Jackson matthew
Senior Member
- Jun 26, 2026
- 156
- 343
Bibi yangu mzaa baba juzi aliwakalisha chini wajukuu zake.bibi aliwaeleza kuwa mtu atayetokeya akaoa mkenya atakuwa anapata watoto wanakufa. Tamko hilo la bibi amelitangaza rasm kama laana ameiacha.bibi alipoteza mwanawe wa kiume ambaye ndio mjomba wangu.
inasemakana kuwa aliuwawa na mwili wake kutupwa mton na kuliwa na mamba river mara.
kaka zangu ambao wanafanya kazi kenya wameambiwa wakidhubutu kuoa mkenya hamna rang hawataiona hapa dunian.
bibi anasema wasipooa watanzania wabaki mabechela.hiv wakuu haya maneno ya bb yanaweza yakawa ukwel wakiuka...???