Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

Kuna maswali mengi kuhusu Mungu huwa najiuliza, mpaka SAA nyingine huwa namkasirikia Mungu (maybe nakufuru lakini acha iwe hivyo).Bcoz kwa ninavomuwazia Mungu ingekuwa ni heri nisingezaliwa.

1) Kama kweli Mungu ni upendo, kwanini aumbe jehanamu ya kutuchoma milele sisi tulio waovu (lyk for billions and trillions of years). Si heri angetumaliza tu kuliko kututesa milele? Kwenye shuhuda nyingine wakristo huenda motoni kwa dhambi moja tu ambayo hawakutubu. (I know hell was originally intended for the devil and his demons & not 4 humans)

2) Kwanini alimruhusu shetani kumjaribu Adam ikiwa alijua kuwa wanadamu wengi tutateseka duniani, tutaanguka maovuni, na atatutupa Jehanamu?

3) Kama Mungu anatuambia tukitenda dhambi na tusipomtii tutachomwa motoni, Je wakristo na waislamu (baadhi yetu) tutakuwa tunamtumikia Mungu kwasababu tunampenda na tunataka kumjua zaidi? au tutakuwa tunamtumikia kwasababu tunaogopa kwenda Jehanamu?

4) Mungu husema mawazo yake si kama ya kwetu, na njia zake zipo juu zaidi, nakubaliana na hilo. Maybe kutuchoma motoni it's in his nature, that's the way He is and we have to live with it.

5)All in all Mungu ana hekima kuliko mimi, coz ni muumba wa kila kitu. Maybe katika hekima yake yote, hii ndo decision bora aliokuja nayo. Labda ana reason nzuri behind all this ambayo mm siijui. Maybe Mungu mwenyewe akinijibu face 2 face, nitabadili mtazamo wangu kuhusu yeye.

6) Kingine kinachonikasirisha pia ni yeye kuruhusu mimi kuja hapa duniani, naona ni heri nguvu aliotumia kuniumba mimi angetumia kufanya kitu kingine, nachukia + najuta kuwa hapa duniani to see all this, dunia imejaa waovu (mm nikiwa mmoja wapo) pamoja na mateso ya kila namna.

Haya ndo mawazo yangu nimeamua ku-share nanyi, najua hata povu linitoke vipi it won't change the facts. Samahani kwa ntakaekuwa nimewakwaza humu jukwaani, naamini Mungu alishayajua mawazo yangu kuhusu yeye toka kitambo. So im just keeping it real.
Kwa Bahati mbaya hakuna kiumbe kilicho hai kitakacho weza kukujibu kisahihi haya maswali yako, labda angekuwepo mwenyewe.
Wacha kila mtu aamini kile aaminicho tuu hakuna namna.
 
Ninafurahi kuona watu wanahoji kuhusu Mungu. Kwa ufupi, Mungu ni dhana tu. Hivyo kukesha kuiomba dhana ikusaidie ni kichekesho. Ikiwa unaamini kuwa Mungu ni wazo, basi tambua kuwa kila kitu
kipo ndani ya uwezo wako. Na utagundua kuwa
Mungu pekee ni wewe mwenyewe na ikiwa wewe
ndiye Mungu basi na jirani yako naye ni Mungu.
Kwa nini? binadamu ni binadamu tu, labda tutofautiane
tabia tu, ila binadamu ni binadamu tu.

Wewe ndio mwanzo na mwisho wa kila kitu. Rejea
mjadalawangu wa "Usipokuwepo,Hakuna
Kilichopo". Inahitaji utulivu kidogo kuelewa.
Mkuu wewe ni mpagani ee?
 
Nafikiri hiyo namba 6 tu ndio ina mashiko, ndio uhalisia, ila mengine yote huna sababu ya kumchukia kwani ni ya kusadikika.
Sasa ndio imeshatokea kuwa uko hapa, mambo magumu, binadamu si wema na kuna mateso, ni kupambana, na kwa karama alizokujalia, akili na utashi, fanya mema, saidia kwa kadiri uwezavyo, fundisha kwa kupitia matendo na maneno yako angalau kuyafanya maisha yawe mazuri. Hakuna lisilowezekana, huna sababu ya kukata tamaa.
 
KUTAMBUA UWEPO WA MUNGU NI MOJA YA SIFA YA MTU MWENYE AKILI.
Tafiti zinaonyesha watu wasioamini Mungu wanakuwa na akili kuliko hilo kundi lingine...
Kwasababu wasioamini Mungu hawafungwi na kifungu chochote cha imani za dini kutafuta majibu ya maswali yanayotokana na what, why, when and how... na sio cheap answers kama vile Mungu ndio anajua, Ni mpango wa Mungu, Mungu hapendi, Tumuombe Mungu, Utaenda kuchomwa na Mungu, utapewa nguvu za kusex na wanawake 100 peponi na utapewa wanawake 72 wakiwa bikra, Peponi kuna pombe lakini ukinywa haileweshi........
 
Sababu zako zote isipokuwa ya 3 zimejengwa ktk uelewa potofu kuhusu Mungu na kama kuna imani inayozifundisha hizo ni KWELI Umepotoshwa na Umetolewa kwenye Reli POLE ile sababu ya 3 inafikirika yaani unajiuliza kitu cha msingi kuwa Mungu ni Utii kwa Hofu au utii bila Shuruti?
 
Imani ni kitu very complicated but nifikiri ni bora tu ukaamin kuwa mungu yupo afu ikifika ukute hayupo kuliko kutoamin afu ukamkuta. Nimeshuhudia watu wengi wanapokaribia kufa kwa mkristu utasikia niitieni padre anibatize. Sasa ktk mazingira kma haya tuendelee tu kumwabudu
 
Kuna maswali mengi kuhusu Mungu huwa najiuliza, mpaka SAA nyingine huwa namkasirikia Mungu (maybe nakufuru lakini acha iwe hivyo).Bcoz kwa ninavomuwazia Mungu ingekuwa ni heri nisingezaliwa.

1) Kama kweli Mungu ni upendo, kwanini aumbe jehanamu ya kutuchoma milele sisi tulio waovu (lyk for billions and trillions of years). Si heri angetumaliza tu kuliko kututesa milele? Kwenye shuhuda nyingine wakristo huenda motoni kwa dhambi moja tu ambayo hawakutubu. (I know hell was originally intended for the devil and his demons & not 4 humans)

2) Kwanini alimruhusu shetani kumjaribu Adam ikiwa alijua kuwa wanadamu wengi tutateseka duniani, tutaanguka maovuni, na atatutupa Jehanamu?

3) Kama Mungu anatuambia tukitenda dhambi na tusipomtii tutachomwa motoni, Je wakristo na waislamu (baadhi yetu) tutakuwa tunamtumikia Mungu kwasababu tunampenda na tunataka kumjua zaidi? au tutakuwa tunamtumikia kwasababu tunaogopa kwenda Jehanamu?

4) Mungu husema mawazo yake si kama ya kwetu, na njia zake zipo juu zaidi, nakubaliana na hilo. Maybe kutuchoma motoni it's in his nature, that's the way He is and we have to live with it.

5)All in all Mungu ana hekima kuliko mimi, coz ni muumba wa kila kitu. Maybe katika hekima yake yote, hii ndo decision bora aliokuja nayo. Labda ana reason nzuri behind all this ambayo mm siijui. Maybe Mungu mwenyewe akinijibu face 2 face, nitabadili mtazamo wangu kuhusu yeye.

6) Kingine kinachonikasirisha pia ni yeye kuruhusu mimi kuja hapa duniani, naona ni heri nguvu aliotumia kuniumba mimi angetumia kufanya kitu kingine, nachukia + najuta kuwa hapa duniani to see all this, dunia imejaa waovu (mm nikiwa mmoja wapo) pamoja na mateso ya kila namna.

Haya ndo mawazo yangu nimeamua ku-share nanyi, najua hata povu linitoke vipi it won't change the facts. Samahani kwa ntakaekuwa nimewakwaza humu jukwaani, naamini Mungu alishayajua mawazo yangu kuhusu yeye toka kitambo. So im just keeping it real.
Sio kweli humpendi Mungu roho zetu zinampenda Mungu 100% na kumjua tatizo liliopo ni kuweza kupata ufaham wa rohoni uweze kuushinda mwili na njia pekee ni roho mtakatifu if u real want to know God njia zake unazijua find him na utamuliza maswar yote hayo kuna watu hapa hapa dunian wana ongea na Mungu na kuwaona malaika kama kweli una nia mtafute yeye anaonekana na uta ongea nae face to face as u want but kaa kwenye njia yake
 
Mi haya mambo ya dini siyaamini kabisa japo kanisani huwa naenda. Ila I know ni utaratibu wa kawaida tu wa shughuli za kijamii. Ila najua kuna Mungu. But hakuna kitu kinaitwa yesu
 
Ninafurahi kuona watu wanahoji kuhusu Mungu. Kwa ufupi, Mungu ni dhana tu. Hivyo kukesha kuiomba dhana ikusaidie ni kichekesho. Ikiwa unaamini kuwa Mungu ni wazo, basi tambua kuwa kila kitu
kipo ndani ya uwezo wako. Na utagundua kuwa
Mungu pekee ni wewe mwenyewe na ikiwa wewe
ndiye Mungu basi na jirani yako naye ni Mungu.
Kwa nini? binadamu ni binadamu tu, labda tutofautiane
tabia tu, ila binadamu ni binadamu tu.

Wewe ndio mwanzo na mwisho wa kila kitu. Rejea
mjadalawangu wa "Usipokuwepo,Hakuna
Kilichopo". Inahitaji utulivu kidogo kuelewa.
Unasema mungu ni dhana tu(jambo ambalo halipo kiuhalisia) halafu hapo hapo unasema mungu ni wewe mwenyewe,hauoni kuwa hata wewe haya unayoeleza ni mambo ya kufikirika tu?

Nadhani kwa kufikiri kwako kuwa anapozungumziwa mungu basi kunahusu uombaji tu,na ndiyo maana unaona ni dhana suala la mungu kwa sababu kuna watu hawaombi mungu na mambo yao yanaenda.
 
Tafiti zinaonyesha watu wasioamini Mungu wanakuwa na akili kuliko hilo kundi lingine...
Kwasababu wasioamini Mungu hawafungwi na kifungu chochote kuwazuia wasifanye wanachokusudia...
Juzi nlirushiwa clip ya mtu anamnyonyesha mashine mtoto...hichi kitu naamini hata wewe unaweza kufanya nkikuachia mtoto wangu wa kike kwa sababu hujafungwa na chochote(this means huna akili..mimi na wengine tunaoamini uwepo wa mungu tunapata ukakasi kufanya kwa sababu tumefungwa tufanye yalio mazuri..naamini ushapata mfano mdogo kwa hili.
 
Kwahiyo kipimo cha mtu kuwa na akili sana ni kufanya chochote kile anachojisikia kufanya?

Kwa kipimo hicho nadhani machizi ndiyo watakuwa wanaongoza kwa akili maana ndiyo wana uhuru huo wa kufanya kile wanachojisikia.
 
Mi haya mambo ya dini siyaamini kabisa japo kanisani huwa naenda. Ila I know ni utaratibu wa kawaida tu wa shughuli za kijamii. Ila najua kuna Mungu. But hakuna kitu kinaitwa yesu
Ingekuwa sahihi ungesema hiyo dini yako ndiyo hauiamini kuliko kuchanganya dini zote(ambazo zengine hata hujui zina nini) kwenye kapu moja.

Na hilo ndiyo tatizo la wengi humu,mtu anapokosa kuona uhusiano wa mungu na hiyo dini yake basi huanza kusema mara mungu hana dini mara dini ni kitu tu walichobuni watu japo uelewa wa kuhusu mungu ameupatia kwenye hiyohiyo dini.
 
Ninafurahi kuona watu wanahoji kuhusu Mungu. Kwa ufupi, Mungu ni dhana tu. Hivyo kukesha kuiomba dhana ikusaidie ni kichekesho. Ikiwa unaamini kuwa Mungu ni wazo, basi tambua kuwa kila kitu
kipo ndani ya uwezo wako. Na utagundua kuwa
Mungu pekee ni wewe mwenyewe na ikiwa wewe
ndiye Mungu basi na jirani yako naye ni Mungu.
Kwa nini? binadamu ni binadamu tu, labda tutofautiane
tabia tu, ila binadamu ni binadamu tu.

Wewe ndio mwanzo na mwisho wa kila kitu. Rejea
mjadalawangu wa "Usipokuwepo,Hakuna
Kilichopo". Inahitaji utulivu kidogo kuelewa.
Fenesi lina radha gani.?? Nakuuliza swali hili haliyakuwa nimezaliwa na ulemavu wa kutambua radha ya vitu..(swali lisilo jibika hili naamini)..mungu yupo beyond your sense hii hali ya ukomo wa utambuzi inaconfuse ndiomaana hapo juu umesema mungu anaweza kua shangazi kwa sababu umemuomba pocket money akakupa.
 
Ni kweli kabsa....but inawezekana sifa tunazomvika zingine hana. Au pengine mahala kwenye maandika waandishi waliongeza yao...!

Haileti maana pale tunaposema kwamba mungu atatuchoma wenye dhambi milele na milele....!

Yaan unaishi dunia miaka 80. Unafanya dhambi say kwa miaka 70...then unakuja kuchomwa kwa a billion years plus....I dont get it!

Labda si kwa moto huu tunaoujua....and by the way...wakati tunachomeka huko...yeye Mungu atakuwa anapata faida gan!? Naamin kwa kuwa ni Mungu wa upendo atakuwa anaumia sana.
Unafanya mema kwa dakika mbili afu unakaa peponi daima..hii nayo naamini inakukera!
 
Kwanza niweke kumbukumbu sahihi...si kwamba inanikera. Ni kwamba inanishangaza.

Tuje kwenye hoja yako. Equation ya hoja yako haiko sawa kabsa.

Motoni ni maumivu ya kudumu....ukilingalisha na kosa....yaan inakuwa si adhabu bali ni kisasi. Peponi panaweza kuwa na raha kwa kuwa maumivu yameondolewa...yaan inawekana yakawa ni maisha haya haya ila hayana karaha za maisha. Labda tuseme ili wapeponi waone wanaenjoy inabidi wawe wanawaona watu wa motoni wanavotaabika.
 
Basi usishangae hiyo ndio hikma ya mungu wako mlezi wa viumbe...huwa hakosei..jambazi anaua anabaka ananyanganya anadhulumu..lakini kesho anaamka na anaendelea kutumia oxygen ya muumba wake ..unaendelea kuuua haliakuwa unajua kuwa sio sawa kwa miaka 70 unatumia oxygene ya mungu bure unatenda dhambi haliyakuwa unajua ni vibaya bila kuomba msamaha ...kukaa miaka bilioni motoni inakuhusu tena iwe trilion itapendeza.
 
Juzi nlirushiwa clip ya mtu anamnyonyesha mashine mtoto...hichi kitu naamini hata wewe unaweza kufanya nkikuachia mtoto wangu wa kike kwa sababu hujafungwa na chochote(this means huna akili..mimi na wengine tunaoamini uwepo wa mungu tunapata ukakasi kufanya kwa sababu tumefungwa tufanye yalio mazuri..naamini ushapata mfano mdogo kwa hili.

Nilikuwa na maana hawafungwi na kifungu chochote cha kimaandiko ya kidini....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom