Sababu zinazowafanya Wanaume wengi wachelewe kurudi nyumbani

Kuna wanawake bora uwahi kuchelewa ukute amelala...
Ukiwahi ukamkuta ataanza kukunusa akwmbie uvue boksa anuse.
Akiona haitoshi akamue dushe aone km vishahawa vimebaki
Aisee. Huyo wa kukamua dushe ni suala la muda kabla hajakuchoma moto/kukupiga wanga.
 
Ukitaka kumliwaza ye anashika simu ili ajue kuna SMS ngap
We futa MAZAUZAU ktk simu kabla hujaja home ukifika jiielekeze ktk maliwazo nakwambia hata siku akikuta picha hatari hatanihusisha nazo.NIAMINI mkuu wanawake HAWAHITAJI liupendo Kama mlima, hapana wao hata busu tu toooosha kabisa
 
mfano haujanishirikisha kipato chako mi nitatambuaje
Let's say mmeo hajaajiriwa anafanya kazi labda za ujenzi unamuona wiki nzima hajafanya kazi, pamoja na kutofanya kazi hiyo wiki nzima anahudumia familia kawaida. Mke sasa unaanza kusema kuna rafiki yako sijui anataka mshone sare za kwenda kwenye sherehe fulani wiki ijayo, bajeti hapo kwa haraka inahitajika kama 50k mme anakuelewesha unaanza nuna
 
Ila wapo wanawake wakali, wanaume Mungu awatie nguvu
Hakuna mwanamke mkali kwa mwanaume anayejitambua na kusimama kwenye misingi ya uanaume wake......

Ukali ni tatizo la kisaikolojia ambalo linaletwa na changamoto mbali mbali anazokabiliana nazo mwanamke...... mwanaume anayejitambua atasimama kwenye nafasi yake ipasavyo na kumpunguzia mzigo mkubwa mke wake na kuifanya akili yake kutulia na kurejesha furaha maishani mwake..........
 
1. Zamu ya kulea mtoto.
2. Makelele ya mama kwa watoto.
3. Kufokewa kwa binti wa kazi mda wote.
4. Kupekuliwa simu.
5. Kudaiwa pesa za matumizi mara kwa mara.

Ongeza sababu zingine.
Sijaona sababu kubwa ya kuchelewa kurudi nyumbani kwako isipokuwa ni umalaya tu unakusumbua.
 
Hakuna mwanamke mkali kwa mwanaume anayejitambua na kusimama kwenye misingi ya uanaume wake......

Ukali ni tatizo la kisaikolojia ambalo linaletwa na changamoto mbali mbali anazokabiliana nazo mwanamke...... mwanaume anayejitambua atasimama kwenye nafasi yake ipasavyo na kumpunguzia mzigo mkubwa mke wake na kuifanya akili yake kutulia na kurejesha furaha maishani mwake..........
Mkuu usiwe mbishi,wapo wanawake hata usimame vipi wao walishalelewa katika namna ambayo hawawezi kuongea bila ya kufanya ukali..
 
Hiv ww ulishawai kukutana na wanawake waoongea kama cherehen? Ata ufanyeje ataongea had uishiwe nguvu za kiume
Hajawahi huyo

Kwanza asli ya wanawake ni waongeaji,ni watu ambao lazima waseme ili wawe na amani.

Ukipata mwanamke ambaye sio msemaji basi jua atakuwa na kisirani yaani anakuwa mtu wa kununa nuna mda wote au kusononekasononeka mda wote.

Japokuwa wapo wanawake wanasema kistaarabu na kifariki zaidi kwa waume zao,na pia wapo wanaosema kibabe na kishari sana kwa waume zao.

Sasa hapa mwanaume anatakiwa awe ni mtu wa maneno machache sana,asiwe anarushiana maneno na mke wake hata siku moja hutomshinda.
 
Back
Top Bottom