Sababu zinazowafanya Wanaume wengi wachelewe kurudi nyumbani

Jana kulikuwa na balaaa nyumbani,nimewahi kurudi home tupo tunapiga tu story ,sasa katikati ya story Wife Wakawa kama wanataniana na dada wa kazi mimi hayo mengine sikusikia,nilianza kusikia hapa
Wife:Neema Kwani wewe unataka mwanaume wako aweje
Neema:Yaani mimi napenda kama hivyo Baba Ethan(mimi),yaani hiyo hivyo Alivyo

Wife alinyanyuka ,nimeshangaa ameninunia mimi.
Bora nisingewahi kurudi siku ya jana
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣 Maswali mengne sio yakuulizana. Tena bora umewai kurudi ukajua chanzo maana ata usingewai kurudi home bado ungesifiwa na angenunu tu kwa kusifiwa.
 
Jana kulikuwa na balaaa nyumbani,nimewahi kurudi home tupo tunapiga tu story ,sasa katikati ya story Wife Wakawa kama wanataniana na dada wa kazi mimi hayo mengine sikusikia,nilianza kusikia hapa
Wife:Neema Kwani wewe unataka mwanaume wako aweje
Neema:Yaani mimi napenda kama hivyo Baba Ethan(mimi),yaani hiyo hivyo Alivyo

Wife alinyanyuka ,nimeshangaa ameninunia mimi.
Bora nisingewahi kurudi siku ya jana
 
Mi kelele ndo sipendi ,alafu unamjibu taratibu yeye louder,apo mi najikusanya huyo kwenye jumuia ya k vant.Nikirudi mid night nalala zangu.ukiwa na hasira za karibu unaweza jikuta uko ukonga 30yrs
 
Jana kulikuwa na balaaa nyumbani,nimewahi kurudi home tupo tunapiga tu story ,sasa katikati ya story Wife Wakawa kama wanataniana na dada wa kazi mimi hayo mengine sikusikia,nilianza kusikia hapa
Wife:Neema Kwani wewe unataka mwanaume wako aweje
Neema:Yaani mimi napenda kama hivyo Baba Ethan(mimi),yaani hiyo hivyo Alivyo

Wife alinyanyuka ,nimeshangaa ameninunia mimi.
Bora nisingewahi kurudi siku ya jana
Hapo kimeshaumana. Na wanavyopenda kwenda kwenye hitimisho kwa kutumia hisia bila reasoning utajua hujui.
 
.......hailet maana kuchelewa kurud nyumbani kisa changamoto ambazo unaweza kuztatua, bas haujafkia vgezo vya kuwa mume au baba na umeoa mtu ambaye bado hajakidh vgezo vya kuwa mama

At kupekuliwa simu hahaha au kudaiwa matumizi mnh inashangaza, bado sjaona sababu yeny mashko ya kufanya wanaume wachelewe kurud majumbani kwao. Hizo n sababu za vivulana ambavyo bado havjafkia kuwa wanaume.
 
Semeni tu nyie ni mafurushi akili za kuendesha familia zenu hamna ndio maana mnachelewa kurudi makwenu. Haina justification hiyo.
 
Tafsiri ya mwanaume kuwa kichwa cha familia maana yake kuisimamia na kuiongoza familia yake vyema katika mambo ya msingi na yenye manufaa kwa familia.

Changamoto na purukushani za kifamilia ni kipimo cha uongozi na ushujaa wako kama baba na kichwa familia,

Kukabiliana na changamoto na purukushani hizo ni uthibitisho kuwa unatosha kuwa kwenye nafasi hiyo na ni alama ya ushupavu kwa wote waliochini ya utawala wako.

Kuchelewa kurudi nyumbani kwa sababu yoyote iliyo nje ya majukumu ya kutafuta ridhiki ni alama kuwa huwezi kuyabeba majukumu na kutatua changamoto zilizo ndani ya familia yako huku wewe ukiwa kama kichwa cha familia.

Hali hiyo inapunguza heshima na hadhi yako kama baba wa familia pia inapunguza upendo na mshikamano ndani ya familia.

Hali hiyo inapelekea automatically watoto kumthamini mama kwa kuwa wanamuona kila siku ndiye anayepambana na harakati na changamoto za kifamilia huku baba akiwa anarudi ananyata usiku kwa uoga.

Think big, take control of your destiny.
Maisha hayana formula unavyo andika aya ukumbuke kuna wanawake ni pasua kichwa bora tu kuchelewa
 
Ukichelewa kurudi shida ukiwahi kurudi shida ... Mara nyingi huwa nalala hukohuko ... Narudi asubuhi
 
Tafsiri ya mwanaume kuwa kichwa cha familia maana yake kuisimamia na kuiongoza familia yake vyema katika mambo ya msingi na yenye manufaa kwa familia.

Changamoto na purukushani za kifamilia ni kipimo cha uongozi na ushujaa wako kama baba na kichwa familia,

Kukabiliana na changamoto na purukushani hizo ni uthibitisho kuwa unatosha kuwa kwenye nafasi hiyo na ni alama ya ushupavu kwa wote waliochini ya utawala wako.

Kuchelewa kurudi nyumbani kwa sababu yoyote iliyo nje ya majukumu ya kutafuta ridhiki ni alama kuwa huwezi kuyabeba majukumu na kutatua changamoto zilizo ndani ya familia yako huku wewe ukiwa kama kichwa cha familia.

Hali hiyo inapunguza heshima na hadhi yako kama baba wa familia pia inapunguza upendo na mshikamano ndani ya familia.

Hali hiyo inapelekea automatically watoto kumthamini mama kwa kuwa wanamuona kila siku ndiye anayepambana na harakati na changamoto za kifamilia huku baba akiwa anarudi ananyata usiku kwa uoga.

Think big, take control of your destiny.
Umeandika mengi sijasoma yote ila najua umeandika pumba ..... Kuwa karibu na kuambatana na mkeo kila sehemu usizani ndio uongozi Bora au ndio ukichwa......au kushinda unapigizana kelele na mkeo huo ndio uanaume acha upuuzi .....Kuna ndoa bila kupeana space zingekua zimevunjika kitambo bro

Sometime love needs space
 
Tafsiri ya mwanaume kuwa kichwa cha familia maana yake kuisimamia na kuiongoza familia yake vyema katika mambo ya msingi na yenye manufaa kwa familia.

Changamoto na purukushani za kifamilia ni kipimo cha uongozi na ushujaa wako kama baba na kichwa familia,
Mkuu hapa umeupiga mwingi sana

Shikamoo!!
 
Tafsiri ya mwanaume kuwa kichwa cha familia maana yake kuisimamia na kuiongoza familia yake vyema katika mambo ya msingi na yenye manufaa kwa familia.

Changamoto na purukushani za kifamilia ni kipimo cha uongozi na ushujaa wako kama baba na kichwa familia,

Kukabiliana na changamoto na purukushani hizo ni uthibitisho kuwa unatosha kuwa kwenye nafasi hiyo na ni alama ya ushupavu kwa wote waliochini ya utawala wako.

Kuchelewa kurudi nyumbani kwa sababu yoyote iliyo nje ya majukumu ya kutafuta ridhiki ni alama kuwa huwezi kuyabeba majukumu na kutatua changamoto zilizo ndani ya familia yako huku wewe ukiwa kama kichwa cha familia.

Hali hiyo inapunguza heshima na hadhi yako kama baba wa familia pia inapunguza upendo na mshikamano ndani ya familia.

Hali hiyo inapelekea automatically watoto kumthamini mama kwa kuwa wanamuona kila siku ndiye anayepambana na harakati na changamoto za kifamilia huku baba akiwa anarudi ananyata usiku kwa uoga.

Think big, take control of your destiny.
Baba unapatikana kanda gani ya nchi hii?kama watu wote wangekuwa na akili kama zako basi kesi za kila siku humu zisingekuwepo,
Men play your part as men!
 
Back
Top Bottom