Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

Je wa Africa tulikua na imani kabla ya Toleo hili la pili la kiimamani? Kama jibu ni ndio ni Wazi kua tulikua na MUNGU wetu. Wengi wanafikili kwamba Ukoroni ulikuja kuchukua, madini, pembe za Ndovu na kadhalika... Kumbe Mzungu alikuja "kupola... Kila kitu... Madini yetu Imani zetu..kuvuruga tamaduni zetu... Wao wanawafinyanga watoto wao kitawala Dunia.. Sisi Ufalme wa Bwelele Mbinguni ooo My God... Niishie hapa, kataa ukibwetele.
Kutawaliwa hajatawaliwa muafrika tu pekee yake,mbona wengine pamoja na kutawaliwa ila sasa bado wanaimani zao?
 
1....jehanamu iliumbwa kwa ajili ya ibilisi na malaika wake, ila wewe binadamu unapofanya matendo ya ibilisi yaani kuungana na ibilisi nawe unakuwa sehemu yake ibilisi....kumbuka hao malaika hata huyo ibilisi mwenyewe walikuwa malaika wa Mungu
unawezaji kufanya matendo ya kiumbe ambaye hujawahi kuona hata pua yake
 
Mtoa mada ndani ya siku chache utakufa. Tafuta mtu wako karibu aje atupe TANZIA yako. Usimjaribu Bwana Mungu na Muumba wako. Naona unachokitafuta utakipata tu.
wewe utakufa lini mkuu au utaishi milele.acha vitisho mbuzi mshauri aelewe
 
Mi sitakagi kumfikiaria M/MUNGU nahisi ntafuruga ubongo.
 
Yani wewe ni mjinga sana kichwa kikubwa ubongo wa mende ;

* Kama mungu unamkosoa hebu tembea bila kukanyaga ardhi yake ili kuonesha udhaifu wake huenda utamthibitishia kwamba yeye sie

* Ondoa umuhimu wa uumbaji wake tembelea tumbo badala ya miguu kwakua wewe ni mwerevu sana na uzime Wala kunywa vitokanavyo na uumbaji wake

* Wewe unataka kuishi unavyotaka ufanye madhambi asikuadhibu wewe ninani we unadhani utaishi kama umejileta hapa duniani mwenyewe kama kweli mkosoe kwakuleta kiumbe sahihi zaidi na alicho umba

* Eti kwanini alimruhusu shetani kunjaribu adamu , umewahi kuona wapi mtu anafaulu bila mtihani wewe alafu unadhani umeleta point saaaaana kumbe hewa tu

* Ndio wakristo na waislamu wako watakao kwenda motoni kwakuwa kinyume na atakavyo mungu kwani mungu katupa mwongozo wewe na wenzako hamtaki kufuata eti kwakua yako mail haraka kutokana kwake mmepotea kwakwel

* Chaajabu unamsifu mungu anahekima kwakua ni muumbaji kama unaamini ameumba iweje unamkosoa alafu unataka akujibu face to face
wewe kama nani na kwanini akujibu wakati ushaona makosa yake Unataka kujibiwa na mkosaji kwamaana asie kamili ?

* Eti ume share mawazo ama umemwaga mavi jamvini nani atakaa hapo nakushauri endelea na msimamo usibadilike kabisa mana hatuna hasara SISI

* Kuhusu kukwaza huja tukwanza imebidi tu tuchangie kwakua tushazoea kutoa michango yetu kwa waerevu na wajinga kama wewe ; ujinga sio tusi nisifa ya watu kama wewe ....
 
ukipunguza jazba ukasoma tena kisha ukakoment tena nitakujibu
 
Kutawaliwa hajatawaliwa muafrika tu pekee yake,mbona wengine pamoja na kutawaliwa ila sasa bado wanaimani zao?
Uko Sawa.. Pamoja na kutawaliwa, wengine hawakusubutu kunyang'anywa imani zao.. Na huo ndio utofauti.
 
It may be that our role on this planet is not to worship God, but to create him.
 
I distrust those people who know so well what God wants them to do because I notice it always coincides with their own desires.
 
Is God willing to prevent evil, but not able? Then he is not omnipotent. Is he able, but not willing? Then he is malevolent. Is he both able and willing? Then whence cometh evil? Is he neither able nor willing? Then why call him God?
 
You know your god is man-made when he hates all the same people you d
 
If it turns out that there is a God, I don't think that he's evil. But the worst that you can say about him is that basically he's an underachiever.
 
Kuna maswali mengi kuhusu Mungu huwa najiuliza, mpaka SAA nyingine huwa namkasirikia Mungu (maybe nakufuru lakini acha iwe hivyo).Bcoz kwa ninavomuwazia Mungu ingekuwa ni heri nisingezaliwa.

1) Kama kweli Mungu ni upendo, kwanini aumbe jehanamu ya kutuchoma milele sisi tulio waovu (lyk for billions and trillions of years). Si heri angetumaliza tu kuliko kututesa milele? Kwenye shuhuda nyingine wakristo huenda motoni kwa dhambi moja tu ambayo hawakutubu. (I know hell was originally intended for the devil and his demons & not 4 humans)

2) Kwanini alimruhusu shetani kumjaribu Adam ikiwa alijua kuwa wanadamu wengi tutateseka duniani, tutaanguka maovuni, na atatutupa Jehanamu?

3) Kama Mungu anatuambia tukitenda dhambi na tusipomtii tutachomwa motoni, Je wakristo na waislamu (baadhi yetu) tutakuwa tunamtumikia Mungu kwasababu tunampenda na tunataka kumjua zaidi? au tutakuwa tunamtumikia kwasababu tunaogopa kwenda Jehanamu?

4) Mungu husema mawazo yake si kama ya kwetu, na njia zake zipo juu zaidi, nakubaliana na hilo. Maybe kutuchoma motoni it's in his nature, that's the way He is and we have to live with it.

5)All in all Mungu ana hekima kuliko mimi, coz ni muumba wa kila kitu. Maybe katika hekima yake yote, hii ndo decision bora aliokuja nayo. Labda ana reason nzuri behind all this ambayo mm siijui. Maybe Mungu mwenyewe akinijibu face 2 face, nitabadili mtazamo wangu kuhusu yeye.

6) Kingine kinachonikasirisha pia ni yeye kuruhusu mimi kuja hapa duniani, naona ni heri nguvu aliotumia kuniumba mimi angetumia kufanya kitu kingine, nachukia + najuta kuwa hapa duniani to see all this, dunia imejaa waovu (mm nikiwa mmoja wapo) pamoja na mateso ya kila namna.

Haya ndo mawazo yangu nimeamua ku-share nanyi, najua hata povu linitoke vipi it won't change the facts. Samahani kwa ntakaekuwa nimewakwaza humu jukwaani, naamini Mungu alishayajua mawazo yangu kuhusu yeye toka kitambo. So im just keeping it real.
Sijui leo ni mwezi ngapi maana akili hii labda mbaazi zimetoa maua
 
Uko Sawa.. Pamoja na kutawaliwa, wengine hawakusubutu kunyang'anywa imani zao.. Na huo ndio utofauti.
Kama waafrika tungekuwa na imani zenye kutuunganisha kama tunavyoona wahindi au wachina,basi nasi hata baada ya kutawaliwa tungebaki na imani yetu ila hali ilikuwa tofauti.
 
Back
Top Bottom