102
Member
- Apr 16, 2017
- 62
- 28
Rais hawezi kuwa sawa na wananchi wake.God angekuwa fair kila mtu angekuwa na uwezo kama wake.
Huyo Mungu hayupo.
Rais hawezi kuwa sawa na wananchi wake.God angekuwa fair kila mtu angekuwa na uwezo kama wake.
Huyo Mungu hayupo.
Sasa utaniongezaje lucifer wakat huna diniWe unamtaka Bi Zuhra ugomvi.
Au unataka nikuongeze?
Illuminator ngoja nkalale saiv kesho basKwa nini tupotezee wakati tumeletewa jambo la uongo?
Watu mabilioni wakila mavi utaona kula mavi ni sawa?
Rais ni Mungu?Rais hawezi kuwa sawa na wananchi wake.
Eeh kama yanakufaa utakua sawa tuKwa nini tupotezee wakati tumeletewa jambo la uongo?
Watu mabilioni wakila mavi utaona kula mavi ni sawa?
Na kama hayakufai?Eeh kama yanakufaa utakua sawa tu
Umezungumzia nguvu.je nguvu ya rais na raia ni sawa kimadaraka?Rais ni Mungu?
Umemshusha sana huyo Mungu wakokumlinganisha na rais.
Hata Idi Amin alikuwa rais.
Mungu wakosawa na Idi Amin?
Ukizungumzia nguvu, hutakiwi kumfananisha Mungu mwenye nguvu zote na rais asiye na nguvu zote.Umezungumzia nguvu.je nguvu ya rais na raia ni sawa kimadaraka?
Acha upumbavu wewe ,unalazimisha watu wawe na maumivu uliokua nayo?solve your problems, usituletee upuuzi wako hapa kama yanakufaa kula yasipokufaa waachie wanaokula na kuwafaa,kama Mungu hajakufaa wenzio ametufaa so pita hiviNa kama hayakufai?
Unaweza kulamavi kwa kuona wengine wanakula mavi,kumbe wenzako wanalamba chocolate ice creamyenye rangi sawa na mavi tu.

Kwa hyo wewe ulitaka kuwa na nguvu sawa na mungu?Ukizungumzia nguvu, hutakiwi kumfananisha Mungu mwenye nguvu zote na rais asiye na nguvu zote.
Kanuni moja ya msingi ya kulinganisha inatutaka tulinganishe kwa uwiano vinavyofanana.
Na tusilinganishe visivyogfanana.
PovuuAcha upumbavu wewe ,unalazimisha watu wawe na maumivu uliokua nayo?solve your problems, usituletee upuuzi wako hapa kama yanakufaa kula yasipokufaa waachie wanaokula na kuwafaa,kama Mungu hajakufaa wenzio ametufaa so pita hivi![]()

Basi tuachie tiendelew kuwazaMungu na shetani wako kwenye mawazo yenu
Si umesema Mungu yuko fair?Kwa hyo wewe ulitaka kuwa na nguvu sawa na mungu?
Sawa Rofa ngoja utapeliwe km jina lako linavyosemaHakuna kiumbe kinaitwa Mungu wala Shetani,hizo ni mbwembwe za matapeli.
Wewe ulitaka upewe uwezo gani alio nao mungu?Si umesema Mungu yuko fair?
Kwa nini awe mchoyo yeye awe na uwezo wote halafu aumbe viumbe awanyime uwezo wake huo?
That is not fair, not a godly levelof fairness.
Ushakubali kwamba kumfananisha Mungu na rais ni kufanya hesabu ya cross multiplication kwa kutumia namba za kawaida na infinity moja?
Ushaelewa hiyo hesabu?
Mnapoteza muda tu kusali na kuomba vitu ambavyo havipoBasi tuachie tiendelew kuwaza
Nilitaka habari za huyo Mungu ziwe na logical consistency.Wewe ulitaka upewe uwezo gani alio nao mungu?