Sabaya kapprove kwamba takribani 50% ya wabunge wa CCM hawakushinda na wenyewe wanajua hilo. Walitangazwa kwa ubabe na hila

Matrix19

JF-Expert Member
Feb 24, 2020
2,648
2,000
Awamu ile ushamba ulikubuhu sana hata mbinu zilikua za kishamba tu .

Watu waliweka kura kwenye hotpot ikawa mara ya kwanza tangu kuasisiwa kwa nchi ya Tanzania.

Mitandao ikawekwa kapuni siku 6 tukafanana na nchi zilizokubuhu kwa udikteta zilizokuwa zikifanya tangu awali na watanzania walikua wakisikia ndipo walionja machungu
 
Nkanini

JF-Expert Member
Jun 6, 2017
2,464
2,000
Mi naamini wabunge wa chadema wote wa dar walishinda ispokuw temeke ambapo ni ngome ya ccm.

Wakurugrnzi waliambiwa watangaze wanaccm hivyohivyo come what may. Mfano imedhihirika wazi mbowe alishinda ila kwa vile sabaya aliagizwa kwa kazi maalumu ya kuchinja, kuteka na kuua isingekuwa rahisi mbowe kutangazwa.

Makonda naye alifanya hivyohivyo kwa mkoa wa dar.

Ama kweli tulikuwa tunakngozwa na shetani na mungu akaamua kuingilia kati.
Ameen
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
19,875

Nikikumbuka yule Mama aliyekatwa sikio Kule Vunjo NCCR sina hamu kabisa na Jiwe magufuli. He was A Satanic Agent
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
19,875
2,000
Nilikuwa msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Musoma mjini !!Ukweli CCM haikushinda.Mkurugenzi Mungu anakuona.
Dar Yote Upinzani walishinda. Huko.Mbeya na Iringa ndio usiseme. Mbozi na Arusha kilimanjaro. Kimsingi Hata Magufuli under S.T.P asingeshinda Jabali TAL
 
Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
14,480
2,000
Bila katiba mpya hayo yote yanaweza kujirudia wakati wowote.
Awamu ile ushamba ulikubuhu sana hata mbinu zilikua za kishamba tu .

Watu waliweka kura kwenye hotpot ikawa mara ya kwanza tangu kuasisiwa kwa nchi ya Tanzania.

Mitandao ikawekwa kapuni siku 6 tukafanana na nchi zilizokubuhu kwa udikteta zilizokuwa zikifanya tangu awali na watanzania walikua wakisikia ndipo walionja machungu
 
mtzmweusi

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
7,301
2,000
Mi naamini wabunge wa chadema wote wa dar walishinda ispokuw temeke ambapo ni ngome ya ccm.

Wakurugrnzi waliambiwa watangaze wanaccm hivyohivyo come what may. Mfano imedhihirika wazi mbowe alishinda ila kwa vile sabaya aliagizwa kwa kazi maalumu ya kuchinja, kuteka na kuua isingekuwa rahisi mbowe kutangazwa.

Makonda naye alifanya hivyohivyo kwa mkoa wa dar.

Ama kweli tulikuwa tunakngozwa na shetani na mungu akaamua kuingilia kati.
Kwa mujibu wa rekodi za ndani sio 50% ni 70 mkuu
 
chikambabatu

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
958
1,000
Kati ya watu dhalimu msimamizi wa tume, eti baada ya uchunguzi wakaalika wadau kufanya tathimini, wakawa wanatoa changamoto zisizokuwepo kabisa! Hii ya kutangaza wasioshinda haikuwepo!
 
denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
8,298
2,000
Hapa tena Sabaya angefaa kuwa shahidi wa kesi za uchaguzi kama zingefunguliwa na upinzani hasa Chadema.
 
DENLSON

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
703
1,000
Mi naamini wabunge wa chadema wote wa dar walishinda ispokuw temeke ambapo ni ngome ya ccm.

Wakurugrnzi waliambiwa watangaze wanaccm hivyohivyo come what may. Mfano imedhihirika wazi mbowe alishinda ila kwa vile sabaya aliagizwa kwa kazi maalumu ya kuchinja, kuteka na kuua isingekuwa rahisi mbowe kutangazwa.

Makonda naye alifanya hivyohivyo kwa mkoa wa dar.

Ama kweli tulikuwa tunakngozwa na shetani na mungu akaamua kuingilia kati.
Makonda unamsingizia hakuwa kiongozi wakati wa uchaguzi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom