii pole. Hapo ukijuwa hata hao uliowataja ni watanzania wanayo furasa ktk nchi yao Hii ni kwa zamu tu na hao walikiwepo na wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mko preoccupied ma ccm huko kwenu mnajisahau kabisa kuziba ufa, sasa endeleeni kiwa bize na ccm alafu mje tafuta mchawi 2020.
 
Usije ukabaki mdomo wazi ukisikia kina Mtatiro,Waitara and the likes wanakimbilia kwa Agustino Lyatonga Mrema kutafuta Fursa baada ya kugaragazwa vibaya mno kwenye kura ya Maoni
 
Usisahau hwa wabunge wa chadema waliohamia ccm kina waitara na wenzako. Wpte hawa mwisho wao ni 2020
 
Back
Top Bottom