Sababu zinazowafanya Wanaume wengi wachelewe kurudi nyumbani

*Ukiwahi anaanza kukusisimulia stori za mashoga zake kama vile nyie hamna maisha yenu (umbea sitaki)

*Anaanza kukueleza shida za ndugu zake ambao nao pia Wana familia zao kama yeye alivyo na familia yake anajidai mama huruma kama vile yeye hana shida (kuishi maisha ya watu wengine wakat na mm nina yangu sitaki)

*Kumfokea dada wa kazi kila siku na kumzidishia kazi ukimwambia siyo vizuri anakununia vita inaamkia kwako utaskia "au ni mpenzi wako?"
 
Ndo nakubia mkuu usikaidi kwamba hakuna wanawake wakali,ukiendelea kuishi miji tofauti na watu tofauti utakuja kuona hiki kitu...
Nakubaliana na wewe kweli......lakini aina nyingi ya au za tabia zinajengwa na mazingira na mienendo ya watu wanaomzunguka mtu.....inawezekana pia mtu huyo akabadilika ikiwa atakutana na mitazamo na mienendo tofauti na aliyoizoea na inayompendeza......ni jambo linalochukua muda lakini linawezekana....
 
Yes ni kweli kaka hakuna kinachoshindikana.

Mwanaume akishajua kwamba anadeal na mwanamke wa aina hiyo anatakiwa apambane kumuonesha ustaarabu wa kuongea na mwanaume.
 
Aisee hiyo #3 ndio huwa inanikera zaidi
Hata nikiwa kwa mama mzazi huko kibosho lazima nikwaruzane nae, wanawake sijui mna matatizo gani house girl akigonga glass kelele, akipiga hatua kwa kishindo kelele, akinyata kelele
 
Baadhi ya Sababu ulizotoa hazina mashiko.

Mwanaume unaanzaje kupewa zamu ya kulea mtoto.

Uliona wapi wewe......
IMG_20210929_185508.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee hiyo #3 ndio huwa inanikera zaidi
Hata nikiwa kwa mama mzazi huko kibosho lazima nikwaruzane nae, wanawake sijui mna matatizo gani house girl akigonga glass kelele, akipiga hatua kwa kishindo kelele, akinyata kelele
Aise hapana
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom