kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 11,732
- 13,215
Wake wengine wanaboa Sana kuhusu bint msahidizi
Kuabudu nini? Nyoka aliyejificha pangoni au?Binti wa kazi naye ni binadamu anahitaji mapumziko na muda wa kuabudu
Aisee. Huyo wa kukamua dushe ni suala la muda kabla hajakuchoma moto/kukupiga wanga.Kuna wanawake bora uwahi kuchelewa ukute amelala...
Ukiwahi ukamkuta ataanza kukunusa akwmbie uvue boksa anuse.
Akiona haitoshi akamue dushe aone km vishahawa vimebaki
Ibaki hivo hivo namba 6,,,naikubali hii. .point6.KUKWEPA MAJUKUMU (Ingefaa kuwa no 1.)
Sasa hapo uchelewe na umkite bado ajalala anakusubiria ndio utajua ujuiMimi huwa naogopa yale mafunzo ya kong fu ambayo mke wangu aliyapata kwenye kile chuo cha the Sheng Chi foundation.View attachment 2001944
We futa MAZAUZAU ktk simu kabla hujaja home ukifika jiielekeze ktk maliwazo nakwambia hata siku akikuta picha hatari hatanihusisha nazo.NIAMINI mkuu wanawake HAWAHITAJI liupendo Kama mlima, hapana wao hata busu tu toooosha kabisaUkitaka kumliwaza ye anashika simu ili ajue kuna SMS ngap
mfano haujanishirikisha kipato chako mi nitatambuajeKuombwa hela ya matumizi nyumbani hakukwepeki, kikubwa ishi kwa uhalisia wa kipato na mke atambue
Let's say mmeo hajaajiriwa anafanya kazi labda za ujenzi unamuona wiki nzima hajafanya kazi, pamoja na kutofanya kazi hiyo wiki nzima anahudumia familia kawaida. Mke sasa unaanza kusema kuna rafiki yako sijui anataka mshone sare za kwenda kwenye sherehe fulani wiki ijayo, bajeti hapo kwa haraka inahitajika kama 50k mme anakuelewesha unaanza nunamfano haujanishirikisha kipato chako mi nitatambuaje
Ni RIZIKI sio ridhiki.ridhiki
Kwani huna speed governor?Mda mwingne kelele za ndan ya nyumba (mke mwenye mdomo mchafu sana kwa mme wake) inaweza fanya mwanaume kuchelewa kurudi home
Asante Sana ndugu......uwe na wakati mwema....Ni RIZIKI sio ridhiki.
Hakuna mwanamke mkali kwa mwanaume anayejitambua na kusimama kwenye misingi ya uanaume wake......Ila wapo wanawake wakali, wanaume Mungu awatie nguvu
Sijaona sababu kubwa ya kuchelewa kurudi nyumbani kwako isipokuwa ni umalaya tu unakusumbua.1. Zamu ya kulea mtoto.
2. Makelele ya mama kwa watoto.
3. Kufokewa kwa binti wa kazi mda wote.
4. Kupekuliwa simu.
5. Kudaiwa pesa za matumizi mara kwa mara.
Ongeza sababu zingine.
Hiv ww ulishawai kukutana na wanawake waoongea kama cherehen? Ata ufanyeje ataongea had uishiwe nguvu za kiumeKwani huna speed governor?
Mkuu usiwe mbishi,wapo wanawake hata usimame vipi wao walishalelewa katika namna ambayo hawawezi kuongea bila ya kufanya ukali..Hakuna mwanamke mkali kwa mwanaume anayejitambua na kusimama kwenye misingi ya uanaume wake......
Ukali ni tatizo la kisaikolojia ambalo linaletwa na changamoto mbali mbali anazokabiliana nazo mwanamke...... mwanaume anayejitambua atasimama kwenye nafasi yake ipasavyo na kumpunguzia mzigo mkubwa mke wake na kuifanya akili yake kutulia na kurejesha furaha maishani mwake..........
Hapana ndugu hapa hatubishani bali tunaelekezana ili kuelelimishana.....Mkuu usiwe mbishi,wapo wanawake hata usimame vipi wao walishalelewa katika namna ambayo hawawezi kuongea bila ya kufanya ukali..
Hajawahi huyoHiv ww ulishawai kukutana na wanawake waoongea kama cherehen? Ata ufanyeje ataongea had uishiwe nguvu za kiume
Ndo nakubia mkuu usikaidi kwamba hakuna wanawake wakali,ukiendelea kuishi miji tofauti na watu tofauti utakuja kuona hiki kitu...Hapana ndugu hapa hatubishani bali tunaelekezana ili kuelelimishana.....
Dunia ina mengi na penye wengi pana mengi....yote yanawezekana kwa kuwa tabia zinatofautiana.....